The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

goswe

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
3,004
2,000
Walitakiwa watufunge first half
FB_IMG_16196446968877280.jpg
 

goswe

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
3,004
2,000
Manchester City are the first English side to win six consecutive European Cup/UEFA Champions League matches in a single season since Leeds United in the 1969-70 campaign.
 

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
6,398
2,000
striker mwenyewe Jesus wazinguaji hao
Nasikia pep anataka wachezaji wote wawe wanacheza kwa pamoja ,kuzuia pamoja na kushambulia pamoja ndio maana saizi hahitaji striker tena ..!


Hii falsafa ndio anatembea nayo TT ,ndio maana unaona kina giroud ,Tammy wapo bench ,na hana mpango wa kuwaweka kwenye game mhimu ....


Yaani mchezaji aweanasubili tu wampelekee mpira ,inakuwa ngumu ,wengine watafute yeye apewe tu ,hii falsafa pep anaenda kuikataa ..Tujiandae kucheza bila striker kianzia sasa ,uzuri inaleta matokeo ..!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom