The modern and uptodate laptop computer

mkuu Junior 2

JF-Expert Member
Nov 4, 2017
282
201
Wakuu maombeni mwenye uelewa wa laptop nzuri na ya kisasa aniambie pakupata. Naomba na specifications zote kama model n.k.
 
Unataka Kwa matumizi ya nini?
Nahisi kuanzia hapa utapata maelekezo ya kutosha

Cc joseverest
 
Back
Top Bottom