The National Politics & Timing: Ndiyo Dhana Inayowatesa sana CHADEMA Badilikeni!

W. J. Malecela

W. J. Malecela

Tanzanite Member
Joined
Mar 15, 2009
Messages
14,056
Likes
3,423
Points
280
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Tanzanite Member
Joined Mar 15, 2009
14,056 3,423 280
- Chadema ni chama cha Upinzani ambacho CCM tunakihitaji sana kuwepo ili tuweze kuendelea kutawala kwa muda mrefu sana kama ambavyo tumekuwa for the last 25 years za uhai wao, hiyo peke yake inathibitisha kwamba they are not a threat to our regime as they claim to be. Chadema wametusaidia sana kuamka usingizini lakini that is what they are good for, kushika dola bado sana na siamini kwamba kuna hata dalili kwamba kuna siku wataweza, especially kwa mwendo huu wanaokwenda nao sasa hivi, ingawa narudia tena kwamba ni wajibu wetu CCM kuwasaidia wasisambaratike kwa sababu ni shetani tunayemjua na huu sio wakati wa kuanza kupambana na shetani mpya iwapo tutawaachia wasambaratike.

- My point ni kwamba nashangazwa sana na Chadema ambao wamekuwa hai kwa miaka karibu 25 sasa lakini bado siasa za Taifa zinawapa taabu sana namna ya kuzicheza, I mean Siasa za Taifa ni timing kwanza na mind games too dhana mbili ambazo zinahitaji sana uvumilivu na subira na ambazo Chadema wanaonekana hawana kabisa. Kwa mfano kosa kubwa la kwanza alilolifanya Mzee Mtei walipoanza la kukimbilia kusaini mkataba Ikulu wa vyama vingi huku wakijua kabisa kwamba Sheria ya Tanzania ni ya Chama kimoja, walikuwa na haraka gani ya kusubiri kidogo tu na kugomea kusaini mpaka Katiba ibadilishwe iweze kukidhi vyama vingi? I mean majuzi wamerudia tena makosa yale yale ya kutaka marekebisho ya katiba huku wakijua kabisa kwamba hawana nguvu kabisa bungeni wakati historia ya Dunia nzima ipo wazi kwamba huwezi kubadilisha katiba huku ukiwa na wabunge 46 tu against majority 280, never haijawahi kutokea katika historia ya kubadilisha katiba Duniani, nchi huwa zinabadili katiba zikiwa na tofauti ndogo sana ya wabunge ndio unaweza kupata nafasi kubwa ya kuchangia mabadiliko ya katiba ama sivyo unaishia kama Chadema, makelele mengi ya bure huku muswaada wa katiba unapita kimya kimya kama ilivyotokea majuzi Dodoma.

- Sasa wamerudia tena makosa yao yale yale ya kutokujua timming na namna ya kucheza National Politics, I mean kama wana tatizo na Zitto walishindwa nini kujipanga na kutayarisha uchaguzi fake ndani ya chama chao na kumchinjia kwenye kuhesabu kura, badala yake wanajaribu kumchinjia na ishu nzito ya Taifa ya mahesabu ya vyama vya siasa, I mean absolutely foolish. Halafu walipokosea kabisa ni kumuingiza na Kitila in the mix hivi nyie washauri wa Mbowe na haya mambo huwa ni nani mbona ni watupu sana kichwani na siasa za Taifa? Kweli unataka kumchinja Zitto halafu unakwenda kumchanganya na Kitila ndani yake are you crazy? Automatically jawabu ni vita against wasomi na vijana chama kama cha Chadema ambacho kimekuwa kikishamiri kwa kutegemea sana misaada ya kisaikologia kutoka kwa wasomi, sasa leo unatengeneza mazingira ambayo yanajisema wazi kabisa kwamba una tatizo na wasomi na vijana halafu ukategemea support kutoka wasomi? Really? Halafu wote wawili sio kabila la Kaskazini angalau Viongozi wenu huko wangejitahidi kuwatupia Viongozi hata wawili kutoka Kaskazini kama kafara tu, mambo yakipoa wanasamehewa na kurudishwa lakini target Zitto ameondoka, I mean mambo madogo tu kama haya yamewashinda sasa mmejiingiza kwenye shimo ambalo litawaacha na majeruhi ya ajabu kwa sababu hata mkipona you will never be the same again,

