The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Dunia bwana eti man united
wana wafunga fulham fc wanashangilie etii jamani dhambi eeeh


cityzen chairman am here
 
wadau kesho moto ule ule tu
chelsea anakufa safii tu na salama

possible lineup♥♥♥♥♥

ederson
arymeric laporte
kyle walker
nicolas otamendi
john stones
felnandinho
kelvin de bruyne
david silva [ captain]
Iklay gundogan
lorey sane
rahim sterling
sergio aguero


cityzen chairman am here
 
Mnaikumbuka hii.?
IMG_20181217_083343_369.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
wadau kesho moto ule ule tu
chelsea anakufa safii tu na salama

possible lineup♥♥♥♥♥

ederson
arymeric laporte
kyle walker
nicolas otamendi
john stones
felnandinho
kelvin de bruyne
david silva [ captain]
Iklay gundogan
lorey sane
rahim sterling
sergio aguero


cityzen chairman am here
Lineup haiwezi kuwa hii mkuu.
 
Mshambuliaji Sergio Aguero amefikia rekodi Allan Shearer ya kupiga hat trick 11, akiiongoza Manchester City kuichakaza Chelsea kwa mabao 6-0 kwenye Uwanja wa Etihad

Mshambuliaji Aguero ameweka rekodi ya kufunga hat-trick ya pili katika mechi tatu alizocheza na kuiongoza Manchester City kurudi kileleni kwa Ligi Kuu.

City ilikuwa mbele kwa mabao 4-0 katika dakika 25 za kwanza, Raheem Sterling alifunga bao la kwanza kabla ya Aguero kufunga bao la pili kwa shuti la umbali wa mita 30.

Aguero alifunga bao tatu akimalizia mpira uliorudishwa nyuma na beki wa Chelsea, Ross Barkley naye Ilkay Gundogan alifunga bao tatu kwa shuti la umbali wa mita 18 kabla ya mapumziko.

Aguero alifikia rekodi ya Alan Shearer ya kufunga hat-tricks 11 katika Ligi Kuu England akifunga penalti kabla ya Sterling' kuhitimisha kwa kufunga bao la sita.

Wakati Aguero anakwenda kuchukua mpira mwamuzi Mike Dean aliuficha mpira huo nyuma hadi alipomkaribia ndipo aliutoa mgongoni na kumpa.

Mshambuliaji huyo wa Argentina alikosa bao akiwa yeye na goli kabla ya kuweka rekodi yake ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Manchester City akiwa amefunga mabao 160 na kuivunja rekodi ya Eric Brook aliyekuwa amefunga mabao 158.

City sasa inaongoza ligi kwa tofauti ya mabao tisa kwa Liverpool, wenye mchezo moja mkono.
 
Back
Top Bottom