The Law School of Tanzania: Msaada tafadhali

paesulta

JF-Expert Member
Mar 13, 2009
227
29
Heshima yenu wakubwa,
naomba kwa yeyote aliye na taarifa ya admission dates kuingia chuoni hapa anisaidie kwani nipo nje na website yao hakuna description yoyote(au labda niseme haina kitu chochote kwani link zote hazifanyi kazi).
Kwa jinsi nnavyojua kuna admission mwezi wa tisa ambayo hasa ndo nnayoitaka,lakini nataka kujua ni lini hasa ili nifanye mipango ya kupata ruhusa kutoka kazini kuja kushughulikia process zote zinazotakiwa.
Tafadhali kwa yeyote aliye na data anisaidie...!
Heshima kwenu wote....!
 
i hate lawyers.......
i haaaaaaateeeeeeee lawyers
ningekuwa na uwezo ningenyonga lawyers wote.
 
Andrew Chenge
Nimrod Nkono
Ringo Tenga.
i cant stand these people..................

......and what has they got to do with me.....!?
i just want some info,dont divert the issue pls,anzisha thread yako ya kutowa-stand lawyers...!
 
Heshima yenu wakubwa,
naomba kwa yeyote aliye na taarifa ya admission dates kuingia chuoni hapa anisaidie kwani nipo nje na website yao hakuna description yoyote(au labda niseme haina kitu chochote kwani link zote hazifanyi kazi).
Kwa jinsi nnavyojua kuna admission mwezi wa tisa ambayo hasa ndo nnayoitaka,lakini nataka kujua ni lini hasa ili nifanye mipango ya kupata ruhusa kutoka kazini kuja kushughulikia process zote zinazotakiwa.
Tafadhali kwa yeyote aliye na data anisaidie...!
Heshima kwenu wote....!

Jamani kwanini umetumia maandishi mekundu yaliyokooza?wengine tunaumia macho.
 
Nijuavyo 6th Cohort, ambao waliapply tangu Novemba, 2009 wataanza kuingia muda wowote toka sasa, then watatangaza admission kwa ajili ya admission ya 7th Cohort.
 
Nijuavyo 6th Cohort, ambao waliapply tangu Novemba, 2009 wataanza kuingia muda wowote toka sasa, then watatangaza admission kwa ajili ya admission ya 7th Cohort.

Ni kweli 6th Cohort waliapply toka last year, to be precise hawa registration yao itaanza tarehe 22 March 2010 na masomo nadhani yataanza rasmi mwanzoni mwa april baada ya hapo ndipo watatangaza tena watu watume applications kwa ajili ya next cohort kwa hiyo endelea kuwasililizia tu na kutembelea website yao mara kwa mara huwa wanaweka matangazo.
 
Back
Top Bottom