The Much touted Safaricom shares: Watanzania Ingekuwaje kwa hali hii?

Mbalamwezi

JF-Expert Member
Sep 30, 2007
800
171
Wakuu,

Kenya ililalamika sana kukataliwa Watanzania kununua hisa za Safaricom. Licha ya BoT kueleza kuwa sheria haziruhusu, lakini Kenya ikalalamika kuwa huo si uungwana wa Federation.

Kama tusingekuwa wabishi, ingekuwaje sasa wakati ambapo bei zinazidi kuporomoka?
Je, twafahamu madhara ya mabilioni kuondoka benki kwa mikopo na kwenda kufungiwa mahali (si lazima iwe nje ya nchi) kusubiri hisa allocation then ziwe refunded?

Hebu tusome kwa makini hii taarifa, then tu judge hali ingekuwaje kwa sasa:

source: Business Daily
September 22, 2008:

Commercial banks that signed away billions of shillings to speculative investors for the Safaricom IPO may now be forced to revise provisions for possible loan defaults as the share price remains stubbornly stuck below the discounted offer price of five shillings.

More than Sh20 billion is believed to be outstanding to Kenyan borrowers who turned to debt to buy Safaricom shares.

The loan book is equivalent to about 3.6 per cent of all borrowing in Kenya that stood at Sh554 billion at the end of March.

Last week’s downward spiral of Safaricom share price to below the offer price now means borrowers must find extra funds to cover these loans, which are worth more — even without interest payments — than the value of the shares they bought in May.

This raft of lending to consumers against assets that have slumped in value has opened significant exposure for the banking sector to the possibility that the loans will not be repaid.

Statistics from Central Bank (CBK) show that banks doled out an estimated Sh48 billion to ecstatic retail investors who were eager to cash in on the IPO by betting that the share price would skyrocket on the company’s listing on the stock exchange.

However, the Safaricom share oscillated between a new low of Sh4.60 and Sh4.90 for three consecutive trading days last week, adding to the woes of retail investors whose panic selling has largely been blamed for the share’s consistent slump. [/SIZE
]
 
WaTz wangelia kilio kibaya kama walivyolia enzi ya Meridian Biao na ile benki nyingine ya Uganda aka Greenland bank.

Labda ndo maana BOT walizuia benki zetu za bongo zisikopeshe watu ili wanunue hisa za nmb. asante kwa kutunusuru na bomu la safaricom
 
WaTz wangelia kilio kibaya kama walivyolia enzi ya Meridian Biao na ile benki nyingine ya Uganda aka Greenland bank.

Labda ndo maana BOT walizuia benki zetu za bongo zisikopeshe watu ili wanunue hisa za nmb. asante kwa kutunusuru na bomu la safaricom

Lakini kwa kuwa wengi wetu ni wavivu kufikiri na tumebobea kulaumu, hili hatuwezi kuliona....
 
Back
Top Bottom