The National Politics & Timing: Ndiyo Dhana Inayowatesa sana CHADEMA Badilikeni!

Ingekuwa kimya kimya Annaeli angekuwa amekaa nyuma ya kompyuta akibashiri kwamba CHADEMA itakufa?
Hapo ndipo utakapojua nini maana ya siku ya nyani kufa miti yote hutereza. Mtawaitaje wenzenu wahaini. Kwi kwi kwi. Nikama mtu anakufa akiwa usingizini. Ndio kifo cha CHADEMA, mmesinzia sana.
 
- Hii ni topic ya magomvi ya Chadema, hayo mengine fungua thread yake hii sio!!

Le Mutuz

Unakumbuka 'post' yako hii...???? Kwenye facebook na blog...????

Upo hapo...????

===========================================================================

@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!:
Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!

KIDUMU CCM!

KIDUMU CHAMA TAWALA!!

HA! HA! HA! HA!

- LE MUTUZ!!
 
-

- Chadema mnateswa na majina kama Zitto, CCM huwa tunateswa na seraa sio majina hata siku,

- Utovu wa nidhamu na usaliti katika chama chenu kila wakati huwa unafanywa na makabila mengine lakini sio wa Kaskazini WHY?

LE Mutuz

Mtu akisema wewe ni pathological liar atakuwa amekosea?

Anza na red: Sera kam EDO?

Na kwenye blue: Wale madiwani wa Arusha, wote walikuwa Wagogo toka Chamwino?
 
- Hii ni topic ya magomvi ya Chadema, hayo mengine fungua thread yake hii sio!!

Le Mutuz

Le Mutuz vipi..??
Mwigulu alikuletea salamu kutoka London kwa 'dada' yenu (wa CCM) Florah Lyimo...??

FLORA+LYIMO+NA+MHE+MWIGULU+WA+CCM+9.10.2013+078.JPG
 
Eti ndio programmer kwenye c# na vb.net anaongea upumbavu kama huu umekariri vicode unapaste unajifanya mtaalamu kwavile unabebwa na CCM muda wako unakaribia utanyofolewa kama nyoka

Kifo cha CHADEMA kinaitwa kifo cha kistaarabu. CHADEMA imejiua yenyewe.
na Code nitaendelea kupiga kama kawa
if (CHADEMA == SLAA + MBOWE + MTEI)
{
CHAMA = SACCOS
}
ELSE
{
CHAMA = KUFA
}
 
CHADEMA ni chama kizuri ila inabidi tu wafanye reorganization kutoka SACCOS/ Coy na kuwa taasisi ya umma.

CHADEMA inavyoaendeshwa kwa sasa ni kama vile owner managed SACCOS/ Coy i.e ukimkorofisha shareholder, ana uwezo wa kukuondoa bila ya kuhojiwa.

Hicho ndicho kilichowakuta akina Kitila na Zitto and many more to follow kabla ya mabadiliko kufanyika.
 
Tunajua unaurafiki na ZZK ,huyu ni msaliti mkubwa.It the enemy within.Kama mtu ana contacts na Jack Zoka wa UWT,what do you expect.Tunajua UWT inavyoifanyia CHADEMA!

Do you know kuwa Waheshimiwa Lema na Mbowe walikuwa ni target kwenye mkutano wa Soweto?Walikuwa wauwawe!!!!
Mbona ZZK hakuwepo kwenye hiyo meeting?
 
-Kwanza CHADEMA hakitaki marekebisho ya katiba

Halafu mkuu huu ujasiri wa kusema uongo hadharani huoni aibu?Ghana na Nigeria zilipopata katiba mpya vigezo vyako vilitimia?Maana umesema haijawai kutokea Duniani na pia majority Bungeni ndiyo determinant factor ya kupata katiba Mpya

-Mzee Mtei na waasisi wa chama waliposajili chama walishinikiza mabadiliko ya katiba lakini marekebisho ya katiba yakafanyika

-Nimeshangazwa na msomi mkubwa kama wewe unayetoa ushauri wa chama kuiba kura kwenye uchaguzi badala ya kusimamia demokrasia na nidhamu kwa kanuni tulizojowekea.Ndio silaha pekee ya chama chako katika siasa za nchi hii?

Ukiminya demokrasia kwa kuiba kura ndani ya chama chako ni kitu gani kitakachozuia kuchakachua kura katika siasa na chaguzi za kitaifa?Ndio mbinu kali za kujenga demokrasia ya kisasa ndani ya taifa linalo-aspire kuwa taifa kubwa?


