The new Landrove Defender

Tofauti kabisa na magari ya Toyota, Nissan, Mitsubishi (Japan) ukiua spare unaenda dukani na kuhudumiwa. We Tz nzima tukiua spare mpaka kwa dealer ?!.
Ndio kazi moja wapo ya dealership.

Unatakaje labda?
 
Hapo land rover wameshachemka.....
gari za kazi tutabakiwa tu na land cruiser na Patrol...over
LC 200 wamesema wataacha kuzizalisha 2020 sijui.

Kuanzia 2021 wataleta Land Cruiser mpya kabisa.
 
Yaani nilikuwa nakuja kuifungulia Uzi hii kitu, ila umeniwahi. hapa Land Rover wamenikonga nyoyo
Sema ndio hivyo tutaziendeshea ndotoni

mbona gari ni ya kazi hiyo......actually imedevelop zaidi kuliko ya zamani....kupitia YouTube account ya drive tribe wanasema landrover took 10 yrs to develop the whip on different areas and landscapes kama winter,dessert na sehemu zenye maji maji....shida gari hili inakuja kwamba kwa sisi wabongo kutengeneza ndo tabu but bado the thing is very hardcore....
 
Hii sidhani kama itamfaa waziri wa naniliu kwenda nayo porini kuhesabu twiga zake ...

dah.....maneno yangu sidhani yatatosha kukuaminisha kama unamuda ingia youtube look for dtivetribe....wameiongelea kwa undani zaidi tena aliyeipa sifa ni Richard Hammond yule jamaa wa grand tour...cjui unamfahamu?
 
Nimeangalia hiyo video....dahh....ngoja tuje tuione kwenye uhalisia kama itafanikiwa kufika huku mapema....
Pengine inaweza ikaja bongo miaka 15 ijayo
 
Bora wangeiboresha hii...
19756917_115419872413197_921845715405070687_n.jpg
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom