The Man Who Swims with Crocodiles

Hiyo si habari mpya hasa wale wenye DSTV na wapenzi wa National Geographic Wild channel..,hiyo episode personally niliiona cku kama 4 zilizopita.,Hongera uliyoileta hii kitu ili wengne ambao hawajaona haya maajabu wayaone
 
Back
Top Bottom