-Inashangaza pia unapotoa mawazo kuwa eti CHADEMA kiache kuchukua maamuzi eti kwa kuhofia mtu au kiwango cha usomi.Hayo yanafaa kwa chama chako bro na ndiyo maana CHADEMA hatufanani na CCM

Umesahau siku chache zilizopita ulikua ukilalama huku kuwa ni kwanini chama chako hakimchukulii hatua Lowassa na kutoa ushauri kuwa JK afanye kama Clinton kwa yule kigogo wa Marekani ambapo alipindisha sheria na kumfunga?Sasa CHADEMA hakiwezi kuhofia na kufikia huko kilipofikia chama chenu

Kama ni usomi nchi hii wapo wasomi wengi.Hakuna bifu lolote la vijana wala wasomi.

Wasomi wameunga mkono msimamo wa kamati kuu.Ukiona msomi anayesimama na mtu badala ya misinhi ya kitaasisi na principles ujue huyo sio msomi maana hata Maprofesa wanaweza kuwa so naive ndio maana hata nikiwa shule mara nyingi nikigundua baadhi ya wahadhiri wababaishaji kwenye nondo nilikua na-walk out.Misimamo na hoka nzito ndizo zinazoweza kulisaidia taifa letu


-Pia nikukumbushe kitu.Neno Timming kwenye siasa unalitumia na kulitafsiri vibaya.Kuna vitu ambavyo chama makini cha siasa hakiwezi ku-compromise.Utovu wa nidhamu na usaliti

Uoga ndio uliozalisha vyama vya kihuni hadi leo hii tuna serikali ya kihunihuni tu.Hatuwezi kujenga taifa lenye maadili au serikali yenye nidhamu kwa mawazo haya ya kuvizia


Kamati kuu ya CHADEMA imesimamia nidhamu na kufanya uamuzi Full Stop!

Kiulize chama chako kilichoshindwa mradi wa kujivua gamba.Walioanzisha CCJ wapo ndani ya chama.Ukiandaa mazingira ya kusaliti chama unaandaa mazingira ya kusaliti serikali na taifa kwa ujumla.Leo tunajadili EPA,MEREMETA ambazo zilipata fursa kwa sababu ya nguvu ya the so called vigogo na wasomi wakubwa wakati huo AG akiwa msomi mkubwa wa Sheria kutoka Harvard.

Leo unalaumu CHADEMA kuchukua hatua dhidi ya wasomi ambao ni watovu wa nidhamu waliokiri na kujikosha kuomba waruhusiwe kujiuzulu?

Dude,Please!

Mmmhh...Le Mutuz naye ni msomi mkubwa!! Msomi ambaye huwa hafanyi tafiti kabla ya kukimbilia keyboard. Ninahisi PC yake inatumia Dragon NaturallySpeaking application ambayo huwa inasikiliza jamaa anavyotiririka bila research. Kuna wakati aliwahi kusema kuwa US ina majimbo 52 (mind that kasomea huko huko).
 
Le Mutuz,elimu yako ndogo sana,una uwezo wa kufanya political anaysis,hata argument zako ni too low,jisajili open university oitakusaidia kupanua upeo wako.
 
Mmmhh...Le Mutuz naye ni msomi mkubwa!! Msomi ambaye huwa hafanyi tafiti kabla ya kukimbilia keyboard. Ninahisi PC yake inatumia Dragon NaturallySpeaking application ambayo huwa inasikiliza jamaa anavyotiririka bila research. Kuna wakati aliwahi kusema kuwa US ina majimbo 52 (mind that kasomea huko huko).

- Huwezi kuongelea mahesabu ya Chadema kwa sababu unajua kwamba hayako sawa so dawa ni kujaribu kunishambulia badala ya kujadili hoja na huwa mnawapta wengi tu humu kwa njia hii ila sio mimi, jibu vipi kuhusu mahesabu huko?

Le Mutuz
 
Le Mutuz,elimu yako ndogo sana,una uwezo wa kufanya political anaysis,hata argument zako ni too low,jisajili open university oitakusaidia kupanua upeo wako.

- Next time jifunze namna ya kutumia maneno ni maneno yako ndio yanaweza kuonyesha una akili au huna, huwezi kuanza na hoja kwamba unayemjibu ana elimu ndogo wenye elimu kubwa watakuuliza kama kweli una elimu kubwa kuliko ndogo maana why waste your time na elimu ndogo na wewe una kubwa?

- Nilifikiri utagusa mahesabu ya Chadema, vipi mkuu?

Le Mutuz
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom