If thats so yale matumiz yetu kwa defender yatapungua sana... Maana haina sura ya kazi tenaTeknolojia na umeme mwingi sana vimetumika hapa.
Yaani the new Jimny, Wrangler na G-wagon zote ziko on point, ila hawa TATA naona wametengeneza the MahindraGari baya kishenzi,wameliharibu tu mwanzo mwisho.
Gari almost zote mpya zina umeme na teknolojia kubwa sana.If thats so yale matumiz yetu kwa defender yatapungua sana... Maana haina sura ya kazi tena
Tofauti kabisa na magari ya Toyota, Nissan, Mitsubishi (Japan) ukiua spare unaenda dukani na kuhudumiwa. We Tz nzima tukiua spare mpaka kwa dealer ?!.Kuna dealership mkuu. Pale CMC Motors.