“The price of oil will drop drastically!” - prophet TB Joshua

Rubbish
Let's stop praising this human beings for nothing
Full of lies
My dear he's man of God whatever he can say we believe is from God and we dont praising him we just appreciate what he prophesize.
 
Huwa naukubali utabiri wake,hawa walikuwepo hata Enzi za Biblia walikuwa wanaitwa waonaji...
unakubali nini wakati taarifa za anguko la bei ya mafuta ilishakuwa iinatangazwa tangu wiki mbili zilizopita hadi baadhi ya Mataifa ya OPEC na Rusia walishafanya kikao ili kunusuru bei. Leo ndo yeye anawaambia ameona maono. Tapeli huyo kama matapeli fulani wa hapa bongo.
 
Mbona hakuona corona?
Nabii Sio lazima aone vyote kuna vipo amabavyo anaona na sometime anaweza sema hata asiseme in direct way ni kwako wwe kun'gamua kulingana na imani yako.
 
Bro soma vizuri hizo taarifa syo za leo ni miaka ya nyuma since 2008 kujiridhisha zaidi ingia youtube kuna link hapo imewekwa siyo kubwabwaja tu
 
Sasa mjinga mimi au wewe,am only woshiping God not him,am only appreciating what he is doing,na huwezi kunifanya nisiishi katika dini nikaacha kumuabudu Mungu wangu,kwani bila ya kuwepo hiyo dini nisingemjua Mungu...
Wewe ndio mjinga unaejitoa ufahamu kwa kumuabudu mtu badala ya kutumia common sense uliyopewa na Mungu. Yaani Viwanda vifungwe,magari na ndege zisitembee halafu mafuta yasishuke bei?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nabii Sio lazima aone vyote kuna vipo amabavyo anaona na sometime anaweza sema hata asiseme in direct way ni kwako wwe kun'gamua kulingana na imani yako.
Kwahio unaamini kama TB joshua ni Nabii ?!.

Sent using My COVID-19
 
“THE PRICE OF OIL WILL DROP DRASTICALLY!” - PROPHET TB JOSHUA

Starting twelve years ago, Prophet TB Joshua gave a series of prophecies concerning the current economic crisis, specifically mentioning how the price of oil “will drop drastically” (WATCH THE VIDEO HERE - )

On December 28th 2008, he said: “There will be economic crisis. You are to cut your coat according to your size… It’s coming and it’s everywhere. You will be forced to be humble. There will be economic war. Countries that rely on mineral resources like oil - they should quickly look beyond oil. I am telling you long time prophecy, not immediate. You can begin to prepare yourself now. Remember, trial is the soil in which faith flourishes. As a faith man, there is no fear.”

On October 16th 2011, he said: “The war the whole world will face now is economic war. You will see every nation, every country will come out, going on the street protesting. Everyone will be humbled. Those who rely on oil, they should look beyond. There is something God wants to achieve concerning this - God wants to achieve humility to the core. He wants everyone to be on their knees, every nation to be on their knees. After that, the solution will come. That is what God wants to achieve. Whatever you have now - cut your coat according to your size.”

On December 29th 2013, he said: “Cash flow - forget it. People will be broke; countries will be broken. A single person can be richer than a country. Your oil - you will drink them. Whatever your country has discovered in terms of mineral resources - and it has been a source of income, causing corruption, causing fights, people living flamboyantly - those things, nobody will buy them. The price will drop drastically.”

Let us continue to pray for the world at large.
TB Joshua alisema Covid-19 itaisha March 27.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Huu nao ni utabiri? Ni sawa na kumkuta mtu hali chakula kwa siku kadhaa baadae ukasema huyu mtu atakufa na wewe unasema umetabili,Wewe magari hayakimbii barabarani,viwanda vimefungwa unatrgemea nini hata kwa akili ya mtoto wa darasa la tatu A.kule nanjilinji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu nao ni utabiri? Ni sawa na kumkuta mtu hali chakula kwa siku kadhaa baadae ukasema huyu mtu atakufa na wewe unasema umetabili,Wewe magari hayakimbii barabarani,viwanda vimefungwa unatrgemea nini hata kwa akili ya mtoto wa darasa la tatu A.kule nanjilinji

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi natabiri jua litachomoza kesho.

Tayari nishatabiri.

Prophet Kiranga.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Back
Top Bottom