The Law School of Tanzania - Maswali na majibu

Mtendaji wa kaya

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
334
57
Ndugu zangu mliopita au mliopo kwenye uwanja wa mapambano(Law school) tujuzeni hali halisi ya pale..naanza kwa kuuliza maswali yafuatayo;
1.Ni kozi ngapi zinafundishwa
2.Utaratibu wa malipo ya ada na fedha ya kujikimu ukoje
3.Mafunzo haya ni ya muda gani darasani na field ni muda gani
Naombeni kueleweshwa
 
Hivi hiyo shule haina tovuti ambayo unaweza kwenda na kujipatia hizo taarifa?

Pia haina hata kijarida kilicho na hizo taarifa unazotaka kuzijua?
 
nlipita hapo zamani kidogo masomo yalikuwa kumina tatu yakapungua mpaka kumi na moja ambayo utafanya kila somo mitihani mitatu kasoro non core, ada inalipwa yote kabla ya mafunzo,darasani miezi minne ,field imegawanyika mwezi mmoja mahakamani/state attorney na kwenye firms.naipenda sana shule ya law school. Ingia website kuna kila kitu na kila cohort ina mabadiliko pamoja na waalim
 
Hii nchi imelaaniwa kabisa hajulikani msomi nani na ngumbaru nani, yani mwanasheria mzima hata kuandika hujui? Kanuni ndogo za uandishi kama kuanza sentensi kwa herufi kubwa pia hujui?

Cha ajabu hata website yenyewe haujaweka link. Haya majanga mwanawane wasomi woyeeee!!
 
hii nchi imelaaniwa kabisa hajulikani msomi nani na ngumbaru nani, yani mwanasheria mzima hata kuandika hujui? Kanuni ndogo za uandishi kama kuanza sentensi kwa herufi kubwa pia hujui?

Cha ajabu hata website yenyewe haujaweka link. Haya majanga mwanawane wasomi woyeeee!!

hapana.unapoandika kwa kuchati lugha inayotumika ni casual. Lakini ingekuwa ni kuandika let's pleadings and or submissions basi lugha inayotumika ni frozen ambayo hatavile uthitaji kuedit and edit and edit for about for times before passing it your collegue for though proofreading. Hivyo usimshangae kuandika lugha laini katika mtandao
 
Hii nchi imelaaniwa kabisa hajulikani msomi nani na ngumbaru nani, yani mwanasheria mzima hata kuandika hujui? Kanuni ndogo za uandishi kama kuanza sentensi kwa herufi kubwa pia hujui?

Cha ajabu hata website yenyewe haujaweka link. Haya majanga mwanawane wasomi woyeeee!!

Link ya nini? mpaka hapo hujajua sehemu ya kupata hiyo taarifa? hacha majivuno ya mfalme Juha. mbona unayemkandia kajieleza vizuri?
 
Hii nchi imelaaniwa kabisa hajulikani msomi nani na ngumbaru nani, yani mwanasheria mzima hata kuandika hujui? Kanuni ndogo za uandishi kama kuanza sentensi kwa herufi kubwa pia hujui?

Cha ajabu hata website yenyewe haujaweka link. Haya majanga mwanawane wasomi woyeeee!!

Matola, neno yani ni la lugha gani na lina maana gani kama na wewe si ngumbaru kuzidi unaowadhani ni ngumbaru?

Cc:
Rola, Mushobozi, Skilionare
 
Hii nchi imelaaniwa kabisa hajulikani msomi nani na ngumbaru nani, yani mwanasheria mzima hata kuandika hujui? Kanuni ndogo za uandishi kama kuanza sentensi kwa herufi kubwa pia hujui?

Cha ajabu hata website yenyewe haujaweka link. Haya majanga mwanawane wasomi woyeeee!!

uwe na busara wakati mwingine, kuna haja gani ya kuanza kukashifu Tz na wasomi wake, wewe umeisaidia nini?,
 
Hii nchi imelaaniwa kabisa hajulikani msomi nani na ngumbaru nani, yani mwanasheria mzima hata kuandika hujui? Kanuni ndogo za uandishi kama kuanza sentensi kwa herufi kubwa pia hujui?

Cha ajabu hata website yenyewe haujaweka link. Haya majanga mwanawane wasomi woyeeee!!
Mr sizitaki mbichi izi!!
 
hakuna shule au chuo mtu anasoma kila kitu, yeye hakuenda law school kufundishwa kuandika ,
 
Back
Top Bottom