- I am so disappointed sana na washauri wa siasa huko Chadema sio siri kuwa hawana uwezo kabisa maana wangekuwa nao isingefikia huku, halafu katika hivi vita vyenu sasa kwa mara ya kwanza mmewakorofisha supporters wenu wakubwa sana the Media, kwa mara ya kwanza sasa wanawaandika vibaya they never before sasa mnatokaje hilo shimo? Poleni sana lakini again my appeal to CCM ni kwamba we have to help hawa watu Chadema wasisambaratike it is in our best interest katika kuendelea kutawala kwa muda mrefu sana kuona in the end wanabaki pamoja ingawa tuwape muda kidogo wa kugombana ili tujue maovu yao kwanza maana tumeanza kuyasikia pole pole kwamba tatizo lao kubwa sana ni kwamba hawako vizuri kimahesabu, pole pole kwanza tutasikia na mengine and then ndio tuwasaidie wasisambaratike.

- KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

Le Mutuz
 
Ben Saanane

Ben Saanane

Verified Member
Joined
Jan 18, 2007
Messages
14,602
Likes
3,912
Points
280
Ben Saanane

Ben Saanane

Verified Member
Joined Jan 18, 2007
14,602 3,912 280
-Kwanza CHADEMA hakitaki marekebisho ya katiba

Halafu mkuu huu ujasiri wa kusema uongo hadharani huoni aibu?Ghana na Nigeria zilipopata katiba mpya vigezo vyako vilitimia?Maana umesema haijawai kutokea Duniani na pia majority Bungeni ndiyo determinant factor ya kupata katiba Mpya

-Mzee Mtei na waasisi wa chama waliposajili chama walishinikiza mabadiliko ya katiba lakini marekebisho ya katiba yakafanyika

-Nimeshangazwa na msomi mkubwa kama wewe unayetoa ushauri wa chama kuiba kura kwenye uchaguzi badala ya kusimamia demokrasia na nidhamu kwa kanuni tulizojowekea.Ndio silaha pekee ya chama chako katika siasa za nchi hii?

Ukiminya demokrasia kwa kuiba kura ndani ya chama chako ni kitu gani kitakachozuia kuchakachua kura katika siasa na chaguzi za kitaifa?Ndio mbinu kali za kujenga demokrasia ya kisasa ndani ya taifa linalo-aspire kuwa taifa kubwa?

-Inashangaza pia unapotoa mawazo kuwa eti CHADEMA kiache kuchukua maamuzi eti kwa kuhofia mtu au kiwango cha usomi.Hayo yanafaa kwa chama chako bro na ndiyo maana CHADEMA hatufanani na CCM

Umesahau siku chache zilizopita ulikua ukilalama huku kuwa ni kwanini chama chako hakimchukulii hatua Lowassa na kutoa ushauri kuwa JK afanye kama Clinton kwa yule kigogo wa Marekani ambapo alipindisha sheria na kumfunga?Sasa CHADEMA hakiwezi kuhofia na kufikia huko kilipofikia chama chenu

Kama ni usomi nchi hii wapo wasomi wengi.Hakuna bifu lolote la vijana wala wasomi.

Wasomi wameunga mkono msimamo wa kamati kuu.Ukiona msomi anayesimama na mtu badala ya misinhi ya kitaasisi na principles ujue huyo sio msomi maana hata Maprofesa wanaweza kuwa so naive ndio maana hata nikiwa shule mara nyingi nikigundua baadhi ya wahadhiri wababaishaji kwenye nondo nilikua na-walk out.Misimamo na hoka nzito ndizo zinazoweza kulisaidia taifa letu

-Pia nikukumbushe kitu.Neno Timming kwenye siasa unalitumia na kulitafsiri vibaya.Kuna vitu ambavyo chama makini cha siasa hakiwezi ku-compromise.Utovu wa nidhamu na usaliti

Uoga ndio uliozalisha vyama vya kihuni hadi leo hii tuna serikali ya kihunihuni tu.Hatuwezi kujenga taifa lenye maadili au serikali yenye nidhamu kwa mawazo haya ya kuvizia

Kamati kuu ya CHADEMA imesimamia nidhamu na kufanya uamuzi Full Stop!

Kiulize chama chako kilichoshindwa mradi wa kujivua gamba.Walioanzisha CCJ wapo ndani ya chama.Ukiandaa mazingira ya kusaliti chama unaandaa mazingira ya kusaliti serikali na taifa kwa ujumla.Leo tunajadili EPA,MEREMETA ambazo zilipata fursa kwa sababu ya nguvu ya the so called vigogo na wasomi wakubwa wakati huo AG akiwa msomi mkubwa wa Sheria kutoka Harvard.

