The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kwa kuwaweka Benchi Mendy na Angelino kwa ajili ya Zinchenko Pep anakosea sana. Kumuweka Walker kidooogo naweza support
Ndugu yangu hao wachezaji ulivyowachambua umesahau makubwa yao yote? Huyo Zinchenko sindio yule left back wetu tunamuaminia siku zote na alikua na record ya kucheza mechi nyingi bila kupoteza?

Huyo D. Silva sindio yule tunaesema ujuzi wake hauzeeki na game mbili kabla ya Norwich alitoa assist nne, yaani mbili dhidi ya Bournemouth na mbili dhidi ya Brighton?

Tukubali game ya juzi tulizidiwa na jamaa wakapata matokeo, kupoteza game kawaida huwa inatokea na kila timu inaweza kupoteza
 
Naona Bundi katia kambi pale Etihad
Screenshot_20190917-175659.jpg
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom