The mining investment attractiveness index in Africa shows Tanzania’s score and rank had deteriorated

yamindinda

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
1,581
1,318
The mining investment attractiveness index in Africa shows Tanzania’s score and rank had deteriorated in 2017, dropping from 59th (of 104) in 2016 to 78th (of 91). http://ow.ly/FvsF30jOfiK
DcpkhcJWsAEjGFI.jpg:large

Hawa jamaa ni wajanja sana. Ukiweka sheria nzuri ambazo zina endana na wakati wanakuja na Tafiti zao zinazoonesha kuwa attractive index ya investment kwenye sekta imeshuka.....ila ukiwaachia wasafirishe ile michanga wanavyotaka utasikia attractive index imepanda......balaaa sana
 
Wanachokifanya sio kipya.

Hata magufuli anawafanyia hivyo wananchi wake.
Mfano kupika data za TRA.
Kuwanyima watz mkopo ilihali yeye mwenyewe alitaka wqnawe wapate mkopo tena kwa jina la mama janeti.

Ili huku yeye kasoma seminar na alilipiwa ada bure na hajalipa hata sent. Matokeo yake na shukrani zake wote mnaziona wazi wazi.
Kumnyamazisha mkalimani Ikulu etc.
 
Kumnyamazisha mkalimani Ikulu etc.[/QUOT Well said mkuu, yaan mkulu kaboa kiukweli ukiangalia viongozi wengi wa serikali hasa wale wakongwe kama yyy wamesoma bure kabisa kuanzia la kwanza mpaka masters, lkn wao wamekuwa wakatili juu ya kuwasaidia wenzao, sioni logic ya kumnyima mkopo aliyesoma private school ili hali wanajua fika wazazi wengi wanasomesha private kwa kujibana sana, mzazi analipa ada mil.1.2 kwa awam 3-4 akijua kwamba mtt atakula shulen mwaka mzima na hana mahitaji mengine ya lazima tofauti na nguo za shule, madaftari na hela ya nauli anaporud nyumban

sasa leo mzazi uliyesomesha kwa kuuza vimazao na vimbuzi huku ukijipa matumain kuwa akifika chuo atapata mkopo ili upumue kidogo, unaambiwa ghalamia kila kitu kinachotakiwa chuon, ni watanzania wangapi wataweza kughalamia ada ya chuo, chakula awapo chuon, materials yote anayotakiwa kuwa nayo, na mahitaji mengine kibao, hii ni hatari sana kuwa na viongozi kama hawa.
 
The mining investment attractiveness index in Africa shows Tanzania’s score and rank had deteriorated in 2017, dropping from 59th (of 104) in 2016 to 78th (of 91). http://ow.ly/FvsF30jOfiK
DcpkhcJWsAEjGFI.jpg:large

Hawa jamaa ni wajanja sana. Ukiweka sheria nzuri ambazo zina endana na wakati wanakuja na Tafiti zao zinazoonesha kuwa attractive index ya investment kwenye sekta imeshuka.....ila ukiwaachia wasafirishe ile michanga wanavyotaka utasikia attractive index imepanda......balaaa sana
Mbona wazungu wameondoka na tunaibiwa na mhutu mwenzetu??
 
Wanachokifanya sio kipya.

Hata magufuli anawafanyia hivyo wananchi wake.
Mfano kupika data za TRA.
Kuwanyima watz mkopo ilihali yeye mwenyewe alitaka wqnawe wapate mkopo tena kwa jina la mama janeti.

Ili huku yeye kasoma seminar na alilipiwa ada bure na hajalipa hata sent. Matokeo yake na shukrani zake wote mnaziona wazi wazi.
Kumnyamazisha mkalimani Ikulu etc.
Tuna rais mwenye roho mbaya shetani hana mfano.

Kwa akili hizi za mheshimiwa maendeleo tutaendelea kuyasikia ulaya, marekani na asia.
 
Back
Top Bottom