The New Scramble for and Pertition Of Africa!

jmushi1

Platinum Member
Nov 2, 2007
24,967
22,476
A new "scramble for Africa" is taking place among the world's big powers, who are tapping into the continent for its oil and diamonds.

Tony Blair is pushing hard for African debt relief agreements in the run-up to the G8 summit in Scotland in July. But while sub-Saharan Africa is the object of the west's charitable concern, billions of pounds' worth of natural resources are being removed from it.

A Guardian investigation beginning today reveals that instead of enriching often debt-ridden countries, some big corporations are accused by campaigners of facilitating corruption and provoking instability - so much so that organisations such as Friends of the Earth talk of an "oil curse".

Simon Taylor, director of Global Witness, which has been prominent in urging reform, said: "Western companies and banks have colluded in stripping Africa's resources. We need to track revenues from oil, mining and logging into national budgets to make sure that the money isn't siphoned off by corrupt officials."
Looting of state assets by corrupt leaders should become a crime under international law, he said.

"The G8 should take the lead in this."

The original Scramble for Africa took place in the late 19th century, when Britain, France and Germany competed to carve Africa into colonies.

Today corporations from the US, France, Britain and China are competing to profit from the rulers of often chaotic and corrupt regimes.

Our investigations in three African countries rich in resources - Angola, Equatorial Guinea and Liberia - show how British-based companies have negotiated deals that critics say are against the interests of some of the poorest and most traumatised people on earth.

The Guardian's inquiries focus on a big gas project in Equatorial Guinea; plans to exploit Liberia's diamonds, and western banks' readiness to provide Angola with huge oil-backed loans.

In Equatorial Guinea, BG plc (formerly the British Gas state company) has closed a deal with the regime of President Teodoro Obiang to buy up the country's production of liquefied natural gas for the next 17 years.

Britain's HSBC bank has been accused by a US Senate committee of helping Mr Obiang move cash from the country's oil revenues into financial "black holes" in Luxembourg and Cyprus. The country is threatened with repeated coups by outsiders keen to get their hands on the oil wealth.

In Liberia, which has been beset by civil war, LIB, a private London bank, was behind attempts to monopolise alluvial diamond production and the country's telecommunications. The UN and the World Bank have criticised the schemes as secretive and against the country's interests. LIB has now withdrawn.

And in Angola, the victim of an even more destructive internal war, one of the UK's leading development banks, Standard Chartered, has been accused of damaging the country's economy by providing record multibillion dollar loans which give a stranglehold over future oil production.

A succession of scandals has already revealed how oil wealth was looted in billions from the former Abacha military regime in Nigeria with the assistance of western banks and bribes paid by US oil firms.

In Sudan and Chad, Chinese companies are moving in, backing and arming military rulers and building pipelines.

And in France, the then state oil company Elf has been accused in corruption investigations of having paid kickbacks and encouraged regimes to run up debts as part of a deliberate "African strategy".

Congo-Brazzaville, the fourth-largest sub-Saharan oil producer, was dominated by Elf, and now has the highest per capita debt in the world.

Global Witness says in a 2004 report: "Oil wealth [there] has left a legacy of corruption, poverty and conflict."
The British government is pushing an international plan for disclosure by companies of how much they pay African rulers for their natural resources. The Extractive Industries Transparency Initiative has been praised by anti-corruption bodies.

But campaigners say that on present evidence improvements in western behaviour so far appear slight. And they fear the chances of these issues being raised as priorities at the G8 summit at Gleneagles in July remain bleak as EU countries quibble about levels of aid and the US balks at innovative schemes for debt relief.

Gareth Thomas, the international development minister, said Britain hoped to have 20 African countries signed up to the transparency code by the end of the year. "There is big political support for this programme and we will be addressing the issue in the G8 summit communique," he said.

Northern and Southern Rhodesia are also in the midst of the scramble amongst the big powers notably China,The US and UK..Together with other natural and historical allies !
Our beloved country is also in the mixture on this defining moment!What is our responsiblities the men and women of this generation?WHAT ARE OUR RESPONSIBILITIES MY FELLOW COUNTYRMEN AND WOMEN?
 
china_africa_us1.png
 
minister, said Britain hoped to have 20 African countries signed up to the transparency code by the end of the year. "There is big political support for this programme and we will be addressing the issue in the G8 summit communique," he said.
Is our country amongst the 20?
 
A new "scramble for Africa" is taking place among the world's big powers, who are tapping into the continent for its oil and diamonds.

Tony Blair is pushing hard for African debt relief agreements in the run-up to the G8 summit in Scotland in July. But while sub-Saharan Africa is the object of the west's charitable concern, billions of pounds' worth of natural resources are being removed from it.
A Guardian investigation beginning today reveals that instead of enriching often debt-ridden countries, some big corporations are accused by campaigners of facilitating corruption and provoking instability - so much so that organisations such as Friends of the Earth talk of an "oil curse".
Simon Taylor, director of Global Witness, which has been prominent in urging reform, said: "Western companies and banks have colluded in stripping Africa's resources. We need to track revenues from oil, mining and logging into national budgets to make sure that the money isn't siphoned off by corrupt officials."
Looting of state assets by corrupt leaders should become a crime under international law, he said.
"The G8 should take the lead in this."
The original Scramble for Africa took place in the late 19th century, when Britain, France and Germany competed to carve Africa into colonies.
Today corporations from the US, France, Britain and China are competing to profit from the rulers of often chaotic and corrupt regimes.
Our investigations in three African countries rich in resources - Angola, Equatorial Guinea and Liberia - show how British-based companies have negotiated deals that critics say are against the interests of some of the poorest and most traumatised people on earth.
The Guardian's inquiries focus on a big gas project in Equatorial Guinea; plans to exploit Liberia's diamonds, and western banks' readiness to provide Angola with huge oil-backed loans.
In Equatorial Guinea, BG plc (formerly the British Gas state company) has closed a deal with the regime of President Teodoro Obiang to buy up the country's production of liquefied natural gas for the next 17 years.
Britain's HSBC bank has been accused by a US Senate committee of helping Mr Obiang move cash from the country's oil revenues into financial "black holes" in Luxembourg and Cyprus. The country is threatened with repeated coups by outsiders keen to get their hands on the oil wealth.
In Liberia, which has been beset by civil war, LIB, a private London bank, was behind attempts to monopolise alluvial diamond production and the country's telecommunications. The UN and the World Bank have criticised the schemes as secretive and against the country's interests. LIB has now withdrawn.
And in Angola, the victim of an even more destructive internal war, one of the UK's leading development banks, Standard Chartered, has been accused of damaging the country's economy by providing record multibillion dollar loans which give a stranglehold over future oil production.
A succession of scandals has already revealed how oil wealth was looted in billions from the former Abacha military regime in Nigeria with the assistance of western banks and bribes paid by US oil firms.
In Sudan and Chad, Chinese companies are moving in, backing and arming military rulers and building pipelines.
And in France, the then state oil company Elf has been accused in corruption investigations of having paid kickbacks and encouraged regimes to run up debts as part of a deliberate "African strategy".
Congo-Brazzaville, the fourth-largest sub-Saharan oil producer, was dominated by Elf, and now has the highest per capita debt in the world.
Global Witness says in a 2004 report: "Oil wealth [there] has left a legacy of corruption, poverty and conflict."
The British government is pushing an international plan for disclosure by companies of how much they pay African rulers for their natural resources. The Extractive Industries Transparency Initiative has been praised by anti-corruption bodies.
But campaigners say that on present evidence improvements in western behaviour so far appear slight. And they fear the chances of these issues being raised as priorities at the G8 summit at Gleneagles in July remain bleak as EU countries quibble about levels of aid and the US balks at innovative schemes for debt relief. Gareth Thomas, the international development minister, said Britain hoped to have 20 African countries signed up to the transparency code by the end of the year. "There is big political support for this programme and we will be addressing the issue in the G8 summit communique," he said.

