The most 15 dangerous female gangsters in the world

Hivi uoe mwanamke kama huyu inakuaje??

Kwa mimi hata akizingua anakula vibao kama kawaida
 
Wabongo si unajua lugha yetu ni kibantu?

Hivi visingizio sometimes inabidi tuviache!

Mtu umesomeshwa kuanzia vidudu mpaka chuo kikuu,umefaulu vizuri na bado hadi Kiingereza cha kusoma hata ku-Google kwa Google Translator imekushinda?

Hii ni aibu kabisa karne ya 21 mtu mzima unalalamikia eti lugha na umesoma kutumia lugha hiyo hiyo kwa miaka zaid ya 16 shuleni!

Watanzania tunatia aibu,vitu kama hivi hata juhudi binafsi tu unashindwa?

Tutakaa tuweze nini sisi?
 
Kubeti
 
Back
Top Bottom