The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Sawa sawa....hako kajamaa kwenda kupata pound 150,000 kajiona kafika....wangekafungia maisha......! hana adabu yule dogo aiseeeee...he deserved it ..Lol!
 
Na bado anasubiri Adhabu nyingine kwa kushangilia gori kwa kuwazomea washabiki wa ArsenaL!

Adebayor also faces an improper conduct charge for his goal celebration in front of the Arsenal supporters.
A separate date will be arranged for a commission to consider that charge, with City have until 30 September to respond.

Poleni washabiki wa Man City
 
hii hapa ndio naona kidogo wamsamehe manake kama kuzomewa tulimzomea sana na tutaendelea kumzomea kwahio ilikuwa haki yake kushangilia vile.hata ningekuwa mimi ningeshangilia vile.
 
Hehehe washabiki wa timu nyingine bana, wakati Keane anafungiwa fungiwa mlikuwa mnasema haki inatendeka kafungiwa Adebayor mnaanza kulia. Man City na Adebayor mwenyewe walikuwa na muda wa kupinga hizo tuhuma lakini hawakufanya hivyo, mwache achezee kifungo next time ataacha kukanyaga watu.
 
hata adebayor akiwepo, manu ni moto mwingine kabisa.
totenham kamnyoa liverpool 3, manu wakawaonyesha wao sio liverpool
na jumapili tutawaonyesha mancity kukaa katikati ya jiji sio kumililiki jiji....
 
Kibabu noma, kwa nini wasingempa iyo adhabu as from monday?> mzee wa karata tatu uyo!
 
Wananenepa kama mwakalebela?

Jamaa linakula lile balaa, kuna siku nilikutana naye pale juu lounge Mwalimu Nyerere airport, kwa muda wa saa moja alikuwa amekunywa beer kama 3 na buggers kibao..niliongea naye mambo ya soccer mweupe kweli kweli! Hamjui hata Lukas Fabianski....!

...aaaah Noma mpwa...acha David ale pensheni zake bana, aliwakilisha taifa huyo enzi zake tulipocheza na hawa marehemu wa KK11 (minus Kalusha)...!

11/10/1992, Lusaka, Independence Stadium World Cup Qualifier
ZAMBIA 2 (Jonson Bwalya 20', Lelvin Mutale 30')
TANZANIA 0
Zambia: David Chabala, Peter Mwanza, Samuel Chomba, Eston Mulenga, Whiteson Changwe, Derby Makinka, Moses Chikwalakwala, Patrick Banda, Kelvin Mutale, Kalusha Bwalya, Jonson Bwalya

Tanzania: Steven Hemes, David Mwakalebela, Keneth Mkapa, Willy Martin, Edibily Lunyamila, Edward Chumila, Godwin Aswile, Said Mwamba, John Nteze (Edifonce Amlima 77'), George Lucas, Marsha Hussein-Aman

Referee: Gwatidzo (Zimbabwe)
Coaches: Zambia: Samuel Ndlovu
Tanzania: Paul West
Cards: Tanzania: Said Mwamba [Y 70'], Edifonce Amlima [Y 77']

Adebayor anastahili hiyo adhabu..Aliniboa kweli kwenye ile match!!Poor him..Tuwafunge tu mechi dhidi yao, inshallah!

...Belinda na Manure wote najua kwanini mnasherehekea huyu 'mjivuni' kufungiwa :D:D:D...
 
Hehehe washabiki wa timu nyingine bana, wakati Keane anafungiwa fungiwa mlikuwa mnasema haki inatendeka kafungiwa Adebayor mnaanza kulia. Man City na Adebayor mwenyewe walikuwa na muda wa kupinga hizo tuhuma lakini hawakufanya hivyo, mwache achezee kifungo next time ataacha kukanyaga watu.

te he he,....aaaahaaaa! eeee?- yanatoka moyoni hayo Jirani?
 
te he he,....aaaahaaaa! eeee?- yanatoka moyoni hayo Jirani?

Mtani yanatoka moyoni hayo, ebo!! watu uwa wanachekelea wakifungiwa wachezaji wa Man U wakifungiwa wa timu nyingine inakuwa nongwa.

Hawa wanaomsema Fergie wananishangaza sana, Kwani Ferguson ndio alimtuma akamkanyage Van Persie?

Jana nilisoma quote moja ya Wenger nilicheka sana, huyu mzee wa Arsenal alisema Ukiuliza watu 100, 99 watasema Adebayor amekosea ila wa 100(Mark Hughes) atasema hakukosea na hakuna tatizo lolote.
 
Kwani Ferguson ndio alimtuma akamkanyage Van Persie?

Jana nilisoma quote moja ya Wenger nilicheka sana, huyu mzee wa Arsenal alisema Ukiuliza watu 100, 99 watasema Adebayor amekosea ila wa 100(Mark Hughes) atasema hakukosea na hakuna tatizo lolote.

...ha ha haaa... haya bana, kila la heri...watieni nuksi hao waarabu wa ManCity ingawa team hiyo ina record nzuri kweli juu yenu, hasa Shaun Wright-Phillips..
 
kwa wale tuliocheza mpira wa miguu.......sidhani kama Adebayor anastahili adhabu .....and especially ile van persie....wamemuonea.........ile ya kushangilia ilifaa apewe warning tu
 
Muda mfupi uliopita Babu (Sir Alex Ferguson) alikuwa anashangilia kabisa kutokuwepo kwa Ade hata kama hakumtuma kumkanyaga RVP.

Manchester City will be without their "best player" in Emmanuel Adebayor for Sunday's Manchester derby. "I am not bothered whether Tevez plays or not," said United boss Ferguson. "City's best player won't be playing. "Adebayor is their star player, there is no question about that."

Kazi kwelix2
 
...ha ha haaa... haya bana, kila la heri...watieni nuksi hao waarabu wa ManCity ingawa team hiyo ina record nzuri kweli juu yenu, hasa Shaun Wright-Phillips..
Hatututawaangusha
Hivi lini official utarudi MANU?
 
Mbona vissingizio vimekuwa vingi,mbona tulifungwa na Burnley hatukulalamika
Jumapili tunaendeleza bakora awe Tevez/Adebayor kipigo pale pale
 
Subiri wiki hii ndio mnaanza ligi maana game zote za mwanzo mlipangwa na vibonde
In Jermaine Defoe we Trust...

Wee kibonde cha Burnley funga domo lako,tutakulamba vizuri tunao wanaume 11 watakaocheza na wanaume 5 tu wengine 6 ni zilipendwa.

Sisi ni wenye jiji na ndiyo timu pekee inayoweza kujiita ya aliwatan,hakuna njia ya kunusurika kipigo.Alex roho inadunda tick tock tick tock...kibano hichooo... goli 3 kwa 1 la penalty.Tukutane sunday.
 
Muda mfupi uliopita Babu (Sir Alex Ferguson) alikuwa anashangilia kabisa kutokuwepo kwa Ade hata kama hakumtuma kumkanyaga RVP.

Manchester City will be without their "best player" in Emmanuel Adebayor for Sunday's Manchester derby. "I am not bothered whether Tevez plays or not," said United boss Ferguson. "City's best player won't be playing. "Adebayor is their star player, there is no question about that."

Kazi kwelix2

Hawana lolote MANU..watapigika tu.Wachezaji wao wachovu.Hazina iliyopo Man City ni kubwa.Vipaji vipo kwa wachezaji wengi tu,na kama ujuavyo hawa wakicheza na City huwa wanatetemeka.
 
Back
Top Bottom