The Law School of Tanzania - Maswali na majibu

Kuna hizi hoja tatu nimeshindwa kuzielewa wakuu naona kama hazijakaa vizuri, wajuzi washeria naomba tafsiri ya hizi sentesi binafsi nimeshindwa kuzielewa

1.That the trial tribunal erred in law and in fact by entertaining the matter filled by the respondent who had no locus standi to sue

2.That,the trial tribunal erred in law and in fact by deciding against the appellants favour while he had strong evidence

3.That,the trial tribunal erred in law and in fact by entertaining the matter as it did while it was res judicata

Naomba msaada wa tafsiri kisheria juu ya hizo sentesi wakuu
Leta mchuzi utafasiliwe kama unahitaji Ku reply petition
 
Habari zenu wana jamii? Nawaombeni msaada kidogo wa kisheri plz, mfano mm ni fundi na kuna mteja alinitelekezea gari miaka minne iliyopita . ikawa alipotokea nilimpa bili ya matengenezo pamoja ma garama za ulinzi kwa kipindi chote ambacho akuwepo, matokeo yake kanigeuka ya kuwa kuna spea kazikuta zimeibiwa kwenye gari lake na kuniweka lockup. Na kwa muda huu kesi hipo mahakanani . na wakati huo Niko ndani alifanikiwa kulichukua gari yake na kesi inanguruma kwasasa japo bado cjapewa muda wa kujitetea maana mlalamikaji ndio anatakiwa kutoa maelezo yake, hii imekaaje kisheria wana jamii naomba msaada wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nlkua nauliza kuhusu ili swala
.
.
Draft a simple contract for transfer of land between two person

@military_Genius
 
Habari zenu wana jamii? Nawaombeni msaada kidogo wa kisheri plz, mfano mm ni fundi na kuna mteja alinitelekezea gari miaka minne iliyopita . ikawa alipotokea nilimpa bili ya matengenezo pamoja ma garama za ulinzi kwa kipindi chote ambacho akuwepo, matokeo yake kanigeuka ya kuwa kuna spea kazikuta zimeibiwa kwenye gari lake na kuniweka lockup. Na kwa muda huu kesi hipo mahakanani . na wakati huo Niko ndani alifanikiwa kulichukua gari yake na kesi inanguruma kwasasa japo bado cjapewa muda wa kujitetea maana mlalamikaji ndio anatakiwa kutoa maelezo yake, hii imekaaje kisheria wana jamii naomba msaada wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza makubaliano yenu yalikuaje yaan mlikubaliana hilo gari likae kwa kipindi kipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati umefika sasa kwa Uongozi wa Law School kuanzisha Utaratibu kwa Wanafunzi wa Law School kufanya Mtihani wa kuingia Law School badala ya utaratibu uliopo wa kuwapokea wote walioomba kwani wasio na sifa na uwezo ni wengi kutokana na Vyuo walikotokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Law school Inakuwa oparated kwa kutumia sheria... Yake so uanzia kutoa opinion yako hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu nimesoma degree yangu yakwanza ya ualimu, bachalor of education in science with ICT
Nahitaj nisome law, naomba kujua naweza enda masters ya law ama natakiwa kuanza post gradute dip ya law kwanza
NATANGULIZA SHUKRANI
 
Kuna hizi hoja tatu nimeshindwa kuzielewa wakuu naona kama hazijakaa vizuri, wajuzi washeria naomba tafsiri ya hizi sentesi binafsi nimeshindwa kuzielewa

1.That the trial tribunal erred in law and in fact by entertaining the matter filled by the respondent who had no locus standi to sue

2.That,the trial tribunal erred in law and in fact by deciding against the appellants favour while he had strong evidence

3.That,the trial tribunal erred in law and in fact by entertaining the matter as it did while it was res judicata

Naomba msaada wa tafsiri kisheria juu ya hizo sentesi wakuu
Moja ,baraza la kesi lililoendesha shauri lilikosea kisheria na kwenye hoja za kesi kwa kuwa mlalamikaji hakuwa muathirika wa kilichokuwa mbele ya baraza.Pili,baraza la kesi lilikosea kuamua dhidi ya mkata rufani kwani mlalamikaji alikuwa na ushahidi unaojitosheleza.Tatu,kwamba baraza lilikosea kwa kuwa kulikuwa kuna hukumu tayari juu ya shauri husika katika baraza lenye mamlaka Kama baraza husika hivyo haikutakiwa kusikiliza shauri husika maana kisheria lilitakiwa lisikilizwe na chombo cha rufani.
 
Moja ,baraza la kesi lililoendesha shauei lilikosea kisheria na kwenye hoja za kesi kwa kuwa mlalamikaji hakuwa muathirika wa kilichokuwa mbele ya baraza.Pili,baraza la kesi lilikosea kuamua dhidi ya mkata rufani kwani mlalamikaji alikuwa na ushahidi unaojitosheleza.Tatu,kwamba baraza lilikosea kwa kuwa kulikuwa kuna hukumu tayari juu ya shauri husika katika baraza lenye mamlaka Kama baraza husika hivyo haikutakiwa kusikiliza shauri husika maana kisheria lilitakiwa lisikilizwe na chombo cha rufani.
Kama anataka msaada afike ofisini.... hatukwenda shule ili tujibu watu kwenye whatsapp.
 
Back
Top Bottom