The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

IMG_20190514_204001_046.JPG
 
This UEFA ban is not yet confirmed.
It has been a daily story but I'm not worried. It z not gonna happen
Surely Not confirmed yet.
Ila ngoma inanukia.
This time naona wapo serious kweli.
Ila maamuzi ya chief ndo yataweka wazi .
Ata ivyo inaweza isiwe msimu huu jwa sababu june kazi zinaanza.
Fifa wao tayar walishamaliza uchunguzi wao nao wakitoa maamuzi inakuja ishu ya chelsea.
 
Mwakani naona watu wakipambana kuchukua nafasi ya tano ili washiriki uefa hahhaa
 
Barcelona uses £200m at least every year.
Bado wanapigia kelele city.
De jong 80
De ligt 80
Griezman 125
 
Jamaa wamehack emails za city duuu kweli noma.
Kama wakifanikiwa kufungia city bora wafungue uefa ila sio kusajili maana ligi pia itakuwa ngumu msimu mzima.
Hakunankufungiwa hapa, mwendo ni uleule.
Tumechukua kombe ila tupo kimya sana. Nini mbaya. Mbona wenzetu wakichukua makelele ni mengi?
 
Naona itakuwa kazi kubwa sana kwa liverpool kufikisha points 90+ msimu ujao.
Wajipange sana.
Pia l'pool ishukuriwe maana bila ya kupambana vile tungechukua misimu miwili kwa tofauti ya point zaidi ya 20 na anaefuatia.
Kama msimu uliopita.
 
Acha kuongea uharo
 
Sane atakuwa Kijana Mtata..?

Kombe la Dunia aliwekwa kando 2018,City hapa huwa anasugulia benchi kimtindo.

Yote tisa anakipaji kikubwa,

Kuna tetesi juu ya kuondoka kwake kwenda Bayrn.
 
Sane atakuwa Kijana Mtata..?

Kombe la Dunia aliwekwa kando 2018,City hapa huwa anasugulia benchi kimtindo.

Yote tisa anakipaji kikubwa,

Kuna tetesi juu ya kuondoka kwake kwenda Bayrn.
Naona kuwekwa kando ulikuwa ni upuuzi wa kocha wa tim ya taifa.
Ila nimeona wamempa muda wa kutosha kwenye uero qualification
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom