Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,901
- 95,401
Mkuu kuna kitu naomba nikuulize.Kama umefeli pole sana.
Mkuu kuna kitu naomba nikuulize.Kama umefeli pole sana.
Ulipata nafasi January?Lini maombi ya kujiunga law School hufanyika? Je inawezekana kuunganisha masomo yaani 2020 unapata digrii ya Sheria na kugraduate Desemba halafu januari ukajiunga na law school?
Monogomus( single wife vs single man)Jaman naomb nature of marriage nd zip
Unaweza kutuma maombi kwa transcript bila cheti?Kuunganisha haiwezekani,maombi ni October na wanaunganisha intake ya January na ya July.Vyuo vingi wanamaliza November hivyo huwezi kuwa na transcript by October.Wanafungua dirisha August mwishoni ukiingia kwa website yao utakuta.
Jamani haya mambo si mazuri kabisa nafikiri ni muhimu kufikiria au kutazama lipi nzuri)imezungumzwa kuliko kutafuta weakness ya nani kakosea, wapi kakosea ipo siku tutapoteza watu wa maana humu ndani kwa tabia ambayo naweza kusema ni uswahili, tuishi kwa upendo na tuache Kashif👊Hii nchi imelaaniwa kabisa hajulikani msomi nani na ngumbaru nani, yani mwanasheria mzima hata kuandika hujui? Kanuni ndogo za uandishi kama kuanza sentensi kwa herufi kubwa pia hujui?
Cha ajabu hata website yenyewe haujaweka link. Haya majanga mwanawane wasomi woyeeee!!
Naomba msaada document ninayotakiwa kuifile hapaMoot Court Scenario
Ally s/o Ramadhan and Aneth d/o Fredrick are childhood friends. Two years ago, they completed together Bachelor of Laws degree at Lawyers Only University, a university based in Dar es Salaam, Tanzania. Ally & Aneth had great aspirations in the legal field to the extent of referring each other as the future Director of Public Prosecution (the Future DPP) and the Future Chief Justice (the Future CJ). In order to achieve their lifetime goals the two started a joint business with a slogan that let the Future DPP and Future CJ fight together so that we get money to support ourselves at the law school of Tanzania in the year 2023”. As per Business Licence issued by Dar es Salaam City Council their major activity is Importation of Chemical Products from South Africa.
However, such dream of theirs seems to hit a stumbling block following their arrest for illicit trafficking on 3rd January 2023. Ten days later, they were arraigned before the Resident Magistrates Court of Dar es Salaam at Kisutu, along with Mirza Prakesh, a Palestinian who is said to be the drug lord. According to the police Ally, Aneth and Mirza have been importing illicit drugs since 5th December 2022.
Take note that, after the Public Prosecutor has read out the Charge to them they were informed by the Resident Magistrate that they were not required to enter any plea as the said Court has no jurisdiction to try their case. As per the charge sheet the value of drugs is estimated to be TShs. 2,000,000,000/-. Ally and Aneth are growing frustrated since they are aware that committal proceedings may take even four years while they rot in jail.
Dah post ya zamani lakini nina uhakika huyu hatakuwa ametoboa, hawa ndio wale wenye vimeo aisee. Kama umetoboa utakua mzigo kazini au kwenye kitengo ulichopo. Nyie ndi watu wa vimemo kwakweli cz kwa uandishi wako sidhani kama unaweza au ungeweza kupita hii mitihani ya hicho chuo.hapana.unapoandika kwa kuchati lugha inayotumika ni casual. Lakini ingekuwa ni kuandika let's pleadings and or submissions basi lugha inayotumika ni frozen ambayo hatavile uthitaji kuedit and edit and edit for about for times before passing it your collegue for though proofreading. Hivyo usimshangae kuandika lugha laini katika mtandao
" An elect of God, a true champion of justice and the true defender of faith" Anonymous.
Samaani kwa mfano kwenye English Kama una f inakuaje apoCERTIFICATE IN LAW
Entry Qualifications:
An applicant must hold at least a Certificate of Secondary education Examination (CSEE) with a minimum of Five Passes "D" one of which must be English
Rudi shule ukasome somo la English angalau umeambiwa uwe na D!!Samaani kwa mfano kwenye English Kama una f inakuaje apo
Ada milioni 3 tu, kila mtu aliyesoma sheria anaweza,[wanafunzi wengi mnamiliki iphone macho 3 ya milion 3.2 hamshindwi ].Inalipwa kwa mkupuo.Ndugu zangu mliopita au mliopo kwenye uwanja wa mapambano(Law school) tujuzeni hali halisi ya pale..naanza kwa kuuliza maswali yafuatayo;
1.Ni kozi ngapi zinafundishwa
2.Utaratibu wa malipo ya ada na fedha ya kujikimu ukoje
3.Mafunzo haya ni ya muda gani darasani na field ni muda gani
Naombeni kueleweshwa
😃Moot Court Scenario