THE OTTOMAN EMPIRE (moja ya tawala zilizowahi kuwa na nguvu kubwa duniani)

Feb 18, 2017
83
93
Ottoman empire ambayo kwasasa inajulikana kama Uturuki(Turkey). kipindi hicho mnamo karne ya saba Ottoman iliundwa na watu ambao kwa asili walikua wahamiaji kutoka maeneo mbalimbali ya nchi za mashariki ya kati(middle East). wavamizi hao walikuwa wanajulikana kwa jina maarufu kama Seljuk baada yahapo mnamo karne ya nane nakuendelea ndio ilipo vamiwa na wanamgambo wanaoipigania imani(warriors of the faith) na kiongozi wa kikundi hicho aliitwa Osman.baada ya uvamizi huo Turkey ilipata nguvu kubwa na ushawashi mkubwa katika mashariki ya kati na mashariki ya mbali(middle and far East).bwana Osman ambaye ndio alishika hatamu ya madaraka kwa kipind hicho kuiongoza Turkey ndipo alipo amua kuibadilisha jina na kuiita jina lake Osman lakini wamati wa kutamka akakosea matamshi na kusema Ottoman(mispronounced ottoman) ndipo jina hilo likaanza kutumika na kuwa maarufu sana.mpaka kufikia karne ya kumi na saba(17th century) Ottomans walifanikiwa kuzivamia nchi mbalimbali kama Iraq,Iran,Syria,palestine,Egypt,Libya,Tunisia,Algeria,west Arabia na Crimea ambayo ilikuwa ni sehemu ya nchi ya Russia kutokana na hvyo basi nchi zote hizo zilishakuwa chini ya himaya nzito ya bwana Osman mtawala wa Ottoman.Ilipofikia mwaka 1683 ndipo Turkish army(ottoman) likafanikiwa kuvamia mji wa viena ambao ulikiwa makao makuu ya Habsburg empire(Austria) lakini jeshi la Austria lilikuwa imara zaidi na likafanikiwa kuwapiga Turkish army(Ottomans).Kufikia mwaka 1854 Russia aliingia kwenye vita kati yake na France&Britain kwasababu ufaransa na uingereza zilipinga uvamizi wa Russia kwa Ottoman Empire.
Nikurudishe nyuma kidogo moja ya majimbo ya Russia ambalo ni Crimea lilishachukuliwa na Ottomans hvyo bas Russia ikabidi alipize kisasi kwa kuivamia Ottoman mwaka 1854 lakini kwanini France na Britain walimpinga Russia kuivamia Ottoman Empire na hawakumpinga Ottoman kulichukua jimbo la crimea?sababu ni kwamba France&Britain waliingana kuichukua aridhi ya Balkan(Balkan lands) ambayo ilikua na utajiri mkubwa lakni walikuta Russia amehiwahi na urusi waliweka ulinzi mkali katika maeneo hayo hivyo kuanzia hapo wakaanza kutofautiana kwa kila kitu.Tuendelee baada ya chokochoko za vita baina ya Russia na France&Britain mwisho wa siku walisaini mkataba wa amani(peace treaty). Lakini licha ya mkataba huo mwaka 1878's Tsar ambaye alikua kiongozi wa Urusi kipindi hiko alituma jeshi lake kuivamia na kuipiga Otoman empire(Russo-Turkish war 1878).wakati huo aliyuwa waziri mkuu wa uingereza Disraeli Brnjamin alijaribu kuishawishi urusi kustopisha vita hvyo.kwahyo mwishon mwa mwaka huo Russia akasitisha vita baina yake na Ottomans lakini Turkish(Ottomani) ilikua katika hali mbaya kiuchumi,kijeshi n.k na Russia alisitisha vitq hvyo kwa kuilazimisha Ottoman Empire kusaini mkataba wa Amani ulio itwa San Stephano Treaty.
je baada ya hapo nini hatima ya Ottoman Empire na je mkataba huo(San Stephano treaty)ulikua na conditions zipi??itaendeleaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!
3b6228a755b15047567eeb41684b64d3.jpg
 
Ila story ya ottoman empire inayonivutia na ningependa kuisikia ni juu ya utajiri wake na jinsi wasomi wa ulimwengu huu walivyo wek kambi huko
 
Najuia itakua ndo mgawanyiko wa nchi kama Palestine,Israel ambayo ilikuja 1948 ,Jordan,
 
Details hazitoshi..Ottoman ni dola yenye details nyingi ambozo nahisi unaziacha..lkn sio mbaya kwa hiki ufanyacho..unawafungulia watu waendelee kusoma zaid
 
uongo mwingi,kama hamjui historia fungeni madomo yenu,eti ottoman ni ukosefu wa kutamka,aibu gani hii?wakati hyo ottoman iliitwa hivyo na wazungu kama wanavyoziita nchi zetu wanavyotaka wao,fatimate empire nayo walikosea kutamka?mbona wewe mtoto unakuwa muongo sana?hebu soma historia halisi ya utawala huu uache kuongopa ongopa na kuchukua maneno ya mabwana zako wazungu,shubahmiiiit,mnsyuuuuuu.
 
Back
Top Bottom