I don't see anything wrong with foreign powers exploiting Africa's resources. Let's face it, if it is not for these foreign powers those natural resources would not be exploited by African themselves. The issue is can Africans benefit from the exploitation the same way Arabs have benefited from the exploitation of oil in their countries? The answer is yes and no. The few politicos will benefit but the majority of Africans won't. Now is it the foreign powers' fault that only the politicos will benefit from the exploitation? No, it is the fault of the Africans themselves. If you want to get really technical you can say it is the low IQ of Africans that is to blame. Arabs have a slightly higher average IQ and they have managed to squeeze out a lot of benefits from the exploitation of oil in their lands. The Arab countries have prospered because of it but if you look at a country like Nigeria with its vast oil wealth you don't see the same success. Ask yourself why and you will get the picture.
 
Inauma na it is the same story in Tz. Waafrika ndivyo tulivyo.Uchoyo unaanzia majumbani mwetu hadi taifa. Tuombe tanzania tumpate "mother Thereza"
 
I don't see anything wrong with foreign powers exploiting Africa's resources. Let's face it, if it is not for these foreign powers those natural resources would not be exploited by African themselves. The issue is can Africans benefit from the exploitation the same way Arabs have benefited from the exploitation of oil in their countries? The answer is yes and no. The few politicos will benefit but the majority of Africans won't. Now is it the foreign powers' fault that only the politicos will benefit from the exploitation? No, it is the fault of the Africans themselves. If you want to get really technical you can say it is the low IQ of Africans that is to blame. Arabs have a slightly higher average IQ and they have managed to squeeze out a lot of benefits from the exploitation of oil in their lands. The Arab countries have prospered because of it but if you look at a country like Nigeria with its vast oil wealth you don't see the same success. Ask yourself why and you will get the picture.
Ndugu yangu naona unataka kupingana na Historia together with the reality!
Ni juzi tu alhamisi kama sikosei kiongozi mmoja wa upinzani huko Zambia alikuwa akizungumzia yale yale ambayo wakoloni walikuwa wakiyafanya before and ndio yanayofanyika hivi sasa!
Tofauti ni kwamba sasa hivi ni mkoloni wa tofauti!
Ni Mchina!This time ni mchina!
Sasa jamaa alikuwa analalamikia kile kile tunachokubaliana wote kuwa kilichangia kwa kiasi kikubwa kuifanya Afrika kuwa masikini!
Kuchukua malighafi na kuziexport huko kwao and then kuja kutuuzia bidhaa zilizotokana na malighafi zetu!Hii sio kunyoywa tena!Hii ni kuchunwa ngozi alive!
Ndugu yangu umesahau kuwa mipaka iliyoko Afrika iliwekwa na mkoloni..1885-88 kama sikosei huko Berlin!
Wakagawana Afrika kutegemeana na maslahi yao bila kujali kuwa ndugu walitenganishwa..jamii zilitenganishwa na maeneo yao ama vitega uchumi vyao ama rasilimali zao!Mgawano haukujalisha!Na ndio maana unashangazwa kuona eti kuna Maasai ya Tanzania na Maasai ya Kenya!MAASAI NI MOJA!
Afrika itakombolewa na Mwafrika mwenyewe..
Historia ya Afrika ni very unique!Trust me...
Mwarabu na Mzungu unaowazungumzia walikuwa kitu moja wakati wa kuwakatili waafrika na kuwafanya watumwa!Utofauti wao bado uko kwenye maslahi ya culture zao kama ilivyokuwa zamani na si vinginevyo!
Ili kuwateka watawaliwa..walitumia mbinu nyingi tu ikiwa ni pamoja na kueneza dini zao badala ya elimu!
Walipowachukua watumwa..waliwabeba wale majitu,vijana shupavu..kinadada..na kuwaacha watoto na vikongwe!
Sisi ndio production ya ile jamii iliyobaki!Jamii ya watoto na vikongwe!Vikongwe wakifariki na watoto wakitangatanga bila dira wala mwelekeo,bila malezi bora na chakula!
Hilo tusahau na sasa tuone kuwa tunaelekea wapi!
Tatizo ni wilingness ya wazungu kukubali kuwa na fair trade bila kujaribu kuwa corrupt viongozi wetu na kuwasahau wananchi!
Walipoondoka wakoloni..hawakuondoka kwa kupenda!Elimu haikupewa kipaumbele na ni jambo ambalo hadi sasa kizazi hadi kizazi cha viongozi wetu vimeshindwa kulisimamia!
Viongozi wet walimwona Mkoloni kuwa ni mbaya lakini hawakuona kuwa mbinu walizotumia kututawala zilikuwa mbaya!Waliamua kizirithi zote na kwa nguvu zote!Na ndio maana hawakutaka kubadilisha katiba kwani ilikuwa na bado inampa mtawala nguvu nyingi mno ambazo hatma yake zimekuwa misused kwa namna ile ile ilivyokuwa ikiwa missused the only thing different ni mkoloni wetu wa sasa ni mweusi akishirikiana na baadhi ya makampuni makubwa yenye ushawishi mkubwa kwenye siasa za dunia!
Ndugu yangu kuna wazungu pia ambao wana progressive minds!
Na ndio maana nchi kama Marekani weusi wa huko waliweza kupata baadhi ya haki zao kwasababu kuna baadhi ya wazungu waliokuwa wanaona sio haki...na hivyo kuwa upande wao!
Afrika ni bara tajiri kuliko yote yet ni masikini kuliko yote!Halfu wewe unashabikia "Exploitation"Hapa inabidi uwe specific kwasababu ku exploit for who's benefit?Is it benefiting the people who owns the resources?
Huko Nigeria its the same thing happening!Na kuna militants tayari ambao wanapigania rasilimali zao!Ni vurugu tupu
Afrika haiitaji chakula cha msaada..inahitaji kuwezeshwa ku conserve food!Unashangazwa bongo kuna kila aina ya matunda lakini msimu ukiisha then yameisha.the same with mazao ya vyakula!Msimu huuo ukipita yamepita!Halafu kuna msimu mambo yanakuwa mabaya!Tunaanza kujiuliza wapi tutakula..huku tukiwa tumesahahu kuwa misimu ile tuliyokuwa tukipata mazao mengi ya kutosha na ya ziada..tuliyafuja na wakati mwingine kuyatumia vibaya!Wengine wanayatumia kutengenezea pombe badala ya kufikiria kuhusu kuhifadhi mazao hayo!Ina maana miaka yote hiyo iliyopita toka tupate uhuru mwaka 1961 viongozi hawajaona umuhimu wa kuwaelimisha wananchi na kuwasaidia?
Tatizo ni pesa za misaada ambazo viongozi wetu wamekuwa addicted kiasi cha kutisha!
Hatuhitaji madawa yanayokaribia kuexpire bali tunahitaji kuwaelimisha na kuwawezesha wananchi kujikinga na magonjwa hayo!
Hii ikiwa ni pamoja na kuwashirikisha na kuwekeza kwenye uhifadhi wa mazingira!
Tunataka tuone rasilimali zetu zikisaidia walau kuwapelekea wananchi Elimu Bora, Hospitali,Maji,Dawa,Uwezo wa kuhifadhi mazao pamoja na kilimo cha kisasa,barabara pamoja na kazi ambazo zitatokana na sio tu wakati wa kuzi acquire na kuzi process raw materials zetu....!Bali pia wakati wa manufacturing!Hilo linawezekana na haina maana kwamba hawatapata faida!No!Watapata faida ya kutosha tu na sisi pia tutayachuma matunda mema ya baraka ambazo ni nature yetu na zawadi tuliyoipata kutoka kwa Maulana!Jambo ambalo wao wanataka kuligeuza kuwa balaa kwa bara letu badala ya Baraka!
Ni wakati wa kushirikiana na wale wote duniani pote ambao wanamwelekeo wa kutaka kuikomboa Afrika ili walau kile tulichonacho kitufanye tuweze kuishi kama binadamu na si kama wanyama wenye kuhitaji msaada all the time!
Afrika hatutaki utajiri ili tujenge Neuclear ama Jeshi kuu la kuvamia wengine!Tunataka mapato ya kutuwezesha sisi kujikomboa kutoka kwenye Umasikini,Njaa na Magonjwa!
Unasema Africa can not exploit it self?We should exploit our own resoursce!we should import and export on fair basis!
Ndugu yangu mimi niliomba mawazo ya nini kifanyike!Lakini naona wewe umebakia na mawazo ambayo ni kama vile umekata tamaa kabisa!
 
