The return of mafisadi kwa kasi mtaani Serikali fanyeni kitu

state agent

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
1,764
2,511
Upole wenu umetuponza jamaa wanawadharau sana wanasema unaiba billion 5 then unabagaini na serkali unalipa moja harafu wanakupa miaka 5 kuripa iliyobaki kidogokidogo

Rushwa imekuja na speed maofisini hasa baada ya watu kuambiwa walipe wakiwa mtaani ,unaiba sana unalipa kidogo unakula good time town

Hakuna hofu tena ile mikwala ya kutakataisha pesa na kunyimwa dhamana ambayo watu waliogopa haipo tena ,hatutembei kifua mbele tena kabla ya 2020 tumeinua mikono

Hii inaitwa hongo ya malango wa nyuma na hawa mafisadi dhidi ya ofisi nyeti ya DPP na ikulu wanatudharau sana kuwa wameshinda na kushawishi wengine wasione tatizo kujilipua na kukwapua mahela wakijua watatoka kwa style hii

NINI KIFANYIKE

Mafisadi wote warudishwe jera mpaka walipe yotena faini juu sio watakatishaji pesa wala wale waliowaibia wakulima wa korosho na ufuta

State agent
 
Hoja yako ina mashiko. Ni sawa na jinsi ambavyo watu hawawaogopi traffic officer kivile hasa mfuko ukiwa umetuna... wanajua buku kumi tu mambo safi ... hili suala litazamwe kwa mapana
 
Mi naona Mafisadi yawe yanatandikwa risasi hadharani pale kwenye sanamu ya askari

Tutafanikiwa kukomesha
 
Mnambishia Mzee Leo? Mmeanza kutumika na mabeberu na nyie sio?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom