Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 21,222
- 36,239
- Thread starter
- #61
Wee bana sisi tumeshakua wadau muhimu kwenye hii situeshenship yenyu kwahiyo unawiwa kutupa updates kila hatua..
Na kama umeshasoma upepo hapa ni kwamba wengi tupo upande wa jirani ๐คฃ Kila hatua anayopiga kuikaribia nchi ya ahadi kwetu ni ushindi mkubwa.....!!
Haya, hebu tuambie ni hatua gani hiyo mpya amepiga? Usituache gizani watu tunashindwa kupata usingizi......๐๐
Aaahahahahahaaa yaaani kama jirani yuko humu mtafanya bichwa lake livimbe looh๐๐.
Well the step ahead was, jirani jana alikaa kwenye korido anasubiri nirudi kazini.....
Namsalimia, akaomba simu yangu akaji flush namba yake.......! So he has my number...
All these time tuko majirani wala hatukuwa tunafahamiana namba zetu na hatukuwa na desturi ya kubadili ana kwa simu.
We lightly chat yesterday night and off I was taken away by the sleep ๐ด.
So far so good, leo nimekaza asije leta mambo ya masihara ....๐๐