Leo unalaumu CHADEMA kuchukua hatua dhidi ya wasomi ambao ni watovu wa nidhamu waliokiri na kujikosha kuomba waruhusiwe kujiuzulu?

Dude,Please!
 
Master plan

Master plan

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Messages
3,322
Likes
1,024
Points
280
Master plan

Master plan

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2012
3,322 1,024 280
Post ndeeeefu mipasho ya kufa mtu anyway tumekuzoea enhee lete habari sasa
 
Communist

Communist

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Messages
5,382
Likes
43
Points
135
Communist

Communist

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2012
5,382 43 135
Mjadala umefungwa, wacha kutuchanganya.
 
STEIN

STEIN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2010
Messages
1,765
Likes
4
Points
135
STEIN

STEIN

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2010
1,765 4 135
Wewe si mwanachadema, wewe ni magamba tu, huwezi kuzungumzia mambo ya Chadema wala upinzani Tanzania... Wewe baki na mambo yenu ya ufisadi na magamba yasiyovulika.

Hatuwezi kukaa kwenye chama kimoja na Wahujumu, mafisadi na Magamba pamoja na ma agents wa Mafisadi ndani ya Chadema.

PEOPLES POWER
 
Ulukolokwitanga

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2010
Messages
8,418
Likes
3,932
Points
280
Ulukolokwitanga

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2010
8,418 3,932 280
CHADEMA inaelewa fika kuwa CCM ni mafisadi na wamejilimbikizia mali kwa njia ya dhuluma dhidi ya watanzania. Watu kama hawa MaCCM hawawezi kutoka madarakani kiurahisi, watatumia majeshi, uchawi na hila zote zilizopo duniani kubakia madarakani. Ili CHADEMA iiondoe CCM 2015 wanatakiwa kuelewa kuwa BORA PUNDA AFE LAKINI MZIGO UFIKE.

Media Tanzania haikuwahi kuwa upande wa CHADEMA kwa kuwa CHADEMA haina hela kama za CCM, CDM haigawi ukuu wa wilaya au ukurugenzi wa mawasiliano Ikulu. CHADEMA iko na sisi wananchi wa kawaida wa kipato kidogo ambao tunaamini mkombozi wetu ni CHADEMA. Mtu anayesaliti ukombozi kupitia CHADEMA ni lazima achinjiwe baharini. Na akichinjiwa baharini halafu maCCM wakaumia na kulia lia na kununua media zote kusawazisha ndivyo wananchi tunafurahi zaidi. Huku kitaa tunaona kama siku 14 hazifiki upesi ili CHADEMA imalize kazi....
 
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
11,191
Likes
428
Points
180
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined Jul 29, 2010
11,191 428 180
Hivi wewe vijana na wasomi uanowafahamu CHADEMA Ni Zitto na Kitila tu?
 
Ulukolokwitanga

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2010
Messages
8,418
Likes
3,932
Points
280
Ulukolokwitanga

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2010
8,418 3,932 280
Wapi JUMA PINTO....
 
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
11,191
Likes
428
Points
180
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined Jul 29, 2010
11,191 428 180
Kuna kitu kimoja unakisahau Malecela... Mnadhani kwamba CCM itaobaki madarakani kwa kupambana na/au kuizuia CDM. Watawala wa Libya, Tunisia, Egypt nk waliondoka madarakani bila kuondolewa na chama.

Watanzania wameichoka CCM, na hata kusipokuwa na chama kingine cha siasa, kuna siku watanzania watakataa kuichagua CCM, watasema HAPANA, na watakuwa na uwezo wa kulinda kura zao za HAPANA, na CCM mtalazimika kuondoka. Kama mnataka kubaki madarakani, tekelezeni kile waliowachagua waliwatuma, achaneni na CDM. Kwenye ilani yenu ya uchaguzi hakukuwa na hata neno moja "CHADEMA"... iweje leo mnaimba CHADEMA asubihi, mchana, jioni na usiku?
Tunataka tukisikia CCM wakiongea tusikie maneno kama elimu, afya, barabara, kipato, usafiri, mawasiliano, haki, usawa, na mengine ambayo mliwaahidi wananchi, sio kuimba CHADEMA...
 
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,830
Likes
15,090
Points
280
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,830 15,090 280
CHADEMA inakufa sasa. Udikteta umeimaliza.
 
