OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,125
- 24,060
Kama Man city A inafungwa na Norwich iyo B ndo itaweza kutoboa?Sahihi kabisa asilimia mia
Kama Man city A inafungwa na Norwich iyo B ndo itaweza kutoboa?Sahihi kabisa asilimia mia
Ndio inaweza kutoboa, Kwani ni timu gani isiyofungwa ndugu yangu?Kama Man city A inafungwa na Norwich iyo B ndo itaweza kutoboa?
Ndugu yangu hao wachezaji ulivyowachambua umesahau makubwa yao yote? Huyo Zinchenko sindio yule left back wetu tunamuaminia siku zote na alikua na record ya kucheza mechi nyingi bila kupoteza?
Huyo D. Silva sindio yule tunaesema ujuzi wake hauzeeki na game mbili kabla ya Norwich alitoa assist nne, yaani mbili dhidi ya Bournemouth na mbili dhidi ya Brighton?
Tukubali game ya juzi tulizidiwa na jamaa wakapata matokeo, kupoteza game kawaida huwa inatokea na kila timu inaweza kupoteza
Mendy ni mgonjwa ndugu yangu, akiwa fit moja kwa moja huwa anaanzaKwa kuwaweka Benchi Mendy na Angelino kwa ajili ya Zinchenko Pep anakosea sana. Kumuweka Walker kidooogo naweza support
Walker at Centerback mzuri tuNaona Bundi katia kambi pale Etihad View attachment 1209908
Kama Man city A inafungwa na Norwich iyo B ndo itaweza kutoboa?
Leo shangwe tuR.Mahrez weraaaa ,weraaaaa...
Hahah!