Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahahahah ni swala la muda lakini BAN itawahusu tu.This UEFA ban is not yet confirmed.
It has been a daily story but I'm not worried. It z not gonna happen
Surely Not confirmed yet.This UEFA ban is not yet confirmed.
It has been a daily story but I'm not worried. It z not gonna happen
Hakunankufungiwa hapa, mwendo ni uleule.Jamaa wamehack emails za city duuu kweli noma.
Kama wakifanikiwa kufungia city bora wafungue uefa ila sio kusajili maana ligi pia itakuwa ngumu msimu mzima.
Sidhani kama pep atamtoa.Bayern on sane
Tuna vivuli vyetu vingi.Hakunankufungiwa hapa, mwendo ni uleule.
Tumechukua kombe ila tupo kimya sana. Nini mbaya. Mbona wenzetu wakichukua makelele ni mengi?
Acha kuongea uharoNaona itakuwa kazi kubwa sana kwa liverpool kufikisha points 90+ msimu ujao.
Wajipange sana.
Pia l'pool ishukuriwe maana bila ya kupambana vile tungechukua misimu miwili kwa tofauti ya point zaidi ya 20 na anaefuatia.
Kama msimu uliopita.
Naona kaweka namba ya city.
Naona kuwekwa kando ulikuwa ni upuuzi wa kocha wa tim ya taifa.Sane atakuwa Kijana Mtata..?
Kombe la Dunia aliwekwa kando 2018,City hapa huwa anasugulia benchi kimtindo.
Yote tisa anakipaji kikubwa,
Kuna tetesi juu ya kuondoka kwake kwenda Bayrn.
Naona kaweka namba ya city.
Na jezi ya German.