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
11,191
Likes
428
Points
180
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined Jul 29, 2010
11,191 428 180
- Chadema ni chama cha Upinzani ambacho CCM tunakihitaji sana kuwepo ili tuweze kuendelea kutawala kwa muda mrefu sana kama ambavyo tumekuwa for the last 25 years za uhai wao, hiyo peke yake inathibitisha kwamba they are not a threat to our regime as they claim to be. Chadema wametusaidia sana kuamka usingizini lakini that is what they are good for, kushika dola bado sana na siamini kwamba kuna hata dalili kwamba kuna siku wataweza, especially kwa mwendo huu wanaokwenda nao sasa hivi, ingawa narudia tena kwamba ni wajibu wetu CCM kuwasaidia wasisambaratike kwa sababu ni shetani tunayemjua na huu sio wakati wa kuanza kupambana na shetani mpya iwapo tutawaachia wasambaratike.

- My point ni kwamba nashangazwa sana na Chadema ambao wamekuwa hai kwa miaka karibu 25 sasa lakini bado siasa za Taifa zinawapa taabu sana namna ya kuzicheza, I mean Siasa za Taifa ni timing kwanza na mind games too dhana mbili ambazo zinahitaji sana uvumilivu na subira na ambazo Chadema wanaonekana hawana kabisa. Kwa mfano kosa kubwa la kwanza alilolifanya Mzee Mtei walipoanza la kukimbilia kusaini mkataba Ikulu wa vyama vingi huku wakijua kabisa kwamba Sheria ya Tanzania ni ya Chama kimoja, walikuwa na haraka gani ya kusubiri kidogo tu na kugomea kusaini mpaka Katiba ibadilishwe iweze kukidhi vyama vingi? I mean majuzi wamerudia tena makosa yale yale ya kutaka marekebisho ya katiba huku wakijua kabisa kwamba hawana nguvu kabisa bungeni wakati historia ya Dunia nzima ipo wazi kwamba huwezi kubadilisha katiba huku ukiwa na wabunge 46 tu against majority 280, never haijawahi kutokea katika historia ya kubadilisha katiba Duniani, nchi huwa zinabadili katiba zikiwa na tofauti ndogo sana ya wabunge ndio unaweza kupata nafasi kubwa ya kuchangia mabadiliko ya katiba ama sivyo unaishia kama Chadema, makelele mengi ya bure huku muswaada wa katiba unapita kimya kimya kama ilivyotokea majuzi Dodoma.

- Sasa wamerudia tena makosa yao yale yale ya kutokujua timming na namna ya kucheza National Politics, I mean kama wana tatizo na Zitto walishindwa nini kujipanga na kutayarisha uchaguzi fake ndani ya chama chao na kumchinjia kwenye kuhesabu kura, badala yake wanajaribu kumchinjia na ishu nzito ya Taifa ya mahesabu ya vyama vya siasa, I mean absolutely foolish. Halafu walipokosea kabisa ni kumuingiza na Kitila in the mix hivi nyie washauri wa Mbowe na haya mambo huwa ni nani mbona ni watupu sana kichwani na siasa za Taifa? Kweli unataka kumchinja Zitto halafu unakwenda kumchanganya na Kitila ndani yake are you crazy? Automatically jawabu ni vita against wasomi na vijana chama kama cha Chadema ambacho kimekuwa kikishamiri kwa kutegemea sana misaada ya kisaikologia kutoka kwa wasomi, sasa leo unatengeneza mazingira ambayo yanajisema wazi kabisa kwamba una tatizo na wasomi na vijana halafu ukategemea support kutoka wasomi? Really? Halafu wote wawili sio kabila la Kaskazini angalau Viongozi wenu huko wangejitahidi kuwatupia Viongozi hata wawili kutoka Kaskazini kama kafara tu, mambo yakipoa wanasamehewa na kurudishwa lakini target Zitto ameondoka, I mean mambo madogo tu kama haya yamewashinda sasa mmejiingiza kwenye shimo ambalo litawaacha na majeruhi ya ajabu kwa sababu hata mkipona you will never be the same again,

- I am so disappointed sana na washauri wa siasa huko Chadema sio siri kuwa hawana uwezo kabisa maana wangekuwa nao isingefikia huku, halafu katika hivi vita vyenu sasa kwa mara ya kwanza mmewakorofisha supporters wenu wakubwa sana the Media, kwa mara ya kwanza sasa wanawaandika vibaya they never before sasa mnatokaje hilo shimo? Poleni sana lakini again my appeal to CCM ni kwamba we have to help hawa watu Chadema wasisambaratike it is in our best interest katika kuendelea kutawala kwa muda mrefu sana kuona in the end wanabaki pamoja ingawa tuwape muda kidogo wa kugombana ili tujue maovu yao kwanza maana tumeanza kuyasikia pole pole kwamba tatizo lao kubwa sana ni kwamba hawako vizuri kimahesabu, pole pole kwanza tutasikia na mengine and then ndio tuwasaidie wasisambaratike.

- KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!

Le Mutuz
Paragraph nne tu za bandiko lako lakini umetaja neno Chadema karibia mara kumi!!!
Lete ilani yenu ya uchaguzi 2010 tuone kama kuna sehemu yeyote neno Chadema limeandikwa. Huu ni ulaghai. Mliongelea mambo mengi kama elimu, kilimo, afya, usafiri, maji nk... but hata siku moja sijakusikia wewe wala viongozi wenzio wakiyahubiri mambo hayo hadharani, mmekaa mnahubiri CHADEMA!!!
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,717
Likes
3,390
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,717 3,390 280
Mnaacha kuhangaika kuleta maendeleo kwa wananchi, mnakazana tu kuhangaika na CDM
 
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Tanzanite Member
Joined
Mar 15, 2009
Messages
14,056
Likes
3,423
Points
280
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Tanzanite Member
Joined Mar 15, 2009
14,056 3,423 280
-Kwanza CHADEMA hakitaki marekebisho ya katiba

Halafu mkuu huu ujasiri wa kusema uongo hadharani huoni aibu?Ghana na Nigeria zilipopata katiba mpya vigezo vyako vilitimia?Maana umesema haijawai kutokea Duniani na pia majority Bungeni ndiyo determinant factor ya kupata katiba Mpya

-Mzee Mtei na waasisi wa chama waliposajili chama walishinikiza mabadiliko ya katiba lakini marekebisho ya katiba yakafanyika

-Nimeshangazwa na msomi mkubwa kama wewe unayetoa ushauri wa chama kuiba kura kwenye uchaguzi badala ya kusimamia demokrasia na nidhamu kwa kanuni tulizojowekea.Ndio silaha pekee ya chama chako katika siasa za nchi hii?

Ukiminya demokrasia kwa kuiba kura ndani ya chama chako ni kitu gani kitakachozuia kuchakachua kura katika siasa na chaguzi za kitaifa?Ndio mbinu kali za kujenga demokrasia ya kisasa ndani ya taifa linalo-aspire kuwa taifa kubwa?

-Inashangaza pia unapotoa mawazo kuwa eti CHADEMA kiache kuchukua maamuzi eti kwa kuhofia mtu au kiwango cha usomi.Hayo yanafaa kwa chama chako bro na ndiyo maana CHADEMA hatufanani na CCM

Umesahau siku chache zilizopita ulikua ukilalama huku kuwa ni kwanini chama chako hakimchukulii hatua Lowassa na kutoa ushauri kuwa JK afanye kama Clinton kwa yule kigogo wa Marekani ambapo alipindisha sheria na kumfunga?Sasa CHADEMA hakiwezi kuhofia na kufikia huko kilipofikia chama chenu

Kama ni usomi nchi hii wapo wasomi wengi.Hakuna bifu lolote la vijana wala wasomi.

Wasomi wameunga mkono msimamo wa kamati kuu.Ukiona msomi anayesimama na mtu badala ya misinhi ya kitaasisi na principles ujue huyo sio msomi maana hata Maprofesa wanaweza kuwa so naive ndio maana hata nikiwa shule mara nyingi nikigundua baadhi ya wahadhiri wababaishaji kwenye nondo nilikua na-walk out.Misimamo na hoka nzito ndizo zinazoweza kulisaidia taifa letu

-Pia nikukumbushe kitu.Neno Timming kwenye siasa unalitumia na kulitafsiri vibaya.Kuna vitu ambavyo chama makini cha siasa hakiwezi ku-compromise.Utovu wa nidhamu na usaliti

Uoga ndio uliozalisha vyama vya kihuni hadi leo hii tuna serikali ya kihunihuni tu.Hatuwezi kujenga taifa lenye maadili au serikali yenye nidhamu kwa mawazo haya ya kuvizia

Kamati kuu ya CHADEMA imesimamia nidhamu na kufanya uamuzi Full Stop!

