einstein newton
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,969
- 2,672
SPOILER: THE PERCIVED TRUTH ABOUT JF "DEVELOPERS"
Kwanza Ni Jambo kubwa na la Kujivunia Kwa Uongozi Wote wa Jamii Forum Especially Muhasisi Mwenyewe Bwana Maxence Mero Moja Kati ya Programmers ambao Twaweza Kujivunia Kama Taifa kuwa nao.
Tangu Jamii Forums ianze (nadhani 2006?) Imekua Tovuti yenye Watumiaji wengi zaidi kwa Tanzania, Imesaidia Kuleta watu karibu, Kufunza na Kufurahisha
Haiwezi Pita siku Bila Kuingia Jamii Forum, na pia Imekua Source ya Taarifa nyingi Sanaa za Lugha ya Kiswahili
Pongezi kwa kazi kubwa aliofanya Mero kuunda na kuitetea JF mpaka Hadhi ambayo ipo nayo Sasa ivi
Lakini Ulimwengu wa Teknohama unaenda kwa Kasi Sana. Mitandao ya Kijamii pendwa Kama Facebook, Au Instagram inavutia sana Watumiaji kulingana na Features zilizopo
Jinsi gani Program tumishi yako inakuwa Rafiki na mtumiaji ndio Swali la Msingi
JAMII FORUM KITAALAM NI NINI?
Kwa Wasiojua Labda, Forum Ni aina ya Tovuti ambayo Watumiaji wanaweza kutana na kujadili kuhusu Mambo yoyote kulingana na Majukwaa Husika, Pia Kuna Chatroom (Pm) ambazo Zina act Kama Messaging system kwa ajiri ya mawasiliano binafsi baina ya wanachama wa Forum Husika
Kuna Administrators ambao kazi Yao ni Kuhakikisha Maudhui na Sheria za Forum zinazingatiwa. Hio ndio Forum na Hio ndio Jamii Forums
Sasa Tukiacha mafanikio ya Jamii Forums, Kuna kitu Mimi Binafsi naona hakipo sawa
Ni takribani Miaka 13 tangu Jamii Forum ianzishwe(Zamani Jambo forum) na Miaka 15 pia Tangu Facebook ianzishwe
Yaani Jamii Forum na Facebook Zina tofauti ya Miaka Miwili Tu na Lugha ya kompyuta (Programming language) iliyotumiwa Kuunda version za Kwanza za JF na Facebook Ni aina Moja
(Facebook version ya Kwanza Imetumia Php Kama core language, na Jf vilelele Kama ilivyo Forum yoyote)
Ingawa Kuna tofauti ya Forum (Jamii Forums) na Social Network (Facebook) ila zote Ni Social Media na hakuna Chochote ambacho kinazuia Jamii Forums isiwe na Features au Functionalities Kama za Facebook
Japo Tofauti Ni Miaka 2 tu, Facebook imekua Mtandao wa Kijamii wenye Watumiaji wengi zaidi Duniani zaidi ya Billion Moja wanaitumia
Pia Jf imekua Tovuti inayofatiliwa Sana na yenye nguvu kubwa Tz
Lakini Kuna kitu Mimi Binafsi sijalizishwa na Maendeleo ya Jf ndani ya Hii Miaka 13. Still haijaenda mbali Sana na Jambo forum(Version ya Kwanza ya Jf)
Developers wa Jamii Forum wanakwama wapi?
Ukiitazama Facebook 2004(kipindi inaitwa The Facebook) na Facebook ya Sasa Kuna mabadiliko Makubwa Sana haswa katika swala la Muonekano(User Interface), Jinsi gani Ina urafiki na mtumiaji(User Friendly) na Mtumiaji anaweza fanya vitu vipi(Features)
Miaka 13 ya Jamii Forum, Still haipo Responsive
The way inavyoonekana kwenye Desktop (PC) Ni Tofauti na Jinsi Inavyoonekana kwa Mtumiaji wa Simu(Mobile Device) izingatiwe kuwa Watumiaji wengi wanatembelea Tovuti yako kupitia Simu zao, Jf ilitakiwa iweke kipaumbele kwa Watumiaji wa Simu za mkononi Kwanza
Miaka 13 ya Jamii Forums Still siwezi Weka Picha kwenye thread yangu ambayo inatoka kwenye Simu yangu Moja kwa moja(Bila Kuattach file)
Miaka 13 ya Jf, Bado siwezi share video kutoka kwenye Simu yangu au kuiweka katika Post yangu
Miaka 13 ya Jf, Bado Jf Haina Interface nzuri inayovutia kuliko Hii
Miaka 13 ya Jf, Bado PM Interface ipo kawaida Sana na Haina Functionalities za kutosha
Teknohama imekua, Kuna Programming nyingi na nzuri zinazofanya kazi kwa uzuri zaidi
Nikipost thread au kureply Page inabidi Ni subiri Page nzima iji refresh
(Programmers mtanielewa hapa, Kuna Language inaitwa AJAX ambayo inaweza kuzungumza na Server at the background bila Kuathiri tabia ya Webpage husika, Developers wa Jf hawalioni Hili?)
Lengo langu sio kutaka Jf iwe Social Network ila ingevutia zaidi ingekua na hizo features ambazo kitaalam zinawezekana
So Wewe Kama Mzalendo wa Jf ambaye ungetamani kuiona Jf ikiwa Juu zaidi hata ya Facebook ungependa iweje na Mabadiliko gani yafanyike?
Juzi juzi Hapa Moja Kati ya Program Tumishi pendwa zaidi na yenye Watumiaji wengi zaidi ya 1B. Ilidukuliwa na Watu wengi wakaanza Kuhamia Telegram. Kwanini?
Whatsapp Sasa Ina mshindani mwenza, tofauti Ni Features tu. Pia Jamii Forums yawezekana Mbeleni ikawa na Mshindani wake so inabidi iwe tofauti kuliko hivi Sasa
Social Forum mpya inaweza ikawa na Features zipi zitakazo fanya utoke Jf?
Tupe maoni yako!
- ONLY WEB DEVELOPERS - The JF Dev staff zinazo tu web developers from features walizonazo ni trending to Keyboard features kama (Bold, Italic, ...) na What,s new. And the biggest proof ni the Desciption ya the Tech and Science forum ambayo ni either developer alichoka inamaanisha yupo mmoja au cio develper ameandika because hamna Developer of any kind ana define a tech group hivyo.
- NO DEVELOPERS - No permanent developers ina explain why no huge updates na pia because iliwachua mda kufix the NO ANOYNOMOUS rule na pia ina maanisha ADMINS Wanalipia Hosting (kama hawana server, not sure) na ku maintain the group rules ambayo ipo unessecary kama kuna mtu beside web developers.
- COMPLETELY NO DATA SCIENTISTS/ ANALYSTS - Jamiiforums wana umiliki wa data ya watu >500k (BIG DATA), Impact data scientists watakayo fanya na hiyo data nikubwa because ndio hivyo hivyo facebook ilianza (chukua data na kuifanya features and product), From the JF RECCOMENDATIONS Ndio cijui why utasuggest me about "Kocha Mkuu" (nimeangaili recomended ss hv) because c angaliagi mpira na pia proves una recommend with no data analysis at all.
- MACHINE LEARNING - Facebook uses ML to zuia nudity na pia kusuggest new comment au new photos