The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
manchester-city-logo-png-transparent.png

Full name: Manchester City Football Club

Nickname(s): The Citizens, The Blues, The Sky Blues

Founded: In 1880 as St. Mark's (West Gorton), became Ardwick Association Football Club in 1887 and Manchester City in 1894

League: Premier League

Website: Mancity.com

Etihad.jpg

Ground: City of Manchester Stadium (Etihad Stadium), (Capacity: 56,000) - Pitch 105m x 68m



a ya Manchester City F.C. (1928-1965)
Historia ya Manchester City F.C. (1965-2001)
Historia ya Manchester City F.C. (2001-sasa)
-leo tutaanza na safu ya kwanza.
Historia ya Manchester City F.C. (1880-1928)

-Wanachama wa Kanisa la St. Mark la Uingereza, West Gorton, Manchester, walianzisha klabu ya mpira wa miguu ambayo inajulikana kama Manchester City, kwa madhumuni makubwa ya kutoa huduma za kibinadamu.

Kwa kuzuia unyanyasaji wa magenge maovu na Yale ya ulevi na kupigania ukosefu mkubwa wa ajira zaidi mashariki mwa Manchester, hasa Gorton.

-Watu wote walikubali kujiunga, bila kujali dini, kulikua na Klabu ya kriketi ya kanisa ilianzishwa mwaka wa 1875, miezi ya baridi.

Ndipo Bwana Rector Arthur Connell kushinikiza kwa kuingilia kati katika matatizo ya kijamii, William Beastow na Thomas Goodbehere wa kanisa walianzisha timu ya mpira ya soka iliyoitwa St Mark's (West Gorton) (wakati mwingine ikiandikwa kama West Gorton (St Mark's) katika miez ya baridi mwaka 1880.

-Mechi ya kwanza ya timu iliyorekodiwa ilitokea tarehe 13 Novemba 1880, dhidi ya timu ya kanisa kutoka Macclesfield. Marko alipoteza mechi 2-1, na timu alishinda mechi moja wakati wa msimu wa 1880-81 tangu kuanzishwa, na ushindi juu ya Stalybridge Clarence mwezi Machi 1881.

-Jiji lilipata heshima ya kwanza kwa kushinda kuingia daraja la Pili(second devision) mwaka wa 1899; na timu ikaweza kupanda kiwango cha juu katika soka la Kiingereza, daraja la kwanza(First devision), tarehe 23 Aprili 1904, wakiipiga Bolton Wanderers 1-0.

-Klabu iliweza kupoteza Kombe la FA mara mbili moja ikiwa ni fainali dhidi ya crystal palase.

Katika msimu baada ya ushindani wa Kombe la FA, klabu ilipatwa na uhaba wa kifedha, na kusimamishwa kwa wachezaji kumi na saba mwaka 1906, ikiwa ni pamoja na nahodha Billy Meredith, ambaye baadaye alihamia.

Manchester United
-Moto uliozuka katika Hyde Road uliweza kuharibu miondombinu ya timu ikiwemo uwanja mwaka wa 1920, na mwaka wa 1923 klabu ilihamia kwenye uwanja wao mpya uliojengwa Maine Road katika Moss Side.

Manchester City: EPL Champions 2014

Manchester-City-captain-Vincent-Kompany-Premi_3139884.jpg


Manchester City beat West Ham 2-0 to win the Barclays Premier League title

 
Last edited:
Why??? Au kwa vile imeanzishwa na mshabiki wa Chelsea??? JF ni ya wote, acha awasaidie wale wasiojua/wasioweza kuanzisha thread ya timu zao wazipendazo.

Nimeuliza kama thread itadumu kwa maana ya kuchangamka. Maana Man City tuijuayo ni timu ya nafasi ya 8-12 kwenye ligi. Tusubiri tuone kama Arab Money ita-deliver performance.
 
Naona Mkuu Ab umekua mjanja mapemaa.
Umeandaa sehemu mbadala incase daraja litabomoka. Well huna pa kujificha.......:)
 
Hehehe, najua mashabiki wengi wa Arsenal wana wasi wasi na hawa the rich boys si unajua madogo wamepania kuwapokonya nafasi ya nne. Man City wanachotakiwa kufanya sasa hivi ni kuleta kocha mwingine mwenye uzoefu wa kufundisha superstars.
 
mshabiki wa arsenal ambaye ameama na adebayor anaweza kuwa mgonjwa wa akili na kuitaji daktari haraka sana.

haha..mbona wengi mlikwenda Arsenal kwa sababu ya Kanu alivyoondoka mkakosa uelekeo ikabidi mdandie basi la Henry sasa sioni ajabu kama wapo ambao wameenda na Adebayo
 
haha..mbona wengi mlikwenda Arsenal kwa sababu ya Kanu alivyoondoka mkakosa uelekeo ikabidi mdandie basi la Henry sasa sioni ajabu kama wapo ambao wameenda na Adebayo
club haiundwi na mchezaji mmoja mkuu na nakwambia kama kuna mtu amehama arsenal na adebayor basi hujue huyo mshabiki alimkuta adebayor arsenal.tatizo mnaindama sana arsenal kwa vile hatumwagi hela hovyo hovyo kununua majina makubwa na bado tuna perform hicho ndio kinawauma sana.
 
Man City 1 - 0 Wolverhampton


By Phil McNulty

Emmanuel Adebayor was on the mark again as Manchester City continued their winning start to the new season against Wolves at Eastlands.
Adebayor may have been the match-winner with a crisp 17th-minute strike to follow on from his opening day goal at Blackburn Rovers, but there is no disputing Carlos Tevez is the new darling of City's fans after switching allegiance from Manchester United.

Tevez created Adebayor's goal and was the focal point as City created enough chances to have wrapped up the victory by half-time, when only careless finishing and the defiance of Wolves keeper Wayne Hennessey kept them at bay.

http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/eng_prem/8210640.stm
 
Hehehe, najua mashabiki wengi wa Arsenal wana wasi wasi na hawa the rich boys si unajua madogo wamepania kuwapokonya nafasi ya nne. Man City wanachotakiwa kufanya sasa hivi ni kuleta kocha mwingine mwenye uzoefu wa kufundisha superstars.

...Spurs ndio tishio mazee, sio Man City...

AB tuambie kabisa kama uko Man City

...labda hiyo buluu inamvutia, you never know na hawa Chelski.
 
Back
Top Bottom