I don't see anything wrong with foreign powers exploiting Africa's resources. Let's face it, if it is not for these foreign powers those natural resources would not be exploited by African themselves. The issue is can Africans benefit from the exploitation the same way Arabs have benefited from the exploitation of oil in their countries? The answer is yes and no. The few politicos will benefit but the majority of Africans won't. Now is it the foreign powers' fault that only the politicos will benefit from the exploitation? No, it is the fault of the Africans themselves. If you want to get really technical you can say it is the low IQ of Africans that is to blame. Arabs have a slightly higher average IQ and they have managed to squeeze out a lot of benefits from the exploitation of oil in their lands. The Arab countries have prospered because of it but if you look at a country like Nigeria with its vast oil wealth you don't see the same success. Ask yourself why and you will get the picture.

Kwanza kabisa nadhani inabidi kama jmushi1 alivyoandika - upate historia kidogo! Unachoandika kinatisha maana inaonyesha self-hate yako!
I am African and proud of the fact that I have a high IQ! Just like many of my brothers and sisters whom I studied with. Hivi unafikiri umaskini ndiyo kipimo cha IQ? You are Westernized and loath yourself and your race.
No! Katika hilo siwezi kukubali! Tumenyanyasika vya kutosha, tuliambiwa eti evolution and other crap inathibitisha we are inferior, WRONG! You cannot talk about anything like that without context.
You think Arabs are sooo smart? Just 2 decades ago, the whites called them 'rag heads'as they were squandering their wealth on camels and gold. What made everything change is just the past 10 years, is thanks to their emirs who single handedly can determine the future of the country. Na bado wanaofaidi ni watawala wao, usidanganyike! So usituletee hapa mifano ya waarabu, maana they have a long way to go! It is not only about roads and shopping malls! Sitaki nasema SITAKI kutukanwa kama mwafrika!
 
Mi binafsi nadhani kuna umuhimu wa kuwa na sheria zinazolinda maslahi ya taifa, badala ya kukaa na kulalamika. Nakubali kwamba wenyewe kama watanzania tunaweza tukashindwa kufanya oil exploration, lakini hata tukifanya ubia na makampuni ya kigeni, kuna njia mbalimbali za kuhakikisha ya kuwa tunafaidika na rasilimali zetu na also kwamba tunasimamia exploration na extraction. Kwa mfano Tanzanite naona inachukuliwa kimzaha sana. Kwanza inapatikana hapa nchini tu. Kwa hiyo inabidi tupate royalty kama Ethiopia walivyoweka condition ya kuwa wanapata royalty kila kahawa yao yenye majina yao yanavyotumika na Starsbuck. Alafu pia kuna haja ya kutafuta njia ya kuhakikisha kwamba Tanzanite haitoki nchi as rough stone, but is polished here. Hapo tutaweza kupata more value and more taxes. sasa hizi Economic Free zones, sijui zimeundwa kwa nia gani wakati hakuna kinachotendeka. There has to be a conducive environment na sio mwekezaji akija hapa anaambiwa lazima aingie ubia na waziri! Maana hii ndo inaturudisha nyuma, as once that bribery is paid, basi hakuna incentive for the invstor to do anything except cut corners and chukua chako mapema! Sasa kinachotakiwa ni viongozi wenye VISION! Once independent candidates will be allowed nina uhakika wengi wetu hapa JF will reconsider running as diwani, MP etc na kuleta changamoto katika political scene ya Bongo,. Also tumeanza kuona the beginnning of the end of CCM, so there's room for hope.
 
Ulaya wana historia ndefu sana kumbukeni walipotoka jamani, hawa jamaa ni jamii hatari sana, ila siku yaja Africa tutapata haki yetu toka kwa Mungu wetu, ila sasa kitendo cha kutugawa, kweli siku moja kitakoma.
 
Mi binafsi nadhani kuna umuhimu wa kuwa na sheria zinazolinda maslahi ya taifa, badala ya kukaa na kulalamika. Nakubali kwamba wenyewe kama watanzania tunaweza tukashindwa kufanya oil exploration, lakini hata tukifanya ubia na makampuni ya kigeni, kuna njia mbalimbali za kuhakikisha ya kuwa tunafaidika na rasilimali zetu na also kwamba tunasimamia exploration na extraction. Kwa mfano Tanzanite naona inachukuliwa kimzaha sana. Kwanza inapatikana hapa nchini tu. Kwa hiyo inabidi tupate royalty kama Ethiopia walivyoweka condition ya kuwa wanapata royalty kila kahawa yao yenye majina yao yanavyotumika na Starsbuck. Alafu pia kuna haja ya kutafuta njia ya kuhakikisha kwamba Tanzanite haitoki nchi as rough stone, but is polished here. Hapo tutaweza kupata more value and more taxes. sasa hizi Economic Free zones, sijui zimeundwa kwa nia gani wakati hakuna kinachotendeka. There has to be a conducive environment na sio mwekezaji akija hapa anaambiwa lazima aingie ubia na waziri! Maana hii ndo inaturudisha nyuma, as once that bribery is paid, basi hakuna incentive for the invstor to do anything except cut corners and chukua chako mapema! Sasa kinachotakiwa ni viongozi wenye VISION! Once independent candidates will be allowed nina uhakika wengi wetu hapa JF will reconsider running as diwani, MP etc na kuleta changamoto katika political scene ya Bongo,. Also tumeanza kuona the beginnning of the end of CCM, so there's room for hope.
Na kwa taarifa yako mkuu Tanzanite is said or is estimated to be gone in in the coming ten years!
So very soon(in the next 10 yrs) utaona kuwa Tanzanite haipatikani tena..inapanda bei na iko mikononi mwa makampuni makubwa..wao wakivuna faida na sisi kuachwa na mashimo,umasikini pamoja na vijisenti ambavyo still viko kwenye akaunti za nje chini ya watawala wetu wa "viwango vya juu!"
 
Hivi kwa nini hawa walijigawia Afrika na sisi Waafrika tukawaacha wafanye hivyo? It doesn't make sense to me. And this is one of the reason why some believe that whites are superior. I mean, how else can you explain that so called scramble and partition of Africa..?
 
Walishafanya hivyo na madhara yake yanaonekana!Sasa the next question we ought to ask ourselves is what are we going to do in order to make the situation better?
 
How can one continent be so out of step with humankind's march of progress? Everyone agrees that Africans are desperately poor and typically endure governments that are, to varying degrees, corrupt and capricious!
The dispute is about causes and consequences! One group--call it "the poverty-first camp"--believes African governments are so lousy precisely because their countries are so poor.
The other group"the governance-first camp"(which i mostly agree with and it is evidently applicable in our country's politics) holds that Africans are impoverished because their rulers keep them that way!
The argument may seem pedantic, but there are billions of dollars at stake, and millions of lives! The fundamental question is whether those who are well-off can salve a continent's suffering... or if, for all our good intentions, Africans are really on their own!
If we dont wake up nobody will wake us up!
 
