The Most Horror Movie Ever

Wervemarcel

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Messages
2,134
Points
2,000

Wervemarcel

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2015
2,134 2,000
Inaitwa "The Conjuring" Ni Moja Ya Movie Za Kutisha Sana. Kuna Watu Wamesadikika Kufa Wakati Wanaichek Kutokana Na Kutisha Kusiko Kwa Kawaida
Ni Story Ya Kweli Iliyo Wahi Kutokea Ulaya. Kutokana Na. Majini (Demons) Walio Vamia Nyumba Na Kuanza Kuwatesa. Ghost Hunters, Demonologists, Exorcists, Na Paranormal Naturalist Wapo Kwenye Zoezi Hili La Kuwaondoa Hawa Weird Demons Kwa Msaada Wa Kanisa Je Wataweza? Demon Avalak Atakubali Kuondoka?
Fuatilia Kisa Hiki Kwa Kina.

Binafsi Si Kulala Vizuri Siku TATU.

Itafute Show Box Ipo 1&2.

If You're Easily Shocked Positively Don't Watch It Out.
 

don88

Member
Joined
Jan 22, 2013
Messages
53
Points
125

don88

Member
Joined Jan 22, 2013
53 125
Mi binafsi hakuna muvi hapo. Haijanivutia wala kunitisha hata kidogo. Nilichokiona hakina uhalisia mtu ananyoosha mikono upande wa pili inaonesha kama ameshika bastola... uongo mtupu!
 

Wervemarcel

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Messages
2,134
Points
2,000

Wervemarcel

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2015
2,134 2,000
Mi binafsi hakuna muvi hapo. Haijanivutia wala kunitisha hata kidogo. Nilichokiona hakina uhalisia mtu ananyoosha mikono upande wa pili inaonesha kama ameshika bastola... uongo mtupu!
Dah! Mkuu Bhasi Itakuwa Sensitivity Zetu Zina Tofautiana.
Binafsi nimeipenda mpaka kesho.
 

Forum statistics

Threads 1,381,428
Members 526,091
Posts 33,799,965
Top