Kipande system imerudi kwa kasi hence ukoloni umerudi in new form

Uguswelana

Senior Member
Dec 9, 2018
106
199
Wakati wa ukoloni ilibidi mtu altobelewe sukio na kuwekewa kijikaratasi anatembe nacho sikioni ili awe identified kuwa tayari kishalipa kodi usipoonekana umelivaa unakamatwa unafungwa.

Hivi vitambulisho kwa mamachinga ni kipande system mana watu wote uwe una kazi huna kazi, mzee au mtoto lazima ulipe kodi tu mana lazima kuna shughuli unajishughulisha ili uishi.

Huu ni mwanzo tu wa kusema leta elf 20 na ujanja uliopo kuna expiry date which means kurew unaweza kuambiwa chochote kuwa leta ama laki au laki na zaid and the circle continues.

Ile kodi ya kichwa imerudi ambapo iliwatesa sana wazazi wetu kipindi.

E mungu tuepushe na kikombe hiki mana tunaenda kukinywa bila kupenda na mibunge imekaa kimya angalau fatuma karume amejitutumua.
Na kwa vile watanzania elimu ni ndogo wameshangilia wakati wanaenda kuangamia.
 
hivi kinaendelea nini katika hiyo nchi yenu kwamaana mi nilishangaa sana kumuona Magu akilindwa na bodyguard wakike mithili ya Gaddafi
 
Wakati wa ukoloni ilibidi mtu altobelewe sukio na kuwekewa kijikaratasi anatembe nacho sikioni ili awe identified kuwa tayari kishalipa kodi usipoonekana umelivaa unakamatwa unafungwa.

Hivi vitambulisho kwa mamachinga ni kipande system mana watu wote uwe una kazi huna kazi, mzee au mtoto lazima ulipe kodi tu mana lazima kuna shughuli unajishughulisha ili uishi.
Huu ni mwanzo tu wa kusema leta elf 20 na ujanja uliopo kuna expiry date which means kurew unaweza kuambiwa chochote kuwa leta ama laki au laki na zaid and the circle continues.

Ile kodi ya kichwa imerudi ambapo iliwatesa sana wazazi wetu kipindi.

E mungu tuepushe na kikombe hiki mana tunaenda kukinywa bila kupenda na mibunge imekaa kimya angalau fatuma karume amejitutumua.
Na kwa vile watanzania elimu ni ndogo wameshangilia wakati wanaenda kuangamia.
 
umekurupuka kuandika haya , lengo la magufuli ni kukuza wajasiriamali ambao mapato yao hayazidi milion nne za kitanzania

tunajua kwamba jinsi unavyofanya biashara lazima itakuwa na hawa wataingizwa katika mfumo rasmi wa kodi na kwa hiyo lengo la serikali litatimia kuwa na walipakodi wakubwa wengi.
 
Siyo kweli umetumia matako kuwaza
 
Naikumbuka kodi ya kichwa niliilipa malamoja huku nikiwa nimefungwa na kamba za kudu nikikumbuka haya nalichukia liccm hatakama litaongozwa na malaika mtoa roho sitasubutu kua mwanachama hata dakika 1 ya uhai wangu
 
Not "A New Day" BUT "A New Era"; mwanzo wa enzi mpya. Kila mtu atalipa kodi, as long as unaishi kuna kipato serikali inatakiwa kukipata kutoka kwako. Machinga wote, bodaboda, mama/baba lishe wote soon tax base angalau itafikia 5.5m. Namba na isomwe na kila mwenye pumzi! Naomba mwenye kale kawimbo ka kuisoma namba atuwekee hapa tuburudike.
 
umekurupuka kuandika haya , lengo la magufuli ni kukuza wajasiriamali ambao mapato yao hayazidi milion nne za kitanzaniaundefinedtunajua kwamba jinsi unavyofanya biashara lazima itakuwa na hawa wataingizwa katika mfumo rasmi wa kodi na kwa hiyo lengo la serikali litatimia kuwa na walipakodi wakubwa wengi.
undefinedwalipakodi WAKUBWA?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom