The next Tanzanian Social Forum ungependa iwe na features zipi?

einstein newton

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,969
2,672
SPOILER: THE PERCIVED TRUTH ABOUT JF "DEVELOPERS"
  1. ONLY WEB DEVELOPERS - The JF Dev staff zinazo tu web developers from features walizonazo ni trending to Keyboard features kama (Bold, Italic, ...) na What,s new. And the biggest proof ni the Desciption ya the Tech and Science forum ambayo ni either developer alichoka inamaanisha yupo mmoja au cio develper ameandika because hamna Developer of any kind ana define a tech group hivyo.
  2. NO DEVELOPERS - No permanent developers ina explain why no huge updates na pia because iliwachua mda kufix the NO ANOYNOMOUS rule na pia ina maanisha ADMINS Wanalipia Hosting (kama hawana server, not sure) na ku maintain the group rules ambayo ipo unessecary kama kuna mtu beside web developers.
  3. COMPLETELY NO DATA SCIENTISTS/ ANALYSTS - Jamiiforums wana umiliki wa data ya watu >500k (BIG DATA), Impact data scientists watakayo fanya na hiyo data nikubwa because ndio hivyo hivyo facebook ilianza (chukua data na kuifanya features and product), From the JF RECCOMENDATIONS Ndio cijui why utasuggest me about "Kocha Mkuu" (nimeangaili recomended ss hv) because c angaliagi mpira na pia proves una recommend with no data analysis at all.
    1. MACHINE LEARNING - Facebook uses ML to zuia nudity na pia kusuggest new comment au new photos

Kwanza Ni Jambo kubwa na la Kujivunia Kwa Uongozi Wote wa Jamii Forum Especially Muhasisi Mwenyewe Bwana Maxence Mero Moja Kati ya Programmers ambao Twaweza Kujivunia Kama Taifa kuwa nao.

Tangu Jamii Forums ianze (nadhani 2006?) Imekua Tovuti yenye Watumiaji wengi zaidi kwa Tanzania, Imesaidia Kuleta watu karibu, Kufunza na Kufurahisha
Haiwezi Pita siku Bila Kuingia Jamii Forum, na pia Imekua Source ya Taarifa nyingi Sanaa za Lugha ya Kiswahili

Pongezi kwa kazi kubwa aliofanya Mero kuunda na kuitetea JF mpaka Hadhi ambayo ipo nayo Sasa ivi
Lakini Ulimwengu wa Teknohama unaenda kwa Kasi Sana. Mitandao ya Kijamii pendwa Kama Facebook, Au Instagram inavutia sana Watumiaji kulingana na Features zilizopo
Jinsi gani Program tumishi yako inakuwa Rafiki na mtumiaji ndio Swali la Msingi

JAMII FORUM KITAALAM NI NINI?
Kwa Wasiojua Labda, Forum Ni aina ya Tovuti ambayo Watumiaji wanaweza kutana na kujadili kuhusu Mambo yoyote kulingana na Majukwaa Husika, Pia Kuna Chatroom (Pm) ambazo Zina act Kama Messaging system kwa ajiri ya mawasiliano binafsi baina ya wanachama wa Forum Husika
Kuna Administrators ambao kazi Yao ni Kuhakikisha Maudhui na Sheria za Forum zinazingatiwa. Hio ndio Forum na Hio ndio Jamii Forums
Sasa Tukiacha mafanikio ya Jamii Forums, Kuna kitu Mimi Binafsi naona hakipo sawa
Ni takribani Miaka 13 tangu Jamii Forum ianzishwe(Zamani Jambo forum) na Miaka 15 pia Tangu Facebook ianzishwe
Yaani Jamii Forum na Facebook Zina tofauti ya Miaka Miwili Tu na Lugha ya kompyuta (Programming language) iliyotumiwa Kuunda version za Kwanza za JF na Facebook Ni aina Moja
(Facebook version ya Kwanza Imetumia Php Kama core language, na Jf vilelele Kama ilivyo Forum yoyote)
Ingawa Kuna tofauti ya Forum (Jamii Forums) na Social Network (Facebook) ila zote Ni Social Media na hakuna Chochote ambacho kinazuia Jamii Forums isiwe na Features au Functionalities Kama za Facebook

Japo Tofauti Ni Miaka 2 tu, Facebook imekua Mtandao wa Kijamii wenye Watumiaji wengi zaidi Duniani zaidi ya Billion Moja wanaitumia

Pia Jf imekua Tovuti inayofatiliwa Sana na yenye nguvu kubwa Tz
Lakini Kuna kitu Mimi Binafsi sijalizishwa na Maendeleo ya Jf ndani ya Hii Miaka 13. Still haijaenda mbali Sana na Jambo forum(Version ya Kwanza ya Jf)
Developers wa Jamii Forum wanakwama wapi?

Ukiitazama Facebook 2004(kipindi inaitwa The Facebook) na Facebook ya Sasa Kuna mabadiliko Makubwa Sana haswa katika swala la Muonekano(User Interface), Jinsi gani Ina urafiki na mtumiaji(User Friendly) na Mtumiaji anaweza fanya vitu vipi(Features)
Miaka 13 ya Jamii Forum, Still haipo Responsive

The way inavyoonekana kwenye Desktop (PC) Ni Tofauti na Jinsi Inavyoonekana kwa Mtumiaji wa Simu(Mobile Device) izingatiwe kuwa Watumiaji wengi wanatembelea Tovuti yako kupitia Simu zao, Jf ilitakiwa iweke kipaumbele kwa Watumiaji wa Simu za mkononi Kwanza

Miaka 13 ya Jamii Forums Still siwezi Weka Picha kwenye thread yangu ambayo inatoka kwenye Simu yangu Moja kwa moja(Bila Kuattach file)
Miaka 13 ya Jf, Bado siwezi share video kutoka kwenye Simu yangu au kuiweka katika Post yangu

Miaka 13 ya Jf, Bado Jf Haina Interface nzuri inayovutia kuliko Hii

Miaka 13 ya Jf, Bado PM Interface ipo kawaida Sana na Haina Functionalities za kutosha
Teknohama imekua, Kuna Programming nyingi na nzuri zinazofanya kazi kwa uzuri zaidi
Nikipost thread au kureply Page inabidi Ni subiri Page nzima iji refresh

(Programmers mtanielewa hapa, Kuna Language inaitwa AJAX ambayo inaweza kuzungumza na Server at the background bila Kuathiri tabia ya Webpage husika, Developers wa Jf hawalioni Hili?)

Lengo langu sio kutaka Jf iwe Social Network ila ingevutia zaidi ingekua na hizo features ambazo kitaalam zinawezekana
So Wewe Kama Mzalendo wa Jf ambaye ungetamani kuiona Jf ikiwa Juu zaidi hata ya Facebook ungependa iweje na Mabadiliko gani yafanyike?

Juzi juzi Hapa Moja Kati ya Program Tumishi pendwa zaidi na yenye Watumiaji wengi zaidi ya 1B. Ilidukuliwa na Watu wengi wakaanza Kuhamia Telegram. Kwanini?

Whatsapp Sasa Ina mshindani mwenza, tofauti Ni Features tu. Pia Jamii Forums yawezekana Mbeleni ikawa na Mshindani wake so inabidi iwe tofauti kuliko hivi Sasa

Social Forum mpya inaweza ikawa na Features zipi zitakazo fanya utoke Jf?

Tupe maoni yako!
 
Jf na facebook zinatofauti sana kimaudhui.
Ingawaje kweli hivyo ulivyovisema vina umuhimu lakini ungelinganisha na ambazo kidogo zinafanana kiamaudhui kama reddit, quora, naija au ile ya kenya hapo ingekuwa na mantiki zaidi.

Kingine tukubali tu, jf haiwezi kulingana kabisa na hizo product za wazungu ambao ni kampuni zilizo kwenye fortune 500. Mitaji yao mikubwa hivyo wao ni rahisi kuboresha hizo bidhaa.

Kuhusu social network mpya, nadhani kuna wengine walijaribu hapo nyuma lakini hawakuvutia watumiaji.
Kama unaweza tengeneza nzuri zaidi ulimwengu wa fursa haukufungi. Changamoto tu ni kuwa tayari kuna sheria ngumu za kumiliki mitandao na tena watumiaji wana hofu na mitandao mipya.
 
Kwenye Suala ya Uundaji wa Mtandao wa Kijamii Hakuna hio slogan 'Makampuni ya kizungu' au 'Mtaji Mkubwa' Ni Mda na Skills zako
Pia upo sahihi kuwa Sikupaswa kui compare Jf na Facebook...ila lengo langu Ni Kuitaka Jf iboreshe au Iongeze Functionalities zake
Pia Suala la watu kuwa na hofu na mitandao mipya....Hilo sio sahihi....Kinachofanya Baadhi ya mitandao iwe Juu zaidi ya Wengine Bado Ni Lile like jinsi gani Mtandao wako Una interact na Mtumiaji....Hata ukianzisha Leo na ukawa best kuliko zilizopo Watu watakuja
Lengo kuu la topics ni Vitu gani Jf iongezee by the way
 
Forum ni watu kwanza features baadae, Nairaland ni kubwa kushinda Jf ila muonekane wake mbovu.

Na moja ya forums kubwa duniani Reddit Haina most ya Hizo features ulizozitaja mfano kuweka video (japo jf inayo)

Kuhusu kuweka videos kubwa humu watu watahost movies, porn, miziki, na Kila takataka, sio kwamba watu hawajajaribu, Kuna ambao wameshafanya.

Unachoongea wewe unataka embe liwe chungwa, forum ni forum na social network ni social network.
 
Nairaland ilinishinda sababu ya muonekano wake wa hovyo hovyo.
 
