The ONE thing you Love Most!

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,190
18,076
Habari wana JF….


Kila mwanadamu ana kitu ambacho yeye binafsi hukubali
na kuridhika kua it is the best thing about Her/him or one
of the best thing... Regardless ya kusubiri Usifiwe na walokuzunguka…
Ama hata kuchangiwa na kutajwa Mara kwa mara na walokuzunguka….

SWALI: What is the One thing you Love Most about your self???
Please Share wana JF tujue walau the One thing umeridhika nalo
Katika the whole of you…..



P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe….(ADI)
 
Sijui mpaka sasa hivi kipi zaidi..
Ngoja niendelee kuangalia...badaye nitakuwa nimeshapata jibu
 
Mmmmmm, heb ngoja..........
Aisee, i think i love the whole me..
Sina kitu specific ambacho nakipenda kwangu zaidi ya vingine manake naona kila kitu nakipenda..
Yaani Physically, mentally, spiritually ...
 

Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom