The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Sababu wanajua angeliwaliza Man Utd!

Sure na sijui kama Man atachemka.
Vp sheria za Bongo naona Chuji kalimwa 6months dah chuki hizi!
Kamati ya nidhamu Simba wamejaa unafikiri haki itakuwapo hapo?
Soka bongo wanalididimiza hao TFF.
 
TFF are in dark ages!
 
kafungiwa kwa kumkanyaga usoni van persie maksudi sasa haki haijatendwa kivipi? na kama fitina za ferguson sasa na january akienda african cup of nations zinakuwa fitina za nani? tevez karudi pale au kama wameona sio haki wangekata rufaa mbona wameogopa?
 
TFF are in dark ages!

Yalivyo na akili finyu eti tumewasimamisha waamuzi baada ya kuvulunda kuchezesha mpira bila kutumia logic kwa nn Chuji alimzonga huyo huyo refa kwa kuchemsha wao wakakimbilia kumsimamisha kabisa. Kuna vijitu pale mm sivipendi sana vifupi vifupi hivi ndivyo ovyo ovyo sana.
 
Sure na sijui kama Man atachemka.
Vp sheria za Bongo naona Chuji kalimwa 6months dah chuki hizi!
Kamati ya nidhamu Simba wamejaa unafikiri haki itakuwapo hapo?
Soka bongo wanalididimiza hao TFF.

Adhabu ya Adebayor ni sawa kabisa, he stamped on Van Pussie... Ye s we saw it!!! Ila inatia uchungu kwasababu he was the best man to inaugurate the Man City big brother status against Manure!!!

Haya ya chuji sijui uchi, sina la kusema ila sina hakika kama kweli Tenga [Yanga] angekubali kamati hiyo iwe na simba wengi

Tuache ushabiki Fide
 
Sure na sijui kama Man atachemka.
Vp sheria za Bongo naona Chuji kalimwa 6months dah chuki hizi!
Kamati ya nidhamu Simba wamejaa unafikiri haki itakuwapo hapo?
Soka bongo wanalididimiza hao TFF.
hio ya chuji mie nilishangaa.sasa sijui hapo ni kumuadhibu mchezaji au kummaliza mchezaji kipaji chake.
 
Adhabu ya Adebayor ni sawa kabisa, he stamped on Van Pussie... Ye s we saw it!!! Ila inatia uchungu kwasababu he was the best man to inaugurate the Man City big brother status against Manure!!!

Lakini haki imetendeka katika adhabu hizo?
Lakini naona mdomo wa Fergie umechangia mkuu ameona Adebayor sasa moto wa kuotea mbali si yule aliyekuwa Arsenal.
 
hio ya chuji mie nilishangaa.sasa sijui hapo ni kumuadhibu mchezaji au kummaliza mchezaji kipaji chake.

Lengo lao kummaliza mchezaji visa tu vya kijinga jinga kumzonga refa eti unafungiwa miezi 3 dah jamani alafu watu wanashindwa hata kuhoji...wao mbona wana misuse pesa pale TFF wanaendelea kunenepeana mitumbo lakini tumewaacha tu.
 
hivi wanashindwa kulalamika caf? manake hizi sheria zingine sio za kimichezo kabisa.
 
Lakini haki imetendeka katika adhabu hizo?
Lakini naona mdomo wa Fergie umechangia mkuu ameona Adebayor sasa moto wa kuotea mbali si yule aliyekuwa Arsenal.

Hiyo inawezekana kabisa.... Mze fangason ni soo kwa karata tatu
 
Lengo lao kummaliza mchezaji visa tu vya kijinga jinga kumzonga refa eti unafungiwa miezi 3 dah jamani alafu watu wanashindwa hata kuhoji...wao mbona wana misuse pesa pale TFF wanaendelea kunenepeana mitumbo lakini tumewaacha tu.

Wananenepa kama mwakalebela?
 
Wananenepa kama mwakalebela?

Jamaa linakula lile balaa, kuna siku nilikutana naye pale juu lounge Mwalimu Nyerere airport, kwa muda wa saa moja alikuwa amekunywa beer kama 3 na buggers kibao..niliongea naye mambo ya soccer mweupe kweli kweli! Hamjui hata Lukas Fabianski....!

Adebayor anastahili hiyo adhabu..Aliniboa kweli kwenye ile match!!Poor him..Tuwafunge tu mechi dhidi yao, inshallah!
 
Jamaa linakula lile balaa, kuna siku nilikutana naye pale juu lounge Mwalimu Nyerere airport, kwa muda wa saa moja alikuwa amekunywa beer kama 3 na buggers kibao..niliongea naye mambo ya soccer mweupe kweli kweli! Hamjui hata Lukas Fabianski....!

Daaamn... I will be laughing everytime i see the guy
 
Back
Top Bottom