The New "WE ARE THE WORLD"

kui

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
6,467
6,494
Stars came together and re-do "WE ARE THE WORLD", to help Haiti. It was perfomed by...stars... in the 80's to help Ethiopia when it was strike by famine.

Label: you tube
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hii nilikuwa sijaisikia. Nashukuru kwa kunihabarisha.

Too sad Michael Jacksono hayupo ila upande mwingine nashukuru Mungu kuwa Quincy Jones bado yupo hai na Lionel Richie. Na la muhimu zaidi ni kuwa Mzee Quincy amerudi kuwa Producer wa huu wimbo. Huyu mzee namuaminia na siyo hao wanajiita producer na akitoa wimbo mpya baada ya miezi kadhaa watu wamesahau.

Sijui kama ule msingi alioimba Michael Jackson peke yake siku wanarekodi wataendelea kuutumia na hatimaye uingizwe kwenye wimbo mpya. Ila kuna tofauti sana ya technolojia ya zamani na ya sasa. Wanasema video wanashoot katika 3D. Hii inaweza kuweka rekodi mpya ya mauzo duniani. ngoja tusubiri tuone na hasa kama album wataweka remix kadhaa tofauti na huu ambao wanasema utakuwa sawa na wa zamani ila kasoro waimbaji wengine.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=5XZnINdmeCA&feature=related[/ame]
 
By far I still like the original :)

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=jzw6GiqZyD0&feature=related[/ame]
 
Sasa T-Pain na auto tune ya nini?
Halafu kwa nini Wyclef ana scream hivyo? WTF?
 
Hii nilikuwa sijaisikia. Nashukuru kwa kunihabarisha.

Too sad Michael Jacksono hayupo ila upande mwingine nashukuru Mungu kuwa Quincy Jones bado yupo hai na Lionel Richie. Na la muhimu zaidi ni kuwa Mzee Quincy amerudi kuwa Producer wa huu wimbo. Huyu mzee namuaminia na siyo hao wanajiita producer na akitoa wimbo mpya baada ya miezi kadhaa watu wamesahau.

Sijui kama ule msingi alioimba Michael Jackson peke yake siku wanarekodi wataendelea kuutumia na hatimaye uingizwe kwenye wimbo mpya. Ila kuna tofauti sana ya technolojia ya zamani na ya sasa. Wanasema video wanashoot katika 3D. Hii inaweza kuweka rekodi mpya ya mauzo duniani. ngoja tusubiri tuone na hasa kama album wataweka remix kadhaa tofauti na huu ambao wanasema utakuwa sawa na wa zamani ila kasoro waimbaji wengine.

http://www.youtube.com/watch?v=5XZnINdmeCA&feature=related

I know, quincy is always the best. I loved they way they included Michael's part from the Original one, no one can take his place. Halafu they added Janet and the way their voices sound almost the same, I think it came out pretty good with the hip hop beat. I love this one too but the original will alwayz be classy.
 
Back
Top Bottom