goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 3,546
- 2,572
Ooh thats nice.Oleksandr Zinchenko currently holds the records for consecutive PL wins from his debut, standing at 22
Na asiondoke mwakan tunachukua tena.
Ooh thats nice.Oleksandr Zinchenko currently holds the records for consecutive PL wins from his debut, standing at 22
Hahaha ni kweli .Mkuu City ameeka vichwa makini nyuma ya Pep pale, wanajua nini wanafanya sio kama Chelsea au Man U. Mimi walinamaliza kabisa pale walipokwenda kumsajili Bernado Silva kimya kimya huku chelsea wakipambana kwa vurugu Kumbeba Bakayoko.
Hahaha ni kweli .
Jamaa wanafatilia sana sana.
Na bernado alitusumbua tulipocheza na monaco.
Ila chelsea walimuona bakayoko.
Man utd ina bili kubwa ya mshahara kwa mwaka kuzidi psg,bayern,liverpool,chelsea,arsenal. Hadi spurs.Sasa hiyo ndio tafauti ya timu yenye uwongozi makini na uongozi wa ovyo. wanaishia kutimua makocha kila siku kumbe wachawi ni wao wenyewe. Na tatizo kubwa linakuja pale mashabiki wao fikra zao zinafanana na viongozi wao.
Kuna jamaa wa tvHivi kiasi gani Man City ameingiza kwenye huu ubingwa wake...
Man utd ina bili kubwa ya mshahara kwa mwaka kuzidi psg,bayern,liverpool,chelsea,arsenal. Hadi spurs.
Ila sasa ni utumbo.
Wachezaji wao ni wakawaida na wanawalipa hela nyingi sana.
Club iliendeshwa kwa hasara zaidi ya £160m last year.
While city mwaka wanne wakipata faida japo kuwa bili ya mshahara ni kubwa.
Unataka kukumbia uhalisia, wew unaangalia mpira na wenzako pia unakaa vijiwen kujadili mpira, kutokuhusika kwako na ubaguz haumaanish Afrika tumekomboka.Simo kabisa ktk dhambi za kijinga kama hizo 7bu naelewa hakuna aliyejiumba na awezaye kuumba kiumbe chochote hai duniani zaidi ya Mungu pekee, so usinishirikishe ktk yasiyonihusu lkn nilichokinena mimi nina ushahidi nacho 100% kuhusu ubaguzi wa rangi hasa kwa huyo Pep.
Kuwa mkweli ili uwe huru na amani rohoni mwako Kaka.
Unataka kukumbia uhalisia, wew unaangalia mpira na wenzako pia unakaa vijiwen kujadili mpira, kutokuhusika kwako na ubaguz haumaanish Afrika tumekomboka.
Sis ni wabaguzi kuzid ata PEP.
Anyway tuache haya mambo tumsifie Pep kwa kaz yake, UEFA isikufanye ukaanza kumbeza Huyu coach.
Ni wivu tu mkuuUefa ban
Jamaa wamehack emails za city duuu kweli noma.Ni wivu tu mkuu
Last word sheikh mansoor alimwambia pep "don't worry"Ni wivu tu mkuu