Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

men nmeona horror and creepy movies nyingi bt hizi zipo kwenye top kabsa Van helsin(da dracula), Ring 1&2 (brought new meaning 2 3d tv lol), Dracula, Silent hill, Predators, Eliens vs predator, Jeepers Creepers1&2 nd kuna serie moja SUPERNATURAL any1 ashaiona, kama haujaiona tafuta seas hata 1 tu uchck usipoipenda ni pM me nakurudishia hela yako uliyonunulia na nakulipia mda uliopoteza kuangalia,ni noma hii chukua LOST+P.Break+Vamp D=SUPERNATURAL.

Also kuna hii nmeichck juz kati hatari,mdada anafanya kaz bank alisababisha bibi akanyang،anywa nyumba so bibi akamlaani. In 3 days she is haunted by Demonic spirit which seeks 2 take her 2 hell noma jus see d trailer

YouTube - Drag Me To Hell Movie Trailer
UPO PANDE GANI NIKUCHEKI. KAMA UPO DSM ITAKUA NJEMA
 
Inaitwa "The Conjuring" ni moja ya Movie za kutisha sana. Kuna watu wamesadikika kufa wakati wanaichek kutokana na kutisha kusiko kwa kawaida.

Ni story ya kweli Iliyowahi kutokea Ulaya. Kutokana na majini (Demons) waliovamia nyumba na kuanza kuwatesa. Ghost Hunters, Demonologists, Exorcists, na Paranormal Naturalist wapo kwenye zoezi hili la kuwaondoa hawa weird demons kwa Msaada wa kanisa. Je, wataweza? Demon Avalak atakubali kuondoka?
Fuatilia kisa hiki kwa kina.

Binafsi si Kulala vizuri siku TATU.

Itafute Show Box Ipo 1&2.

If You're Easily Shocked Positively Don't Watch It Out.
 
Mi binafsi hakuna muvi hapo. Haijanivutia wala kunitisha hata kidogo. Nilichokiona hakina uhalisia mtu ananyoosha mikono upande wa pili inaonesha kama ameshika bastola. Uongo mtupu!
 
Mi binafsi hakuna muvi hapo. Haijanivutia wala kunitisha hata kidogo. Nilichokiona hakina uhalisia mtu ananyoosha mikono upande wa pili inaonesha kama ameshika bastola... uongo mtupu!
Conjuring kwa kweli haijanivutia, labda part 2 kidogoo.
 
Plz nielekezen program ya kudownload movies. Maana napata shida sana. Natumia kacm Techno C8 au hakiwezi kudownload?
 
Mi binafsi hakuna muvi hapo. Haijanivutia wala kunitisha hata kidogo. Nilichokiona hakina uhalisia mtu ananyoosha mikono upande wa pili inaonesha kama ameshika bastola. Uongo mtupu!
Dah! Mkuu Bhasi Itakuwa Sensitivity zetu zinatofautiana. Binafsi nimeipenda mpaka kesho.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom