The most wanted man in Tanzania

Hajulikani

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
273
248
sing seth.jpg
 
Huyu ni raia wa Kenya, Tanzania na South Africa na isitoshe inawezekana pia ni raia wa India.
 
Huyo ni puppet waliyemweka front. behind yuko Kikwete na familia yake na hapo ndipo tunapoelekea ili tumalize mzizi wa fitna. Escrosw scandal ni dirisha dogo tu kuingia kwenye jumba la kutisha la rushwa na ufisadi Tanzania.

Wananchi muwe makini na proactive hii si vita ya kuwaachia wanasiasa na watu wachache tu. Ni vita yetu sote, tupigane kama vile uhai wetu unategemea ushindi ili tuendelee kuishi.
 
Only in Tanzania... Mtu anapiga hela bila kushitukiwa na amesepa ; Hapo labda tuling'ang'anie bilionear la Kihaya RUGE na washirika zake aliowatakatishia miela hiyo akiwemo dada yake Prof Tiba.
 
Hapa makapeti yote yaondolewe TUONE mende na voroboto WOTE walojificha chini. huu uwe MWANZO wa safari...
 
profesa muhongo itabidi atusaidie kumkamata huyu jamaa maana ndiye aliyemleta nchini.
 
umemsahau CHENGE kubwa la maadui
Nadhani Pinda liwalo na liwe, apigwe tu, yeye ndiye mid-fielder wa game zima, alijua yote aka-mute na alikuwa na uwezo wa kuzuia. Maneno yake yanamrudia. VIVA LOWASSA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom