The next Tanzania president 2025 should be Kassim Majaliwa

Lete Cv ya Majaliwa acha ngonjera. Raisi anaandaliwa. Raisi anatakiwa awe na uwezo mkubwa wa maarifa ya kujifunza shuleni tena kwenye shule bora si ilimradi shule, pia Raisi anatakiwa awe na elimu pana ya kujifunza kwa kuona.

Pia Raisi anatakiwa awe na exposure kubwa ya Ulimwengu, siasa zake. Na ajua madhara ya siasa zake kwa nchi na pia awe mpana wa fikra.

Naona hana elimu ya vyuo bora ulimwengunia hana exposure kubwa duniani amefungwa na misingi ya siasa za kijamaa
 
Huko CCM naona watu wawili ndio sifa stahiki za urais

Mwinyi jr

Na J makamba

Wengine wote hakuna kitu

Ccm wasipopitisha these two figures tujiandae kuwa na mchimbachumvi mwingine
 
As per his working experience and seriousness and so that we can maintain or become middle upper income country our next president should be Kassim Majaliwa.

Let us discuss
Acha kumtili kijicho mwenzio naweza kupigwa chini muda wowote...
Hlf awam hii huwezi kupima ufanisi wa kaz w mtu maana wengi ni wamejifunza unafiki ili waendane na kasi ya mzee
 
Back
Top Bottom