The New Al-Sahaf. Nukuu za mwana 'mfalme' toka Libya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The New Al-Sahaf. Nukuu za mwana 'mfalme' toka Libya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Raia Fulani, Feb 21, 2011.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Hizi ni baadhi tu ya nukuu za Saif al-Islam-mwana wa Gaddafi. Bado atatoa kauli nyingi nyingine. Tuzijadili hizi wakati tukisubiri hizo mpya. Yaweza kuwa kweli, pia yaweza kuwa propaganda


  Sayf al-Islam holds no government post, but is his father's most trusted envoy.

  he said Islamic Sharia law, security issues, Libya's territorial unity and his father's leadership would be kept out of any political debate.

  He announced plans for the creation of several independent bodies to "sustain Libya's prosperity and stability".

  "Society needs to have independent media to highlight corruption, cheating and falsification. Libya must have an independent civic society and independent bodies."

  Seif al-Islam Gaddafi says his father is in the country and has support of army.

  "We are not Tunisia and Egypt," the younger Gaddafi said, referring to the successful uprisings that toppled longtime regimes in Libya's neighbours

  "It sounded like a desperate speech by a desperate son of a dictator who's trying to use blackmail on the Libyan people by threatening that he could turn the country into a bloodbath.

  "That is very dangerous coming from someone who doesn't even hold an official role in Libya - so in so many ways, this could be the beginning of a nightmare scenario for Libya if a despotic leader puts his son on air in order to warn his people of a bloodbath if they don't listen to the orders or the dictates of a dictators. (maneno ya wachambuzi wa matukio ya Libya)

  "You can say we want democracy and rights, we can talk about it, we should have talked about it before. It's this or war. Instead of crying over 200 deaths, we wil cry over hundreds of thousands of deaths.

  "Brothers, there are $200bn worth of projects at stake now. We will agree to all these issues immediately. We will then be able to keep our country, unlike our neighbours.

  "Or else, be ready to start a civil war and chaos and forget oil and petrol."

  "We will fight to the last minute, until the last bullet," Gaddafi said.

  Saif Gaddafi offered to put forward reforms within two days, saying Libya faced a "historic moment" and could choose between reform or something "worse than Yugoslavia".

  "He promised that the country would spiral into civil war for the next 30 to 40 years, that the country's infrastructure would be ruined, hospitals and schools would no longer be functioning - but schools are already terrible, hospitals are already in bad condition." (maneno ya wachambuzi)
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  kuna issue iko mezani ya dowans na mabom ya G'mboto.......haya waachie wenyewe walibya kaka
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  sijaweka hii ishu kimakosa. Ni namna ya kujua jinsi watoto wa wakubwa walivyo na kauli za kisiasa
   
 4. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Post hii ni sahihi kuwepo hapa na tuijadili, tusijifungie kwenye maswala yetu ya ndani tu. Kwani hapa tunaona uprising za wenzetu na vitisho vya viongozi( Kama huyu nae ni kiongozi) wao. Pia hapa wafanyakazi walipotaka kugoma tuliona mkulu na vikosi vyake wakitishia umma kumbe inawezekana tukaungana na kuushida udhalimu. GHADAFFI sasa yuko uhamishoni Venezuela kaacha mtoto
   
 5. K

  Kiwete JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 281
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  Ndiyo kama walivyoanza wengine kushirikishwa kukusanya sahihi,
  kesho watakuwa hivihivi
   
 6. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2011
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Halasu inaonekana kuwa kasi inazidi kuwa kubwa baada ya sehemu moja kukamilika. Kwani baada ya safari ya Tunisia kukamili, kasi ilihamia Misri na baada ya Misri sasa kama vile imehamia Libya. Hapa iko kazi kweli kweli, kumbe watu tunabadilika sana. Naona sasa kama haki haitendeki, wale waliodhani watatawala miaka 100, sasa hata kupata 5 inakuwa issue kubwa kinomi-nomi
   
 7. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  HII INAONYESHA KUWA WAMEPATA WASIWASI NA MAMBO YA TUNISIA NA MISRI..

  UKWELI WATU WAMECHOKA HASA HII SHARIA LAW NA ISLAMIC RULES.. ZINAWANYIMA UHURU MKUBWA SANA. HAZA UKIZINGATIA KWAMBA VIONGOZI WALIOZIWEKA HIZI SHERIA WAO WANATOKA NJE YA LIBYA NA KWENDA KULA RAHA ULAYA. MFANO HUYU MTOTO WA GADDAFI MWISHONI MWA MWAKA JANA ALIKUJA TANZANIA.. AKAENDA KUWINDA NA KULA RAHA SERENGETI.. SASA WA LIBYA WENGINE HAWAWEZI KUFANYA HIVI..

  JAPO KATIKA NCHI HIZI ZA KASKAZINI NADHANI LIBYA NI MOJA YA NCHI INAYOWAJALI SANA WANANCHI WAKE LAKINI HAWANA UHURU WA KUCHAGUA.

  SASA BASI SHIDA INAKUJA AU ITAKUJA PALE ATAKAPOONDOKA HUYU JAMAA SIJUI ATAKWENDA WAPI KWANI NADHANI ANAMAADUI WENGI SANA NJE NA HATA BAADHI YA NCHI ZA KIARABU WENGI HAWAMUUNGI MKONO.. HUKU BENGHAZI AMBAKO NDIKO NGOME YA GADDAFI NAKO HAWAMTAKI.. BAADHI YA MABALOZI NAO HAWAMTAKI.. HATA MOJA YA MAKABILA MAKUBWA YA LIBYA Warfla NAO HAWAMTAKI.

  MSEMAJI WA SERIKALI NAYE AMEMTAKA HUYU MTOTO WA GADDAFI AFANYE MAZUNGUMZO NA WAANDAMANAJI..

  NADHANI SIKU YA GADDAFI NI CHACHE SANA..
   
 8. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Ni wimbi lililoshika kasi la wakubwa wa mataifa hasa ya Afrika. kiarabu na Asia kutaka kuwarithisha watoto wao madaraka ya mataifa wanayotawala. mfano ni Libya yenyewe, Misri, Congo, Zanzibar, Senegal, N. Korea n.k. Kwa Libya, Gaddafi anastahili kutolewa maana keshaifanya Libya nyumba yake. Haiwezekani kwa mtu asiye na madaraka yoyote serikalini aweze kutoa maamuzi mazito hivyo si kwa niaba ya Rais bali ya baba yake.

  Pamoja na Hosni kuwa king'ang'anizi, aliweza kudhibiti hali na mwanae hakuingilia mambo yoyote. Labda kwa nyuma ya pazia. Pale itifaki ilizingatiwa hadi walipotolewa madarakani. Hii ya Libya kwa mtu asiye na madaraka kutoa vitisho kwa raia na mataifa ya Magharibi ni udikteta asilia. No wonder mzee Gaddafi alitaka kuwa Rais wa Afrika
   
 9. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #9
  Apr 7, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  naona maneno ya mwana mfalme yametimia. Civil war in libya. Hope they wont fight till the last bullet
   
Loading...