Sio timu mbovu usiwadharau westham
Liverpool hawakutaka kifunga goli nyingi jana.Ila gadiola bana!!Hana utani
Tutajie timu za kuifunga Man City mkuu...Westham sio timu ya kuifinga man city...
So hongeren leo mmepata mteremko bwerere
Halafu anapiga "kiatu" hatari..!Rodri ni usajili mmoja mkubwa sana.
Usioendana na bei yake
Faulo zake za akili sana.Halafu anapiga "kiatu" hatari..!
Napenda sana namba sita inayopiga "kiatu"
hatrickHuyu stering mbovu sanaa
wewe mwanamama tulia uchokonoleweWestham sio timu ya kuifinga man city...
So hongeren leo mmepata mteremko bwerere
Sio mvivu huyu dogo ila kipaji kazidiwa sana tu na SaneRaheem sterling sijui ni rangi ndio inamponza ama ni kiuno sijajua kwa kweli kwa nn hapewi heshima anayostahili
Sane anakipaji zaidi ni kweli.Sio mvivu huyu dogo ila kipaji kazidiwa sana tu na Sane