The new TTCL Management (2009) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The new TTCL Management (2009)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JamiiForums, Jul 10, 2009.

 1. JamiiForums

  JamiiForums Official Robot Staff Member

  #1
  Jul 10, 2009
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 5,091
  Likes Received: 2,229
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Basi serikali iwape ushirikiano waifufue. And this time ule mchezo wa kujifanya mara wanatafuta management ya kukodi au sijui wawekezaji na ufe maana kwa tulivyojifunza ni wizi mtupu.
   
 3. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2009
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hawa watu siwajui na sijawahi kuwasikia....
  need to know them and what they've been doing!! Je walikuwa chini ya wale jamaa wa SaSkatel??

  Kazi wanayo!
   
 4. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2009
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  ukiona hivyo huu sio uongozi mpya. Hawa ndio waliokuwa wakifanya kazi wakati wenzao wakivuna USD.
   
 5. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hakuna jipya hapa
   
 6. Recta

  Recta JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2009
  Joined: Dec 8, 2006
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wote hao ni viongozi wa siku nyingi wa TTCL. Baadhi yao wamekuwa wakishika na kuachia nyadhifa hizo kila mabadiliko yanapotokea. Isipokuwa Acting CEO mpya Said A. Said ambae alikuwa Zonal Manager Mbeya.

  Nadhani structure hiyo ni ya muda mfupi tu (transition period), maana sidhani kama ina uwezo wa kuleta mabadiliko ya maana. Ni wazi kuwa kuna management mpya kabisa itakayoundwa.
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hawa inabidi wakiewa ruzuku uwe ndo mtaji wao huo huo kufufua na serikali isitoe tena ruzuku maana ndiyo inayo changia kuua hili shirika wanashindwa kabisa ushindani katika soko.
   
 8. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jipya lipo. This is one of those serious issues zinazolenga mustakabali wa nchi yetu. TTCL mpya chini ya Watanzania wenyewe inahitaji kila aina ya support ili tusiendelee kuwa 'tegemezi' kwa watu kutoka nje wanaokuja kutaka kujinufaisha tu na si kutusaidia. Serikali inapaswa ielekeze nguvu katika kuliimarisha au hata kutoa moral support kwa uongozi mpya ili tusirudie makosa ya kuli-genisha kwa wageni shirika muhimu kwa mawasiliano. TTCL inaweza kujipanga na kuweza kuwa kama mashirika mengine ya mawasiliano ya simu za mkononi kama Vodacom, Tigo n.k. Why not?
   
 9. C

  Chap Member

  #9
  Jul 10, 2009
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Conglatulation new team
  ninaimani nayo kubwa sana
   
 10. H

  Haruna Malima Member

  #10
  Jul 10, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wape nafasi, wataweza. Wako exposed na strategic level decision making! Kutaja huyu anafaa, huyu nina wasiwasi naye ni ufinyu wa Conceptual and Human skills in management field.
   
 11. M

  MtazamoWangu JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2009
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hapo nisiyemjua ni Said CEO, ila mama chilipweli yupo muda mrefu sana TTCL na baada ya kifo cha marehemu Mkumba alitegemea yeye ndiye atakayechukua uCEO, amekuwa ttcl muda mrefu sana upande wa Technical, Mrisho yeye alitokea PWC na kuingia TTCL, alikuwemo kwenye ile kashfa ya kodi kati ya TTCL na TRA sijui kama alisafishwa, alikuwepo kabla ya saskatel,
  huyu Nangi wale akina Mloka na Bablia watamloga..kuna wakati bwana Mloka hata uCEO aliomba..sasa wamemtoa kabisa.
  hawa wote walikuwepo kabla ya saskatel na kufanya kazi chini ya wazungu na hata kabla saskatel hawakuja hawa, ukiacha CEO mteule na bwana CM&SO,ndio waliokuwa wakiendesha shirika chini ya marehemu Said Mkumba, na maendeleo yote yaliopo TTCL leo ni yale yaliopatika wakati ule. hakuna jipya.

  hivi kwani serikali haiwezi kushitakiwa kwa kuitia hasara TTCL kwakuingia mkataba na saskatel kwani hata kabla ule mkataba haukuingiwa kulikuwepo na malalamiko ya kutokubalika..serikali ndio inauwa kampuni..na inasemekana wale jamaa toka wapewe notice wamefanya tansaction za kutisha....
   
 12. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #12
  Jul 10, 2009
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mimi natafuta kazi kwenye hili shirika la umma, tangazeni na kazi zingine na wengine tuombe. Wengine tumechoka na kubeba box.
   
 13. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hivi mkataba wa management uliovunjwa unasemaje? hao wazungu wana grounds zozote za kuvunja mkataba na kusiwe na repercusions zozote upande wao?
   
 14. A

  AG Member

  #14
  Jul 10, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 70
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 25
  Kama serikali haitavunja mkataba wake mbovu na ZAIN kuhusu umiliki wa TTCL Huu ni usanii tu kwani hawa "CELTEL" ni wabia wa serikali wakiwa na hisa 35 huko TTCL. Katika makubaliano ya mkataba ni kwamba lazima kuwe na menejiment ya kukodi. Kama hayo makubaliano hayatatenguliwa hili ni changa la macho tu kwani wataletwa wasanii wengine na kulipwa mishahara minono. By the way hawa saskatel wamefanya kipi cha "kizungu"?
   
 15. Van Walter

  Van Walter Senior Member

  #15
  Jul 10, 2009
  Joined: Jun 16, 2009
  Messages: 171
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  bora warudishiwe wabongo.
   
 16. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #16
  Jul 10, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  :D:confused::rolleyes::eek: Si wamefanya ulaji? (Naomba tusiuite wizi)
   
 17. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #17
  Jul 10, 2009
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mtanzania ukitaka kazi bongo nishtue tu.

  Jamani Recycle ya viongozi mpaka lini?, kama walikuwepo wakawepo wakawepooooo weeee; utafikiri Kingunge, wakaonekana hawafai, wakaletewa Celtel, Celtel wakaondoka, wao wakawa bado wapo (sijui hawauziki kwenye soko la ajira???!!!), wakaletewa wazungu, wakaendelea KUWEPO!!!!!

  Hii tunaita KUWARUDISHA MAKAPI.

  Serikali tafuteni watanzania wengine, hawa hawana mawazo mapya!

  Kubalini mkatae ukweli ndo huo.
   
 18. M

  Mpingo1 Member

  #18
  Jul 10, 2009
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna watu wameongea issues za muhimu hapo juu.

  Kama serikali haitavunja mkataba wake na Celtel, haya yote ni vichekesho tu. Sasktel walijitahidi sana kwa miaka miwili kutafuta mikopo toka kwenye mabenki. Ugomvi wa serikali na Celtel umewafanye waonekane si mali kitu, kwani wabia hao walishindwa kuwadhamini.

  Celtel wanashika handbreak kuhakikisha kwamba TTCL haikopesheni kwa namna yoyote ile.

  Tatizo jingine la TTCL ni aina ya wafanyakazi waliopo. Wapo vijana wasomi wazuri tu waliajiriwa kwa mikataba ya muda mfupi, halafu wapo shikamoo jazz wanaosema walikuwapo tangu enzi za East African Community! Matokeo yake ujima ni mwingi kuliko vitendo
   
 19. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #19
  Jul 10, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  si haba
   
 20. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #20
  Jul 10, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  u knw thm?
   
Loading...