The planned destruction of the family. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The planned destruction of the family.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tikerra, Jan 26, 2009.

 1. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wake up people!Work up men and women and sound the alarm!There is a hostile attack against the family and against the institution of marriage.The things we are facing today,the high divorce rate;the rash number of unwed mothers;the hoards of illegitimate children;homosexuality and lesbianism,sexual perversion and the alarming high number of abortions is not some new phenomenon.It is an ingenious plot that has been in force for decades...designed to annihilate the family structure.You are about to read written proof of this clandestine conspiracy.You will learn about the people behind it and their unwavering mission to eradicate the family.Please go to Gillis Triplett - The Planned Destruction Of The Family for farther reading.
   
 2. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Peleka jukwaa la dini, nisiekwenda kanisani au nyumba yoyote ya ibada hiyo reference uliyoweka hapo haihusu...na tena haimake sense.

  Weka scientific proof sio hizo porojo na bla bla.
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Hiyo mi-article yako mbalimbali unayoisoma ya mambo ya conspiracies itaishia kukufanya uwe suicide bomber any minute now on, for you seem to be gullible enough with a suitable malleable mind of trumpeting for the cause any twisted calculating conspirator brings forth.

  U homosexuality ulikuwepo tangu enzi za ruth and gomola, nyakati za Nuhu pia watu waliangamizwa kwa madhambi yao, leo hii unaamini kuwa hivi vitu vinakuwa managed na some secret society somewhere chini ya milima.... dooh dooh dooh dump!!!
   
 4. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mheshimiwa Uwiani maalum! Nafikiri umefanya upesi sana kumshambulia mtoa mada. Sawa anaweza takiwa ipeleka katika upande wa dini. Lakini core issue is the family destruction. you can not spaek of the nation if you don't have the family.You can't speak of good leader if yuo have the worst family.Kama kosa ni hiyo reference basi ni fulsa kwa watu wengine kuweka references that are not religious biased.Hata mtoa mada aweza fanya hivyo.
  Jambo jingine ni kuwa sina uhakika kwa kiasi gani umeisoma hiyo reference na ku-extract basics things that are destroying our families according to the article? What type of swords that are put in the midst of our families moral pillars, that we are falling apart?
  Depriving moral standards within families does not need scientific proof.Me, I think, it is the shame to see your child is disobeying you by taking drugs and you keep quite looking for scientific proof to know if he's realy taking drugs.
  Mada iko kwenye nafasi nzuri kuweza jadiliwa, ila tu ni kuongezea inputs kadhaa.
  Kwa kutokea mitazamo yoyote yaani ya mwenye dini na asiye dini twaweza jadili.
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Tikerra, ahsante sana kwa mada;

  Mada ni nzuri sana, tatizo kidogo ni hiyo leaning towards CHristianity, na nadhani unaelewa sensitivity ya dini humu ndani;

  Kwa uande wangu, the biggest concern ni uaminifu ndani ya ndoa, sisi tuliooa 0-10 years zilizopita hali ni mbaya, mambo nje ya ndoa yanatisha kuliko hata hao homos ambao wame-declare kwamba hiyo institution inawatatiza kuliko akina sie.

  Siku hizi mme/mke mwenye pete ya ndoa ni kama kawaida... unamega au kumegwa kama hatari
   
 6. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mmmmm!Nadhani uko kwenye upande mwingine wa shilingi.Hata hivyo naomba niseme kwamba mimi sio wale watu ambao wana ridhika na majibu rahisi.Kwahiyo nikiona tatizo natafuta its root cause kila upande.Niseme wazi kwamba kutojua conspiracies zilizopo ndiko kuliko lifikisha taifa letu hapa lilipo.Mkapa amekiri kwamba angejua ubaya wa ubinafsishaji asingeukumbatia kama alivyofanya.Hii ina maana kwamba hakujua conspiracy iliyopo kwenye ubinafsishaji.Kufuatana na matatizo tuliyonayo Tanzania,inaelekea viongozi wetu hawajui conspiracies zilizopo kabisa,ndio maana wanaingizwa mkenge kirahisi.Wazungu hawa wanakuja na lugha nzuri kumbe nyuma yake kuna shubiri.Viongozi lazime wawajue vizuri hawa ni matapeli.Kiongozi ambaye hayuko conversant na conspiracies mbalimbali hatufai,kwa vile ni rahisi kuingizwa mkenge.


   
Loading...