The Prison Break Season 4 Ending Promo Videos

Tumsifu Samwel

JF-Expert Member
Jul 30, 2007
1,407
159
jamani Prison break ndio hivyo show inafikia ukigoni,epsode ya 17 inatoka tarehe 17 mwezi huu, kwa wale wapenzi wa show hii nadhani hakuna anayetaka kupitwa na sehemu hizi chache zilizobakia kwenye hii show, ambayo imeteka vijana wengi hadi wazee. kuanzia tarehe 18 epsode ya 17 itakuwa inapatikana kwenye mtandao.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom