The new skill you will learn when becoming a new mother is to sleep on the edge of the bed

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
1122192
 
Mzee baba ndio victim kwa hio arena speaking from current experience hahah kajitu ka sentimita 40 kanalala sentimita za mraba 200 mama yake analala sentimita 80 sentimita 20 ndo dingirai anamiliki mgawanyo wa sita kwa sita apa pangoni kwangu
Huwa ninamuonea huruma baba akiamshwa na kelele za breast feeding time wakati asubuhi inammbidi aende kazini na mama bado yuko maternity leave.
 
Hahah hio shida haikeri lakin especially ndio kama ka first born unaenjoy sana bado kana amka kila baada ya masaa mawili kanawika
 
Mzee baba ndio victim kwa hio arena speaking from current experience hahah kajitu ka sentimita 40 kanalala sentimita za mraba 200 mama yake analala sentimita 80 sentimita 20 ndo dingirai anamiliki mgawanyo wa sita kwa sita apa pangoni kwangu
Hii kweli maana nateseka balaa watu wawili wamemaliza kitanda chote mi nalalia ubao tu
 
Huwa ninamuonea huruma baba akiamshwa na kelele za breast feeding time wakati asubuhi inammbidi aende kazini na mama bado yuko maternity leave.
Yaani huyu mwanangu nahisi ananifanyia visa maana haiwezekani akeshe usiku kucha halafu ikifika saa kumi na mbili asubuhi ndio analala, najikuta nagombana na mama yake bila sababu
 
Back
Top Bottom