..hiyo ya pili inaleta maana.

..hivi watu wanatumia mabilioni ya shilingi kwa mambo yasiyo na lazima na yenye mbadala;magari,safari na baraza la mawaziri. bila kujali kwamba kuna vijiji havina madaraja ya kuwaunganisha na dunia. bila kujali madarasa hayana walimu. bila kujali zahanati na hospitali ni chache na hazina wauguzi na madaktari. madawa na vyombo hamna.

..sasa kwanini tusiendelee kuwa masikini?
 
..in a broad sense,maisha ni uchaguzi[choices].

..nadhani sisi kwa kujua au kutokujua,tumechagua umaskini!

..tunaridhika na kuvumilia vitu vya ovyo ovyo!
 
Unless and until you prove WRONG those who call your IQ inferior you will remain to be seen so. To me we dont need to point fingers at the Berlin conference, Lancaster meetings..name it! It all comes back to US, WE! Mushi unalalamikia natural resources zetu zinaibiwa. I agree. But I dont agree on who is stealing them! Have you ever asked your self, nani anawapa ruhusa ya kuchimba hayo madini? kukata hayo magogo? kutuuzia Richmond ambayo haipo? ulishawahi kujiuliza haya maswali? perhaps umewahi..Ok ulishawahi kujiuliza nani anawapigia kura hao viongozi? ulishawahi kujiuliza nani anaandamana kuwapongeza kwa kazi nzuri (ya ufisadi) ulishawahi kujiuliza kwa nini Fisadi kama Lowasa anapokelewa kwa vigeregere kama shujaa na wananchi na ASKOFU baada ya kupelekwa Kunakostahili Keko?? OK, labda IMF na WB ndo wabaya wetu..ulishawahi kujiuliza nani anawaalika hao IMF? ulishawahi kujiuliza nani alitulazimisha tununue ndege hata tukila majani? ulishawahi kujiuluza nani alitulazimisha tununue rada feki? Ok..labda wajapani na wachina..ulishawahi kujiuliuza nani anatulazimisha tununue VX za Million Mia moja kwa kiongozi mmoja wakati zahanati hazina hata aspirini?

Perhaps mi ni mjinga..lakini ukijibu hayo maswali hapo juu..tutaendelea na mjadala kuangalia ni jinsi gani Berlin conference ilihamisha wamasai miaka miambili..na hiyo ikatuathiri hata jinsi ubongo wetu unavyofikiria...wachache mlioko Ulaya MNAKOFAIDI MAENDELEO YA WENGINE mnaweza kusema kwamba mnadhalilishwa kuambiwa kwamba IQ yenu ni inferior..Utajiri una maana gani kama hauwezi kukusaidia?

I believe that the greatest enemy of Africa, is not a muzungu or mwarabu or anybody. Its we Africans! Period. Mengine ni kupoteza mwelekeo wa hoja.
 
Sasa tofauti yetu ikwapi?

Mimi nilichosema ni kwamba lazima tuinclude historia yetu pale tunapodertemine future yetu!

Tuko upande mmoja na ndio maana kama umesoma posting zangu utaona nimesema ni waafrika wenyewe tutakaojiondolea matatizo yetu kama tukiamua!

Tukiamua kuwa na uongozi bora!Hilo tuko pamoja!

Lakini pia hawa wenzetu ni lazima tuwamention kwasababu ndio historia yetu!

Wao wanasema walikuja Afrika kutuendeleza na kutufanya civilized(kwani waliona tunaishi kama wanyama)..Wakati sisi tunasema walifuata rasilimali zetu!

Sasa wewe uko upande upi?

Na ni kipi kimebadilika?Kwani nchi si imeshachukuliwa we hujui?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom