The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Liverpool bado yupo top. Ila timu zote zina mechi ngumu mbele.

Ubaya wa soccer, angalia mechi Man City alizopoyeza 75% ni below 10 kwenye table. Ni moja tu aliyopoteza ya Top 6.

What is the point? You are likely to lose points where you don't expect to as compared to these games with battles of tactics.
 
dunia bwana kuna mtu mmoja nakumbuka 2009 August 09 halisema thread hii haiwezi kudumu daah sasa najiuliza sijui bado yupo hai

kama yupo napenda ha reply hii comment please please

the cityzen chairman am here
 
Ahsanteni kwa kutusaidia kibarua cha jana. Sisi tutawalipa tarehe 24 february. Ubingwa naona mnabeba tena. Marijani liverpool ukame lazima uendelee
 
Ubaya wa soccer, angalia mechi Man City alizopoyeza 75% ni below 10 kwenye table. Ni moja tu aliyopoteza ya Top 6.

What is the point? You are likely to lose points where you don't expect to as compared to these games with battles of tactics.
Mancity mechi zake 12 za mwanzo ndizo alizopiga timu kubwa. Alipiga Arsenal, Tottenham na Manchester United. Jumlisha droo ya hapo Anfield.
Ila kwenye epl hakuna timu ndogo. Na kuchukuo kombe sio lazima timu iwe kubwa.
Na ukichukua kulirudia tena inakuwa ishu. Sisi kama City matumaini ya kulichukua mfululizo pana ugumu.
 
Hapana aisee lichukueni msikate tamaa mapema hivi Uwezo mnao, Nia Mnayo na sababu pia Mnayo. sasa mnataka kuliachia ili iweje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cityzen ha ha ha ha

gally crichy

tarehe kama ya leo 04-01
alikuwa ana saini mkataba na the cityzen

##gallylegend

cityzen chairman am here
 
Huwa sikiamini sana kikosi cha kwanza cha City kinachokuwa na Gundogan ndani...
Anyways, Pep knows more..!
C'mon City..!
 
Game ilikuwa ngumu sana. Angalia stats

Screenshot_2019-02-07-00-42-00-39.png
Screenshot_2019-02-07-00-42-35-41.png
 
Back
Top Bottom