Nairaland ni kubwa kushinda
Kuna mda huwa najiuliza sana nkifatilia social platforms, hivi hizi social platforms huwa wanaloga au. Unajua kuna platforms ni ziko ovyo sijapata ona mfano kama hio naira land. Lakini watumiaji wake hauwaambii kitu. Af hata wamiliki naona wameshasahau kuhusu UX na UI design kwenye hio site.

Mtu kama mark zuck nadhani ana nyota na hii biashara ya social media coz kila mtandao akiununua lazima utoboe mara kumi zaidi. Mfano kipindi instagram imeanza wengi tulikua tunaiona ni ya watu special hv, so hata users wake walikua wachache, lkn hiohio ndo ikamuua BBM bada ya insta kununuliwa na mark, the same applies to whatsapp
 
Mkuu Naira Ina watu sio mchezo, solution nyingi ya vitu vya Ki Africa unapata mule.

Na mkuu ukishakuwa na hela unaweza ku Afford kufeli, hizo za fb ulizotaja ni zilizofaulu Kuna project zao kibao zimefeli Kama.
-facebook notify app yao ya habari
-facebook Home (interface ya fb)
-facebook phone (Htc alikuwa akitengeneza)
-FBML attempts yao ya kureplace HTML
-parse development platform
-slingshot (clone ya Snapchat) etc

Unaweza google fb wall of shame kuziona zote.
 
Kuwe na option ya ku downvote kama mtu kazingua na uzi wake au katoa post isiyo na mashiki ni mwendo wa
 
Mkuu Naira Ina watu sio mchezo, solution nyingi ya vitu vya Ki Africa unapata mule.

Na mkuu ukishakuwa na hela unaweza ku Afford kufeli, hizo za fb ulizotaja ni zilizofaulu Kuna project zao kibao zimefeli Kama.
-facebook notify app yao ya habari
-facebook Home (interface ya fb)
-facebook phone (Htc alikuwa akitengeneza)
-FBML attempts yao ya kureplace HTML
-parse development platform
-slingshot (clone ya Snapchat) etc

Unaweza google fb wall of shame kuziona zote.
Duuuuh nlikua sifahamu hili aisee.

Ila hapo kwenye FBML ndo wamenichekesha kinoma, hv kumbe kuna watu wanafikiria kureplace HTML, daaaah
 
Nairaland ilinishinda sababu ya muonekano wake wa hovyo hovyo.
Key ni User Interface yawezekana Hata Jamii Forum ikakushinda Kama kutaibuka Forum nyingine ambayo imedhubutu kwenda nje ya Mipaka ya Ordinary Forum Kama Jf
 
Forum ni watu kwanza features baadae, Nairaland ni kubwa kushinda Jf ila muonekane wake mbovu.
Na moja ya forums kubwa duniani Reddit Haina most ya Hizo features ulizozitaja mfano kuweka video (japo jf inayo)
Kuhusu kuweka videos kubwa humu watu watahost movies, porn, miziki, na Kila takataka, sio kwamba watu hawajajaribu, Kuna ambao wameshafanya.
Unachoongea wewe unataka embe liwe chungwa, forum ni forum na social network ni social network.
Unaposema Forum watu ndio target ya kwanza then Features Badae.. Unakosea
Hao watu wanavutiwa na kitu gani From the very beginning?

Feature ndio zinazofanya watu watoke au waje kwenye Site yako....Leo Unatumia Sana Smartphone kuliko za Batani kivipi?...Kwa sababu ya Interface na Features

Na nishaweka wazi hapo Juu kuwa Sina maana Jf iwe Social Network...Hapana ila iboreshe Muonekano Wake na Iongeze Features zitakazo tuweka karibu zaidi

Leo tupo Jf...kwasababu hatuna Mshindani Serious wa Jf..
Vipi Akiwepo?...Tutaangalia Nini Kama sio Muonekano Mzuri na Features?
 
At very beginning kuanzisha forum inahitaji watu, forum si sawa na website Kama blog ama news site. Hii ni sehemu ambayo Kila mtu anaweza kuongea hivyo watu ndio watakaoleta hivyo vitu.

Kama huamini toa dola 500 ama 1000 ama Hata dola milioni 1 ajiri best developer unemjua wewe tengeneza best forum ever made dunia hii then uone Kama watu watakuja.
 
MESSAGE/ PM

Unasoma msg uliyotumiwa lakini bado unaonekana hujasoma

NOTIFICATION

Leo kama siku ya 3 sipati notification. So kamasijakagua mambo yananipita tuu

SIGNATURE

Naona now wanedisable hii fiture bila taarifa.

EDITING

Mfano nimefungua uzi, na baadae nataka niweke picha kwenye uzi wangu haiwezekani mapaka ni Reply kama mchangiani wakati mm ndio mwenye uzi

QUALITY OF Picture.

Hiii ndio inanikera zaidi. Unaweka Picha nzuri ina quality na resolution nzuri, lakini ukiiupload to JF inapunguzwa inakuwa kituko. Kama kuna maneno basi hayatasomeka.

GOOGLE Ads.
Daaaaaah hizi zinakera sana japo sasa hivi wametoa
 
Back
Top Bottom