Kiulize chama chako kilichoshindwa mradi wa kujivua gamba.Walioanzisha CCJ wapo ndani ya chama.Ukiandaa mazingira ya kusaliti chama unaandaa mazingira ya kusaliti serikali na taifa kwa ujumla.Leo tunajadili EPA,MEREMETA ambazo zilipata fursa kwa sababu ya nguvu ya the so called vigogo na wasomi wakubwa wakati huo AG akiwa msomi mkubwa wa Sheria kutoka Harvard.

Leo unalaumu CHADEMA kuchukua hatua dhidi ya wasomi ambao ni watovu wa nidhamu waliokiri na kujikosha kuomba waruhusiwe kujiuzulu?

Dude,Please!

- Heshima yako sana bro, kuna wakati ulikuwa uinaongea Real Revolution na unakumbuka tulikuwa one page lakini siku hizi sina uhakika kilichokutokea, wachana na siasa za sizitaki mbichi hizi maneno ya kurekebisha katiba yanatokea Chadema, Rais akaruhusu ghafla ikawa very clear hamna hoja nzito, na pili hamna wabunge wa kutosha bungeni kubadilisha anything zaidi ya kukaa pembeni na kuwaaacha wabunge wa CCM wakiamua what they want,

- Ghana na Nigeria ni marais wao ndio waliaomua nini kifanyike bila ya kurhusu siasa ndani yake as we did, majority ndio jawabu la kubadili katiba sio wabunge 46 against 280, kwa sababu kwa siasa za dunia Tanzania hatuna upinzani kabisa ila kuna kelele za mlango tu,

- Chadema mnateswa na majina kama Zitto, CCM huwa tunateswa na seraa sio majina hata siku, tizama historia yetu majina mangapi makubwa yaliishia kuchinjwa bila kuleta mtafaruku kama wenu? Halafu umesema maneno mengi sana mbona la mahesabu hukuligusa? WHY?

- Utovu wa nidhamu na usaliti katika chama chenu kila wakati huwa unafanywa na makabila mengine lakini sio wa Kaskazini WHY? Na kwa nini siku zote Viongozi wenu wa KAskazini tu ndio huwa wanagundua wasaliti wa makabila mengine ndani ya chama chenu? Halafu msemaji wa Chadema kama wewe kulinganisha mambo ya chama chako na CCM chama mnachotakiwa kukitoa madarakani ni aibu sana mkuu,

- Jifunzeni timming kwenye siasa za Taifa inawapa taabu sana,

LE Mutuz
 
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Tanzanite Member
Joined
Mar 15, 2009
Messages
14,056
Likes
3,423
Points
280
W. J. Malecela

W. J. Malecela

Tanzanite Member
Joined Mar 15, 2009
14,056 3,423 280
Paragraph nne tu za bandiko lako lakini umetaja neno Chadema karibia mara kumi!!!
Lete ilani yenu ya uchaguzi 2010 tuone kama kuna sehemu yeyote neno Chadema limeandikwa. Huu ni ulaghai. Mliongelea mambo mengi kama elimu, kilimo, afya, usafiri, maji nk... but hata siku moja sijakusikia wewe wala viongozi wenzio wakiyahubiri mambo hayo hadharani, mmekaa mnahubiri CHADEMA!!!
- Hii ni topic ya magomvi ya Chadema, hayo mengine fungua thread yake hii sio!!

Le Mutuz
 
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
11,191
Likes
428
Points
180
Tuko

Tuko

JF Bronze Member
Joined Jul 29, 2010
11,191 428 180
- Hii ni topic ya magomvi ya Chadema, hayo mengine fungua thread yake hii sio!!

Le Mutuz
Kwenye ilani iliyowaweka madarakani wapi mliandika kuwa mtakuwa mnajihusisha ma magomvi ya CHADEMA? Tena kula kukicha?
 
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
13,910
Likes
8,836
Points
280
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
13,910 8,836 280
- Hii ni topic ya magomvi ya Chadema, hayo mengine fungua thread yake hii sio!!

Le Mutuz
Vua gamba iliyoanzishwa na Mwenyekiti wako ilifia wapi? Chenge aliwaambia gamba limeishia kiunoni na halivukiki tena na kweli tumeona halivukiki, je CCM mmeamua kusameheana na wale magamba ambao Nape kiongozi wako alizunguka akiwachafua na kuapa lazima waondoke?

Yaani kwa madudu ya chama chako una kiburi cha kuisema Chadema?
 
Forum statistics

Threads 1,250,662
Members 481,436
Posts 29,740,878