The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,894
- 19,057
Kuna kitu sipendi kukukosa katika maisha yangu ya ujana ni morning glory.
Morning glory inanipa nguvu ya kuanza siku nikiwa mchangamfu,determined,morali ya hali ya juu.
Morning glory kwangu ni kama tiba,inaondoa sumu yote mwilini,siku nikikosa morning glory nakua mkali mkali,nakua na majibu ya mkato na kujisikia hovyo hovyo siku nzima.
Najua kwa wanaume wote marijali wasiotumia mkuyati au supu ya pweza wanaelewa hiki nachokisema,women dont under estimate the power of morning glory kwa waume au wapenzi wenu.
Niwasihi tu wanawake zetu msiache kutupatia morning glory,msiache kutubariki asubuhi.