Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,369
- 205,759
got ya niccaBayser sure hujakosea master hapa
got ya niccaBayser sure hujakosea master hapa
endelea kujifariji hahahahahNzuri, umeona matokeo lakini. Kwa akili yako ulivyoona 1-4 ukajua mechi imeisha.
Tumefungwa kistarabu.
Pigaaaaa haoooPep Guardiola right now
Angalia score board yakoLeo Liverpool wanachezea tena kichapo
Bila ubishi watadundwa. Na leo watapigwa kwao mbele ya mashabiki wao wazomeaji
Leo Liverpool wanachezea tena kichapo
Lakini still ni best teamKweli hili jukwaa la mashabik wazunguka na makocha kichapo cha jana mmepoteana humu
Roma hajiengwi siku moja manchester city bado ni timu ndogo sana aiseeee
Team tena?Lakini still ni best team
Umeandika upuuzi gani?Team tena?
Unaiita best team haina hata kikombe si ulevi huo? Best team inatambulika kwa kubeba matajiUmeandika upuuzi gani?
Labda kikombe gani unamaanisha ww au kikombe cha chai?Unaiita best team haina hata kikombe si ulevi huo? Best team inatambulika kwa kubeba mataji
Labda kikombe gani unamaanisha ww au kikombe cha chai?
Mbona umetoka kwenye mada kuu? Umesema cty hawana kikombe nimekuuliza kikombe gani unamaanisha?Guardiola has claimed Manchester City will not become a truly big club like Manchester United and Liverpool until they deliver more trophies.
Alikuwa ana maanisha nn?
Pia ulichokua unabishana na mwamba hapo juu sio issue ya big club ilikua ni issue ya best team, hvo n vitu viwili tofauti kabisa mana u can be big but not best or best but not big kwa wakati huo....Guardiola has claimed Manchester City will not become a truly big club like Manchester United and Liverpool until they deliver more trophies.
Alikuwa ana maanisha nn?
Pia ulichokua unabishana na mwamba hapo juu sio issue ya big club ilikua ni issue ya best team, hvo n vitu viwili tofauti kabisa mana u can be big but not best or best but not big kwa wakati huo....