The Law School of Tanzania: Maoni, Ushauri, Dukuduku

Kijana, unajua kitu kinaitwa UNWINNABLE CASE? si kila kesi utashinda, hata uwe wakili wa namna gani, Pia unaweza usiwe wakili kewenye kesi, ukawa adjudicatar, kama kesi yako haijapinduliwa na mahakama ya juu hakika hujashindwa.
Yes najua kuna kesi ni unWinnable ila unaweza kuifanya japo hujashinda ila performance yako ikawa superb...

Ndo mana ulivosema hujawai kushindwa kesi nikataka nijue unaattend aina ya case gani na gani ambazo unashinda tuu unashinda tuu....
 
Is this a court room? ra hash

Hahahaa. hebu nipe namna ya kujibu lawyerly
Anyway Mkuu...
Nilitegemea kua mayb ungeanza kuniambia vitu vitatu vya msingi afu ulivotaja ivo vingine ni matokeo tu

1. Inborn/natural talent...uwakili ni kipaji bana kama vipaji vingine mkuu...unazaliwa nacho tayari then law school sharpens it...

2. Passion....em imagine mkuu mtu ana kipaji afu ana passion ya fani ambayo kipaji chake kipo...

3. Know the procedural laws,
sasa chukua 1 na 2 jumlisha na 3 afu kwenye 3 uwe umeimaster vizuri evidence rules na procedure plus izo civil na criminal procedure na procedural laws nyingine...

Mkuu those are WHAT make a person a good lawyer mkuu vingine ulivonitajia ni matokeo tu mkuu....

Thank you
See you there
 
Kuna watu humu walisema kuwa wanafunzi wengi wa law school ni wavivu na wazambe na ndio sababu kuu wao kufeli. Sababu hizo hazikuniingia akilini hata kidogo kwamba zaidi ya 70% ya wanafunzi wote wawe ni vilaza kwamba hawaelewi kinachofundishwa darasani niligoma na nikabaki na imani kwamba tatizo sio wanafunzi bali tatizo ni wakufunzi au management kwa ujumla wake. Haya sasa naskia siku kadhaa hapo nyuma kuna m'babe mmjoja hivi wa kuwashika watu katimuliwa kwa sababu ya kuwafelisha wanafunzi kwa makusudi na mwingine kapewa onyo.
 
Wacha uvivu wewe ni mmoja ya limbukeni wa Maisha umetoka huko Chato unakuja kushobokea maisha ya Sinza,
wenzio mboona wanafaulu?
wewe endelea kumlaumu Chuwa mkubwa na ndelwa kuwa ndio wamekufelisha kumbe umeshobokea ma -e-girlfriend wa watu, demu kaishi miaka 4 na mtu, unamkuta lst unafikiri mpya, ndio madhara yake sasa.

soma, nakwambia soma hakuna namna,
 
Anyway Mkuu...
Nilitegemea kua mayb ungeanza kuniambia vitu vitatu vya msingi afu ulivotaja ivo vingine ni matokeo tu

1. Inborn/natural talent...uwakili ni kipaji bana kama vipaji vingine mkuu...unazaliwa nacho tayari then law school sharpens it...

2. Passion....em imagine mkuu mtu ana kipaji afu ana passion ya fani ambayo kipaji chake kipo...

3. Know the procedural laws,
sasa chukua 1 na 2 jumlisha na 3 afu kwenye 3 uwe umeimaster vizuri evidence rules na procedure plus izo civil na criminal procedure na procedural laws nyingine...

Mkuu those are WHAT make a person a good lawyer mkuu vingine ulivonitajia ni matokeo tu mkuu....

Thank you
See you there
ofcourse, wahaya na wachagga wamezaliwa na vipaji vya uwakili, wengine wanalazimisha tu, na ukitaka kujua angaliareasoning capacity ya hawa watu
 
Wacha uvivu wewe ni mmoja ya limbukeni wa Maisha umetoka huko Chato unakuja kushobokea maisha ya Sinza,
wenzio mboona wanafaulu?
wewe endelea kumlaumu Chuwa mkubwa na ndelwa kuwa ndio wamekufelisha kumbe umeshobokea ma -e-girlfriend wa watu, demu kaishi miaka 4 na mtu, unamkuta lst unafikiri mpya, ndio madhara yake sasa.

soma, nakwambia soma hakuna namna,
Law school silaha ni kusoma kwa bidii tu hakuna jingine, ile wapo baadhi ya waadhili pale LST wanazingua mfano Chuwa hakutufundisha commercial vizuri sisi wa cohort ya 27 na ndio maana wengi somo lake wamefeli hii commercial kilichonibeka ni ICA kwani ilikuja fair na oral.
 
Jamaniii naomba tuanzishe na group la whatsapp kwa ajili ya msaada wa Kisheria tuu ukiafik weka no
Magroup ya wastupp yanafeli sana, huko mtu akishaungwa ananza kupiga wat mizinga, mwisho wa siku linakufa.
hebu jaribu lakini, namba yangu ni 0718-66 43 81
 
Can you share your experience on how you managed?
Kikubwa ilikua nnaenda chuo pale saa moja na nusu natoka saa mbili usiku, niliundaga kikundi cha discussion alaf tukawa kila siku tuna discuss kuanzia saa 11 hadi saa mbili na hapo lazima niongoze disc. au nichangie kila siku hii ikawa inanijenga sanaaa, na disc. ilikua discussion kweli maana ilifikia point tunajipa mazoezi wenyewe ya kupiga documents zote toka kichwani bila kuigilizia, tukawa fit vibaya yaan nondo nondo haswa, basi ikawa mtelezo tu mwisho wa siku first seating, japo kila wikiend kwenye kumbi za starehe pia tulikua hatukosekani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom