Twalyaninkomi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2016
- 265
- 259
tupeni taarifa kamili!
coutinho kawafanya nini huko
coutinho kawafanya nini huko
Ni aibu kubwa kwa-kweli basi tu!
HahahahahaaHii nchi ina laana kwenye soka yani inampa wakati mgumu Messi
nafazi ya kusonga mbele kwa Argentina bado kubwa saaana na hawa ndio mabingwa wapya wa kombe la dunia nchini RussiaHahahahahaa
Nafurahia sana ninapo pata chance za kuwaona mko kama hivi yaani (huwa nazipata mara chche sana)
Napata supu yangu hapa huku naendelea kufuatilia mambo ya dunia hapa
Wata qualify ila wakikutana na timu kama Brazil na Chile tu wana fungwa, sasa ujerumani ata wafanyaje!!nafazi ya kusonga mbele kwa Argentina bado kubwa saaana na hawa ndio mabingwa wapya wa kombe la dunia nchini Russia
hivi mechi iliyotoka kati ya Ujerumani na Argentina si walipigwa 4 tena kwao au ile sio UjerumaniWata qualify ila wakikutana na timu kama Brazil na Chile tu wana fungwa, sasa ujerumani ata wafanyaje!!
Hawez kuwa bingwa huyo
Zingefika hata 5 kama wabrazil wangetulia kikosi mnacho kimesheheni wachezaji mahiri sijui mnakosea wapi?Mpaka sasa siamini kilichotokea jana, tumefungwa goli tatu? Tumegeuka taifa stars
Zingefika hata 5 kama wabrazil wangetulia kikosi mnacho kimesheheni wachezaji mahiri sijui mnakosea wapi?
Mchanyato labda sio mzuri au mfumo au watu hawafii timu maana hapo mbele Maria Messi heiguan mnataka nini tena?Mkuu Guasa! Mpaka sasa nakosa jibu, kikosi kimejaa mafundi lakini sijui tatizo ni nini tu....
Huo mwenendo wenu wa mechi 11 mmeshinda 4 sio mzuri hata kidogo mjipinde kweli maana hata hao Colombia sio wa kubeza japo mtakuwa kwenu ila kila la kheri black panther.
Haahahivi mechi iliyotoka kati ya Ujerumani na Argentina si walipigwa 4 tena kwao au ile sio Ujerumani
Tukiteleza leo usiku tutakuwa kwenye hali mbaya sana. Ila inyeshe mvua, liwake jua ushindi lazima....