The new me.

OTIS

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
2,251
827
Nilikuja kwa jina la dushelele.
Nimebatizwa jana na sasa naitwa Otis.
Tuzidishe upendo.
OTIS.
 
Nilikuja kwa jina la dushelele.
Nimebatizwa jana na sasa naitwa Otis.
Tuzidishe upendo.
OTIS.

Hivi hii kumbe ni ruksa? Ile Id yako ya mwanzo inakuwa imekula life ban ama vipi? Maana unaweza kuingia na ile ukachafua hali ya hewa huku ukijua ukipigwa ban tu unaingia na ile nyingine.Teh teh teh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom