The new Landrove Defender

Mimi ninayo Freelander ilinitesa . Ukiua spare mpaka kuagiza . Wafanye spare zao ziwe kama Toyota. Anytime, anywhere unapata huduma. Siyo mpaka dealer bhuaana

Mkuu ukiwa na uwezo wa kumiliki gari kama hilo, maana yake huna gari moja. Ikisumbua unaendelea kutumia nyingine then unaagiza spea.

Wenye magari kama hayo wana magari mengi, na moja likisumbua spea, inaagizwa huku akitumia nyingine.
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Yeah. lakini naamini nado zitakuwa na uwezo wa kuhimili shida za kiafrika kuliko hii landrover ninayoiona hapa...
Sijakataa.

Ila inaweza jazwa umeme na teknolojia za kufa mtu.

Najaribu kuhisi kutakuwa na hybrid version ya LC.
 
Mkuu ukiwa na uwezo wa kumiliki gari kama hilo, maana yake huna gari moja. Ikisumbua unaendelea kutumia nyingine then unaagiza spea.

Wenye magari kama hayo wana magari mengi, na moja likisumbua spea, inaagizwa huku akitumia nyingine.
Mangi bado nasema wazilete na spare zipatikane kirahisi. Wewe upo safarini gari inaleta hitilafu mpaka ubadili gari ?!. Gari haitakuharibikia nyumbani bali safarini .

Cruiser mahali popote huduma unapata . Siyo mpaka dealer
 
Alie kuambia manual haipo nani?
Kumbuka hizi zinatoka kwa order unasema unataka nini unatengenezewa
Labda kama car enthusiast watakua wameisha duniani,wameijaribu steptronic lkn imeshindwa ku-replace manual.
 
Mkuu ukiwa na uwezo wa kumiliki gari kama hilo, maana yake huna gari moja. Ikisumbua unaendelea kutumia nyingine then unaagiza spea.

Wenye magari kama hayo wana magari mengi, na moja likisumbua spea, inaagizwa huku akitumia nyingine.
Muulize alokuwa na Frelander ya mwaka gani?
CX othiambo cairo
 
Teknolojia na umeme mwingi sana vimetumika hapa.
Bora wangeiboresha hii...
19756917_115419872413197_921845715405070687_n.jpg
Wamesha chemka unaweza uka customize tu hiyo old model
interior1.jpg
 
Wabongo katika sehemu hatuelewani ni hapa. Yan mnataka kitu kilekile kila siku hamtaki mabadiliko. Hizi landrover defender zimeshafanyiwa mabadiliki na makampuni kibao na zinakua na mwonekano mzuri kama hamjui ingia google tafuta kwa majina haya Arkonik, khan defender, pamoja na Chelsea truck company hizo ni baadhi ya kampuni zinazofanya modificatication ya ya hizo defender 110.

Haya sasa mwingireza mwenyewe ambaye ndio founder mnataka atoe kitu kile kile ambacho wameshafanya hao wengine.? Hebu jaribuni kufatilia, binafsi mimi ni mpenzi wa haya mandinga na nimeifuatilia kiundani sana ingieni youtube watu wanazifanyia review, yeye hajataka kufanana na wengine ila amekuja ki ruxury zaidi japokuwa ni gari ya kazi siyo kama wengi mnavyo amini. Mabondeni inatembea, milima inakanyaga kwenye lami ndio usiseme. Naona hasa amekuja ku compete na G class Mercedes.
67404213_1234608960033821_8477097341188433667_n.jpeg
 
Back
Top Bottom